Uncle bright
JF-Expert Member
- Feb 9, 2023
- 1,040
- 4,094
Ni miaka sita iliyopita
Njiani bado hawajamaliza kuweka fence maeneo mengi hivyo hawawezi kwenda maximum speed kiusalamaHii ya kwetu iliyotumia masaa mawili na madakika kadhaa ilikuwa inanyata kutoka Dar Moro.
Mbona kwenye Mabarabara hakuna Fence na sisi Madereva huwa tunatembea zaidi ya 120kphh?Njiani bado hawajamaliza kuweka fence maeneo mengi hivyo hawawezi kwenda maximum speed kiusalama
Punguzeni ujuaji hiyo DMU ya Kenya inatembea sawa na diesel lokomotives zetu za MGR za TRC ambazo zililetwa mpya zikikadiriwa mwendo 80kmph kwa optimal maximum 120kmph.
Hapa kwenye BRT kuna changamoto kubwa.Kila kitu sisi tuko nyuma tukianza na tunaanza ovyo ovyo!
BRT ya Nigeria miaka 10 iliyopita ilikuwa bora kuliko hii ya sasa ya kwetu.
Nairobi wana express road, sisi tunahangaika na BRT hata kwenye njia zisizohitaji BRT.
Unaonesha unaendeshwa na mihemko pasi na kuwa mpembuzi.toa usengee wako hapa yale mamitumba ndo unasema mpya? Sjui mijitu ya ccm huwa ikoje, ujuaji wa wp bhana mambo mangapi mmetupiga na hakuna jipya.
Sasa walikuwa wanatest nini? Kama ni hivyo wangesubiri fence ziwekwe watest!Njiani bado hawajamaliza kuweka fence maeneo mengi hivyo hawawezi kwenda maximum speed kiusalama
Huu mradi bhana haueleweki bora angebaki marehemu angeumalizia kiufanisi.Sasa walikuwa wanatest nini? Kama ni hivyo wangesubiri fence ziwekwe watest!