tumemalizana na Ivo Mapunda: Hans Mapunda

Jospina

JF-Expert Member
Apr 19, 2013
2,421
1,387
" nipende kuwafahamisha Watanzania na wanasimba kuwa tumemalizana na Ivo Mapunda"-Hans Pope
 
Ukifanya kazi na timu za Yanga na Simba unakuwa huna uhakika wa kibarua chako.
Ivo halijui hilo,amuulize Julioh.
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli, Simba ni wauaji wa vipaji, Dhaira alikuwa kipa no. 1 wa The Cranes wamempotezea kipaji hadi timu yake imeboronga pia. Mapunda atajuta kucheza Simba.
Kweli kabisa maana timu zetu kubwa huwa hazina program ya kukuza wachezaji, wanachojua nikununua wapya tu wakali wakali wakiisha wanawatupa wanachukua wengine. Timu kubwa zote za ulaya pamoja na kuchukua wachezaji wenye majina lakini bado kuna underground wanawanyanyua na kuwachanganya na hawa nyota wakali
 
Timu zetu hazina mpangilio wowote unaoeleweka wa kukuza vipaji. Ni kusajiri hata wabeba vyuma ili mradi tu kuonyesha wana pesa za kusajiri.
 
Back
Top Bottom