Tumetoka tanga kuweka mambo sawa-rage & mkosamali

Tumetoka tanga kuweka mambo sawa-rage & mkosamali

Alfu Lela Ulela

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2010
Posts
1,255
Reaction score
77
Wabunge wawili ambao ni wanachama wa Simba na mmoja ni mwenyekiti, Ismail Aden Rage na Felix Mkosamali (Muhambwe) wamekiri kusafiri kwenda mikoani kuweka mambo sawa ili kuishinda Yanga leo.

"Mimi nilikuwa natoka Tanga na Majimarefu, wakati tunarudi tukakutana na akina Rage Bagamoyo. Uzuri ni kwamba tulichopata Tangd ndicho walichopata akina Rage Bagamoyo, kwa hiyo Yange wakadd chonjo" Alisema Mkosamali kwa kujiamini.
 
waialike bayanimuinch na wakusanye wachawi wote wanaowajua kama watashinda
 
hao ndio wabunge...
bado wananchi wa kawaida..
 
Mzee wa kasi na viwango alipodai baadhi ya wabunge ni washirikina alishambuliwa sanaaa.
 
Nilishangaa sana wale wabunge kweli karne hii mbele tv ya Taifa?waje wakanushe labda kama ni utani wa mpira na lugha zake!walale mapema leo!
 
Huyo mganga aliwapa majibu sahihi kweli...!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom