Ninge kuwa Rafiki wa IVo ,ningemshauri abaki hukohuko, mpra wake ulipopanda,huku anakuja kujimaliza.Hawa Simba na Yanga ni Talent Killers.
Mtampanga tar 21.dec mechi ya watani?" nipende kuwafahamisha Watanzania na wanasimba kuwa tumemalizana na Ivo Mapunda"-Hans Pope
Yanga wanneSimba makipa wangapi...
watamfukuza sasa hivi.simba na yanga ni wanauwa viwango vya watu
watamfukuza sasa hivi.simba na yanga ni wanauwa viwango vya watu
Kweli kabisa maana timu zetu kubwa huwa hazina program ya kukuza wachezaji, wanachojua nikununua wapya tu wakali wakali wakiisha wanawatupa wanachukua wengine. Timu kubwa zote za ulaya pamoja na kuchukua wachezaji wenye majina lakini bado kuna underground wanawanyanyua na kuwachanganya na hawa nyota wakaliNi kweli, Simba ni wauaji wa vipaji, Dhaira alikuwa kipa no. 1 wa The Cranes wamempotezea kipaji hadi timu yake imeboronga pia. Mapunda atajuta kucheza Simba.
Ngojeni afungwe mechi ya watani wa jadi muanze kulalamika "kauza mechi"" nipende kuwafahamisha Watanzania na wanasimba kuwa tumemalizana na Ivo Mapunda"-Hans Pope
Mkuu hatamimi nimebaki kinywa wazi, yani kudaka peneti tu tayari keshaonekana anafaa. Simba kwa hapo wamechemka.Anasajiliwa simba sababu aliokoa penalty?
mijitu kama Hans Pope ni ovyoo kabisa