Tumpe sumu paka wa jirani?

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]na hili ni fundisho hata kwa sisi binadamu mwanamke mwenye matunzo hatakiwi kuwa kwenye mahusiano na mwanaume wa hovyo hovyo[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hahahaha haswaa,haiwezekani umtunze binti yako ,matibabu na huduma kama zote afu aje at.ombwe na liuza mkaa,ama lichovu flan ni kuharibu kizazi na ukoo hahahahah
 
Umekaa kijasiriamali mkuu,si ajabu mwanaume utakayekuja kuwa naye akaishia kuvaa suruali moja tu...majukumu yatakuwa mazito
Ni jukumu la mwanamke kumhudumia mkewe,kwani yeye ni baba,kichwa Cha family,kiongozi na kama msemavyo mwanaume ni kila kitu,so mtoa comment yuko sahihi.
 
Hiyo nature inakutaka wewe kama mwanaume kuprovide kwa mkeo na family kwa ujumla,ukililia kusaidiwa majukumu na mkeo ujue uanaume wako una kasoro hahahahah
 
Wewe binafsi unawatafuna wanawake wangapi kwasasa?manake unasema wanawake wako wengi .Tuambie wewe unao wangapi unaowamudu?hahahah usipanic weka facts mezan
 
Sema nikutumie ticket uje hapa Copenhagen capital city of Denmark
Nikulishe hadi utakapo amua kuondoka

Sishangai hata passport huna
Hilo ondoka Shaka nita process mwenyewe hadi upate uje uonje flavor ya Denmark
Unadhani kila mtu limbukeni kama wewe? Kweli masikini akipata mataka hulia mbwata.
 
Hahahaha haswaa,haiwezekani umtunze binti yako ,matibabu na huduma kama zote afu aje at.ombwe na liuza mkaa,ama lichovu flan ni kuharibu kizazi na ukoo hahahahah
Kabisa hii inawafanya wanaume wanaacha kutafuta pesa kwa bidii zote ili watimize majukumu yao matokeo yake wanawaza kuja kutafuta wanawake ambao wametoka kwenye familia zenye unafuu ili hao wanaume nao wapate mteremko kupitia pesa za watu wengine
 
Miss Natafuta una wivu mbaya sana aise... Nilidhani wivu wako umeishia kwa yule msichana wako wa kazi ambaye hutaki apigwe mkitu, sasa naona wivu umeingia hadi kwa Paka.... Dah una pepo la wivu wewe.
 
Una wivu hadi na paka!!!

Nae ana mahitaji ati
 
Miss Natafuta una wivu mbaya sana aise... Nilidhani wivu wako umeishia kwa yule msichana wako wa kazi ambaye hutaki apigwe mkitu, sasa naona wivu umeingia hadi kwa Paka.... Dah una pepo la wivu wewe.
Kwangu tunaishi kama watawa hakuna kupigwa mbooro hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…