Tumetokea Wapi:- From Jambo Forums to JamiiForums

Tumetokea Wapi:- From Jambo Forums to JamiiForums

Status
Not open for further replies.
Joined
Apr 27, 2006
Posts
26,584
Reaction score
10,466

​
​

​


- Na hii ni zawadi maalum niliyowahi kupewa na Mtandao huu miaka 7 iliyopita, nimekutana nazo leo asubuhi baada ya kupitia mizigo yangu iliyofika jana toka USA nilikokuwa ninaishi zamani.

I thought it to be polite kukumbushana tulikotoka unajua binadam asiyejua historia yake ya alikotokea ni rahisi sana kutojua anakokwenda.

Le Mutuz
 
Ni kweli kaka. Nami Jana nimetimiza miaka 7 Rasmi tangu nijiunge JamboForums ingawa hapo kabla nilikua msomaji tu bila usajili.
 
Nimekuwa Msomaji wa JF mda mrefu sana hata sijajiunga rasm
 
- Na hii ni zawadi maalum niliyowahi kupewa na Mtandao huu miaka 7 iliyopita, nimekutana nazo leo asubuhi baada ya kupitia mizigo yangu iliyofika jana toka USA nilikokuwa ninaishi zamani.

I thought it to be polite kukumbushana tulikotoka unajua binadam asiyejua historia yake ya alikotokea ni rahisi sana kutojua anakokwenda.

Le Mutuz

Yeah,mtandao huu wa kijamii umetoka mbali sana,yapo mabonde na milima lakini mwisho wa siku umeendelea kusimama na inavyoonekana utaendelea hivyo daima.
 
Big Up Le Mutuz Le Big Show nini hasa sababu ya kutoka kwenye umiliki wa JF na kwenda kuanzisha Superblog?
 
Siku hizi akili zako zimeanza kukaa sawa kwani unaongea mambo ya msingi tofauti na hapo nyuma ulipojivisha ngozi ya chui.
 
Nasikia Juma MK100 ameukwaa Unaibu!tujiandae Wana duru
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom