THINKINGBEING
JF-Expert Member
- Aug 9, 2010
- 2,779
- 1,304
Kwa miaka mitatu mfululizo tumekuwa tukiwaeleza wenzetu kuwa tumeuzwa.Ati leo ndio watu wanaamka!!!!!?????
Bashite kakamuliwe mbowe hawezi Amur kitu mwenyewe au una mlinganisha na Magufuli na kakundi kama fisadi wenzakeTukisema CHADEMA ya siku hizi imejaa mazuzu mnabisha.
Wengine tuliliona hilo siku nyingi tangu 2015 Mbowe alipofika bei.
Atawashukuru tu Chadema kwa kumpokea na kumuamini kiasi cha kumpiga chini Dr Slaa. Kisha atawaambia yeye ni mwana wa mabadiliko na kwa kuwa kwa sasa mabadiliko yanaletwa na Rais Magufuli basi hana budi kumfuata na kumuunga mkono. Mwisho atawaomba radhi wote walioumizwa na maamuzi yake na atawakumbusha hata mwaka 2015 kuna wanaccm walioumia vile vile!Kesho tarehe 10.01.2018 inaweza kuwa siku nyingine mbaya kwa wale wapenda wabadiliko. Kesho kuna kulia ama kucheka kama ni kweli kutakuwa na mkutano Serena hotel.
Mchana wote wa leo mpaka mida hii huku mitandaoni hakufai ni mitifuano na speculations za kila aina kuhusu siku ya kesho na kile kitachasemwa. Kila upande umejiandaa vilivyo na madongo ama vilio ama shangwe za kutosha.
Kama ilivyo kwa mechi ngumu za Simba na Yanga kila upande Unahitaji ushindi. Chochote kitakachotokea kesho kitakuwa na hasara kubwa kwa upande mmojawapo.
Kama hahami furaha shangwe nderemo na vifijo vitakuwa vingi mno... Nchi italipuka kwa kushangilia. Na wale wa upande wa pili watakuwa wamepigwa mweleka mkubwa.
LAKINI ikitokea akasema anahama au hata kusema anastaafu harakati upande wa pili patakuwa hapatoshi japo si kwa kushangilia sana bali vijembe na dhihaka kwa wingi wake.
Huku kwingine kutakuwa ni simanzi kubwa na nchi itakuwa kama iko msibani
Kuna viashiria vya kutisha kidogo.
-Kwanini kaenda peke yake? Pengine ni haki yake
-Kwanini hakushirikisha viongozi wenzake? Kizungumkuti kiko hapa
-Alichoongea mbona kinapingana na uhalisia? Ngoja tutaona...
Itoshe tu kuamini kwamba hatatonesha makovu ya vidonda vinavyopona.. Hatasahau fadhila. Hatawageuka wale wote waliompenda na kumwamini sana.
Hatawavunja moyo na kuwaumiza kihisia wale wote walioumia na kuumizwa kwa ajili yake.
Inawezekana kabisa ukawa ni mwanzo mpya wa kutufanya tusonge mbele pale tulipokwamishwa.
Mliulizwa na slaa lowassa ni asset au liability?mkajibu kwa dhihakaItoshe tu kuamini kwamba hatatonesha makovu ya vidonda vinavyopona.. Hatasahau fadhila. Hatawageuka wale wote waliompenda na kumwamini sana.
Kesho tarehe 10.01.2018 inaweza kuwa siku nyingine mbaya kwa wale wapenda wabadiliko. Kesho kuna kulia ama kucheka kama ni kweli kutakuwa na mkutano Serena hotel.
Mchana wote wa leo mpaka mida hii huku mitandaoni hakufai ni mitifuano na speculations za kila aina kuhusu siku ya kesho na kile kitachasemwa. Kila upande umejiandaa vilivyo na madongo ama vilio ama shangwe za kutosha.
Kama ilivyo kwa mechi ngumu za Simba na Yanga kila upande Unahitaji ushindi. Chochote kitakachotokea kesho kitakuwa na hasara kubwa kwa upande mmojawapo.
Kama hahami furaha shangwe nderemo na vifijo vitakuwa vingi mno... Nchi italipuka kwa kushangilia. Na wale wa upande wa pili watakuwa wamepigwa mweleka mkubwa.
LAKINI ikitokea akasema anahama au hata kusema anastaafu harakati upande wa pili patakuwa hapatoshi japo si kwa kushangilia sana bali vijembe na dhihaka kwa wingi wake.
Huku kwingine kutakuwa ni simanzi kubwa na nchi itakuwa kama iko msibani
Kuna viashiria vya kutisha kidogo.
-Kwanini kaenda peke yake? Pengine ni haki yake
-Kwanini hakushirikisha viongozi wenzake? Kizungumkuti kiko hapa
-Alichoongea mbona kinapingana na uhalisia? Ngoja tutaona...
Itoshe tu kuamini kwamba hatatonesha makovu ya vidonda vinavyopona.. Hatasahau fadhila. Hatawageuka wale wote waliompenda na kumwamini sana.
