Tumshauri Zitto...

Status
Not open for further replies.
Wote hawa waliwahi kuwa wana CDM. Baadhi yao walikuwa na nguvu kama Zitto.

acha uongo, chadema haijawahi kuwa na mtu mwenye nguvu individual kama zzk,,,kukubalika kwake kwa waTZ,umahiri wake wa kujenga hoja si wa kufananisha na hao wengine...BILA KUUSEMA UKWELI mtaendelea kuwa misukule
 
mwanakwetu mi nadhani ishauri cdm imfanyie kitu zitto.mana zitto ye hashauriki,unadhani anafanya bahati mbaya
 
Nilikuwa kila mara namshauri mdogo wangu Zito kutuliza akili zake na kutafakari kadhia yake na chama iliyomkumba hivi karibuni kama walivyo wenzake Kitila & Mwigamba. Kwa mwenendo anaoonyesha sasa wa kushindana na chama chake ni dalili tosha kuwa huyu dogo anajiongezea makosa na hata watetezi wake katika vikao halali vya Chama watashindwa kumtetea.Nachukua nafasi hii kumshauri Zito aangali upande wa tatu wa shilingi ambao watu wengi hawaujali hata kusema shilingi ina pande mbili badala ya tatu. Na upande huu wa tatu ndo unafanya shilingi inaseleleka na kupotea. Kwa njinsi ambavyo unahudharau upande huo wa shilingi uwe tayali kujiunga kwenye club ya akina masumbuko Lamwai, Msabaha na wengineo.
 
Hili la dharau kwa viongozi wa chama ndo limenihuzunisha kweli...mimi sio mkabila ila hili kabila lao kama ni kupenda sifa na tambo...hapo kazidisha......south kipindi cha ukombozi wasaliti(ntu-ntu kwa kizulu) walikua wanafugwa tairi wanachommwa moto....lakini sasa hasira mabayo unapata ndo nimegundua kwa nini wa-south walifanya vile...CDM msipo mfukuza zitoo mtatupoteza wengi kwenye chama
 
kosa lake lipi kikatiba au manjonjo tu hapa na uhafidhina
 
acha uongo, chadema haijawahi kuwa na mtu mwenye nguvu individual kama zzk,,,kukubalika kwake kwa waTZ,umahiri wake wa kujenga hoja si wa kufananisha na hao wengine...BILA KUUSEMA UKWELI mtaendelea kuwa misukule
sasa hizo nguvu kwa nini asianzishe chama chako?
 
acha uongo, chadema haijawahi kuwa na mtu mwenye nguvu individual kama zzk,,,kukubalika kwake kwa waTZ,umahiri wake wa kujenga hoja si wa kufananisha na hao wengine...BILA KUUSEMA UKWELI mtaendelea kuwa misukule

Huu umaarufu wa Ztto mnaona ninyi wana CCM;

Mshaurini ajiunge na CCM, sijawahi kusikia mkimshawishi kujiunga na CCM zaidi ya maneno matupu tu kuwa ZZK ni zaidi CDM. Wana CDM wengi tu wampendi, nashangaa mnaacha mzigo hivi hivi.
 
Hili la dharau kwa viongozi wa chama ndo limenihuzunisha kweli...mimi sio mkabila ila hili kabila lao kama ni kupenda sifa na tambo...hapo kazidisha......south kipindi cha ukombozi wasaliti(ntu-ntu kwa kizulu) walikua wanafugwa tairi wanachommwa moto....lakini sasa hasira mabayo unapata ndo nimegundua kwa nini wa-south walifanya vile...CDM msipo mfukuza zitoo mtatupoteza wengi kwenye chama

kamshauri mbowe...ondokeni tu zzk ni kipenzi cha waTZ
 
mwanakwetu mi nadhani ishauri cdm imfanyie kitu zitto.mana zitto ye hashauriki,unadhani anafanya bahati mbaya

Namhurumia sana.

Ahesabu posti za watu humu ndani, aone ni wangapi wanamuunga mkono na wangapi wanapinga. Ajue vilevile ni kina nani wanamuunga mkono na kina nani wanampinga?

Wengine tumeamua kumpa ushauri. Ni juu yake kuamua.
 
Wote hawa waliwahi kuwa wana CDM. Baadhi yao walikuwa na nguvu kama Zitto.

ACHA UWONGO, katika kipindi cdm ilikuwa na nguvu ni baada ya 2005 hadi 2010...nguvu ya cdm ilitokana na AKILI nyingi za ZZK...kabouru kaachia madaraka 2006 kama sikosei..
 
Zitto akinusurika kifo cha kisiasa itakuwa ni huruma uongozi wa CDM tu si zaidi ya hapo... kwangu mimi bado ataendelea kuwa msaliti tu milele daima na tayari nimempotezea kama Shibuda...
 
Namhurumia sana.

Ahesabu posti za watu humu ndani, aone ni wangapi wanamuunga mkono na wangapi wanapinga. Ajue vilevile ni kina nani wanamuunga mkono na kina nani wanampinga?

Wengine tumeamua kumpa ushauri. Ni juu yake kuamua.

wanaomuunga mkono ni wananchi wa kawaida wenye maisha magumu wenye njaa ya demokrasia...hivyo acha mbwembwe
 
Yaani huyu kategeshewa kingi kaingia mwenyewe jumla. Chama kilikuwa kinatafuta ushahidi wa wazi kutoka kinywa chake mwenyewe na hatimaye kimeupata bila jasho. Huyu hachomoki asilani. Chezea magwiji wa sheria na siasa waliotulia pale Mtaa wa Ufipa weye; pana vichwa pale usifanye mchezo.
 
Tuseme Kweli Zitto kawa mdogo ktk issue iliyomkuta kuliko hata Okonkwo ktk Things Fall Apart..Sasa hivi hata mlio wa mbu unamtingisha.

Zitto hapo alipo ni kwamba alisahau tuu kusema kuwa ilikuwa Utani..au ni njia ya tuu ya kuwafanya CCM waongelee CDM kuliko wao.Ila kijana sasa kila kitu kipo behind the schedule.KIla mahalia kachelewa na kila kitu bado kipo nyuma sana.Hana Muda wa kupanga wala kufikiri ila KEEP on RUNNING.

Sasa Zito amekuwa km FOREST GUMP
 
Zitto anajiharibia mwenyewe, huwezi kupokelewa kwa mabango yanayokashifu viongozi wako na chama chako huku ukiangalia tu, zitto hana mapenzi ya dhati na chama, labda ni unafiki tu, mdomoni anajifanya ni mwanachama mtiifu huku akiongoza na kuhutubia mikutano inayodhalilisha viongozi na chama chake, chadema kuweni makini sana na watu kama hawa!
 
Zitto akinusurika kifo cha kisiasa itakuwa ni huruma uongozi wa CDM tu si zaidi ya hapo... kwangu mimi bado ataendelea kuwa msaliti tu milele daima na tayari nimempotezea kama Shibuda...

hakuna kitu kitaitwa chadema bila zzk
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom