Tumewekwa njia panda

Tumewekwa njia panda

Lakini tuache utani mshana jr, cheki signature yangu hapo chini. Mimi nasema hilo li chama lilikufa tangu 2015. Na upinzani bongo sasa haupo, ila kuna wachumia tumbo tu.
Weka hakiba ya maneno dadaangu kumbuka maandishi hayafutiki
 
The only problem most of us have ni kule kudhani kwamba our leaders are angels or human beings with super natural powers and can see beyond... We don't allow our brains to accept the fact that they are all normal human beings just like you and me
Yes, we blame them. You know why?, it's because they never paid heed to the best advice. Whoever tried to raise concerns about the matter met with a serious mockery and names calling. Watu walishusha matusi mazito kwa kila aliyepinga. Leo mnataka bado tuimbe mapambio ya kutukuza upumbavu wa viongozi kwa jambo la kijinga ambalo lilihitaji tu akili ya darasa la saba kujua kuwa huwezi kuhamishia choo cha shimo sitting room. Siku wengi mtakapokuja kukubali kuwa viongozi walituingiza mkenge, chama hakitakuwa na tofauti yoyote na TLP
 
Bro don't fall to that category too...
 
IMG-20180115-WA0033.jpg
 
napenda sana kuwa mfuasi wa chama pinzani na nimekua hvo tangu miaka mingi nyuma....lkn siku hz sizielew kabisa hoja zao wa falsafa yao ni ipi kwa nchi........Mungu tusaidie Tanzania
 
Back
Top Bottom