Hatawavunja moyo na kuwaumiza kihisia wale wote walioumia na kuumizwa kwa ajili yake.
Inawezekana kabisa ukawa ni mwanzo mpya wa kutufanya tusonge mbele pale tulipokwamishwa.
Kwanini kaenda peke yake? Pengine ni haki yake

Acha kuzingua, Lowasa kuna fadhila gani chadema mliomfanyia? Nyie chadema ndo mnaopaswa msisahau fadhila za Lowasa na kuanza kumtusi, heshimuni uamuzi wake, amewasaidia kuwaingezea Halmashauri, Wabunge na Wanachama hivyo wakati umefika wa yeye kuondoka pia heshimuni hilo na endeleeni na Tundu Lisu wenu kuisaliti nchi yetuc lkn usaliti haulipi!
Hahahah chezea Dkt Magufuli na CCM wewe hahahaha, poleni vijana wa ufipa, sisis huku Lumumba ni chereko chereko tu, maana kazi ilishakwisha tangu 2015Kesho tarehe 10.01.2018 inaweza kuwa siku nyingine mbaya kwa wale wapenda wabadiliko. Kesho kuna kulia ama kucheka kama ni kweli kutakuwa na mkutano Serena hotel.
Mchana wote wa leo mpaka mida hii huku mitandaoni hakufai ni mitifuano na speculations za kila aina kuhusu siku ya kesho na kile kitachasemwa. Kila upande umejiandaa vilivyo na madongo ama vilio ama shangwe za kutosha.
Kama ilivyo kwa mechi ngumu za Simba na Yanga kila upande Unahitaji ushindi. Chochote kitakachotokea kesho kitakuwa na hasara kubwa kwa upande mmojawapo.
Kama hahami furaha shangwe nderemo na vifijo vitakuwa vingi mno... Nchi italipuka kwa kushangilia. Na wale wa upande wa pili watakuwa wamepigwa mweleka mkubwa.
LAKINI ikitokea akasema anahama au hata kusema anastaafu harakati upande wa pili patakuwa hapatoshi japo si kwa kushangilia sana bali vijembe na dhihaka kwa wingi wake.
Huku kwingine kutakuwa ni simanzi kubwa na nchi itakuwa kama iko msibani
Kuna viashiria vya kutisha kidogo.
-Kwanini kaenda peke yake? Pengine ni haki yake
-Kwanini hakushirikisha viongozi wenzake? Kizungumkuti kiko hapa
-Alichoongea mbona kinapingana na uhalisia? Ngoja tutaona...
Itoshe tu kuamini kwamba hatatonesha makovu ya vidonda vinavyopona.. Hatasahau fadhila. Hatawageuka wale wote waliompenda na kumwamini sana.
Hatawavunja moyo na kuwaumiza kihisia wale wote walioumia na kuumizwa kwa ajili yake.
Inawezekana kabisa ukawa ni mwanzo mpya wa kutufanya tusonge mbele pale tulipokwamishwa.
Wewe waajabu kweli, kwamba nchi sasa haina mkakati wa kuwa na treini ya viwango, bwawa kubwa la kuzalisha umeme, nakadhalika...! Siamini kama ume'data'...! Bali umepaniki. Ha ha haaaa!-Alichoongea mbona kinapingana na uhalisia? Ngoja tutaona...
Duh,hii video imeniharibia siku kabisa.Angalia hii
Lakini bro, hapa tunamdanganya nani? Sijui kwa nini we feel it hard to admit that our leaders made a huge mistake to pick Lowassa as our flag bearer. Lowassa had and still has nothing to benefit opposition. Tukijibu hoja alizoibua Dr. Slaa kimaamuma, tofauti yetu na vijana wa Lumumba itakuwa ni sifuri. Why have we decided to be that stupid like UVCCM? Kwa akili za aina hii wanaosema upinzani hauna nia ya kushika dola might be right. I feel pity that we've lost direction kijinga sanaThat's better one....!!!
The only problem most of us have ni kule kudhani kwamba our leaders are angels or human beings with super natural powers and can see beyond... We don't allow our brains to accept the fact that they are all normal human beings just like you and meLakini bro, hapa tunamdanganya nani? Sijui kwa nini we feel it hard to admit that our leaders made a huge mistake to pick Lowassa as our flag bearer. Lowassa had and still has nothing to benefit opposition. Tukijibu hoja alizoibua Dr. Slaa kimaamuma, tofauti yetu na vijana wa Lumumba itakuwa ni sifuri. Why have we decided to be that stupid like UVCCM? Kwa akili za aina hii wanaosema upinzani hauna nia ya kushika dola might be right. I feel pity that we've lost direction kijinga sana
Huwa sipaniki wala sidati kwakuwa mimi ndio Nimechokoza hojaWewe waajabu kweli, kwamba nchi sasa haina mkakati wa kuwa na treini ya viwango, bwawa kubwa la kuzalisha umeme, nakadhalika...! Siamini kama ume'data'...! Bali umepaniki. Ha ha haaaa!