Weee utakuwa mshabiki mwenzangu wa Man U!Msiba wa kujitakia hauna kilio, wakati tunapinga ujio wa huyu mtu tulionekana ni wajinga. Mimi nasema wacha tugongwe hivi ili akili zikae sawa
Wrong consolation. Mahitaji yetu hayakuwa Lowassa, kwa kujifariji kizembe na kijinga hivi tutaendelea kuruhusu viongozi kufanya makosa ya kijinga bila kuhojiwa na kuwajibishwa. Why don't we admit that Dr. Slaa was right?Mahitaji ya nyakati yalilazimu
Mfamaji bwana.Kama watarudi wose is fine ila TUNDU LISU tu anatoshaa.Kama kutakuwa na kiongozi mmoja tu aitwaye TL upande wa upinzani anatoshaa kabisa
Angalia hii
Kwa wakati ule ilikuwa lazima kuchukua msimamo huo Nampongeza Mbowe et al kwa maamuzi ya wakati uleMahitaji ya nyakati yalilazimu
CDM imejaa wenye akili mkuu, mazuzu ni nyie hasa wewe, mama yako, baba yako, mumeo na mahawara zako wa kiume. CDM itabaki kuwa na watu cream hakuna mfanoTukisema CHADEMA ya siku hizi imejaa mazuzu mnabisha.
Wengine tuliliona hilo siku nyingi tangu 2015 Mbowe alipofika bei.
Mbowe is here to stay come what may! Infact CDM needs Mbowe today than beforeWa kulaumiwa ni Mbowe, this man is the real reason CDM is regressing. Comrade Mbowe has to step down, his time is up.
Umepotoka Slaa was also wrong... Usimtee mtu they are all politiciansWrong consolation. Mahitaji yetu hayakuwa Lowassa, kwa kujifariji kizembe na kijinga hivi tutaendelea kuruhusu viongozi kufanya makosa ya kijinga bila kuhojiwa na kuwajibishwa. Why don't we admit that Dr. Slaa was right?
Nawe analytical capacity yako ni poor. By those days CDM ilihitaji mtu wa kuwawezesha kupata wabunge wengi, madiwani e5c. Na hilo lilifanikiwa sana by over 90%. Na bado mpaka leo it sounds good. Unasahau kuwa kama siyo kuwa na Dikiteita hakuna ambaye angelikwenda, angelirudi CCM. Mwambie aruhusu CDM izunguke nchi nzima uone response itakuwaje! Jaribu kufikiri kwa mapana zaidi. Make an all encompassing analysis. Avoid isolated incidencesWrong consolation. Mahitaji yetu hayakuwa Lowassa, kwa kujifariji kizembe na kijinga hivi tutaendelea kuruhusu viongozi kufanya makosa ya kijinga bila kuhojiwa na kuwajibishwa. Why don't we admit that Dr. Slaa was right?
Time will tellUmepotoka Slaa was also wrong... Usimtee mtu they are all politicians
Dr was wrong katika nini?Umepotoka Slaa was also wrong... Usimtee mtu they are all politicians
Bado huzijui siasaDr was wrong katika nini?
Hakutaka kuchangamana na tamaa za kijinga za akina Mbowe na Lissu. Alijua chama kitapata temporary popularity halafu baada ya uchaguzi tu kitaperish kama tunavyoshuhudia sasa.
Mliokuwa na vichwa vigumu sasa mmeanza kuelewa taratibu akili KUBWA.