Kuelekea Morocco 2025 AFCON FINALS, nashauri Kocha Mkuu na Watendaji wake Mahiri wawe wafuatao tu

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,573
108,929
Kocha Mkuu Taifa Stars

Juma Mgunda

Kocha Msaidizi Taifa Stars

Hemed Morocco

Makocha wa Makipa

Juma Kaseja
Ivo Mapunda

Makocha wa Mabeki

Nadir Haroub 'Cannavaro'
Victor Costa 'Nyumba'

Makocha wa Viungo

Seleman Matola 'Mzambia'
Salvatory Edward 'Mtaalam'

Makocha wa Mawinga

Steven Mapunda
Mrisho Ngassa

Makocha wa Washambuliaji

Abeid Msiba
Madaraka Seleman
Mohammed Hussein Mmachinga
Athumani Machupa

Wahamasishaji Wakuu

Jamhuri Kihwelo
Fred Minziro

Jopo la Ufundi na Ushauri Taifa Stars

Charles Mkwasa
Abdallah Kibadeni
Kanali Mstaafu Idi Kipingu
Juma Mwambusi
Oscar Mirambo
Sekilojo Chambuzi
Dua Said
Fikiri Magosso
Athumani China
George Masatu

Meneja wa Timu ( Taifa Stars )

Bakari Malima

Afisa Habari na Uhusiano wa Taifa Stars

Kalemera Rwigyema Mazimpaka Kadogoo Kisungura ( GENTAMYCINE )

Washauri Wakuu wa Taifa Stars

JamiiForums Members ( Great Thinkers ) Wote.

Rais Samia, Rais wa TFF Karia, Serikali, BMT, Wadau na Wananchi kama hiki nilichokishauri hapa kikifanyika nina uhakika wa 100% kuwa AFCON ya mwakani ( 2025 ) nchini Morocco Taifa Stars itafuzu 16 Bora, itaenda Robo na mambo yakienda vyema hata Nusu Fainali, Fainali hadi kuwa Mabingwa linawezekana na lisipowezana nawaruhusuni mnirudishe rasmi Kwetu Rwanda katika Mkoa wangu wa Gisenyi ambako nitapokelewa na Rais wangu Paul Kagame kwa Heshima zote tukuka.

Rais wa TFF Karia, Katibu Mkuu wa TFF Kidau, Waziri Dkt. Ndumbaro, Msemaji wa TFF Ndimbo na Kaimu Mkurugenzi wa Michezo Mayai najua na nina uhakika kuwa Wote huwa mnanisoma sana GENTAMYCINE hapa JamiiForums hivyo Bandiko langu hili mlichukue, mlifanyie Kazi na mlitekeleze kama nilivyoandika na kushauri hapa leo hii na mtakuja Kukishukuru na hata kunijengea Sanamu langu "Purely Talented, Charismatic Fella,, Game Changer and Entertainer" Mimi.
 
Mkuu, kuna level ukifika huwez kwenda tu na watu kisa walikuwa wachezaji wa zamani. Mtazame Rooney, Lampard, Xavi, Ole na wenzake jinsi wanavyoteseka kwenye ukocha. Wew unadhani stars haijavuka makundi kisa kocha, hii stars hata apewe Pep hatufiki Nusu fainal Afcon. Tunahitaj more quality international players.
 
Juma mgunda na mwenzake Pamoja na zambia kuwa pungufu alishindwa kabisa kuwa na mkakati maalumu wa kulinda goli 1 ama sivyo leo tungekuwa round ya pili.

Mwenzake avram grant akaja na mbinu mbadala na ikazaa Matunda. Mgunda na mwenzake Substitution walizofanya hazikuleta matokeo chanya , benchi kulikuwa na bajana na job wachezaji wenye Kiwango na uzoefu akashindwa kuwatumia poor selection.

Hata hakuonekana Kwenye touch line kuwakumbusha na kuwahamasisha wachezaji kila mara ikibidi asikae kabisa Kwenye benchi ikizingatiwa wachezaji wetu wengi ni wazembe na wavivu.

Kama kutaka matokeo ya haraka ni vyema achukuliwe kocha mkubwa kutoka ulaya au amerika ya kusini .
Kwa kutaka matokeo ya muda mrefu kila timu ya ligi kuu ni lazima iwe na timu za watoto na vijana na wawe na waalimu wenye ujuzi.
 
Makocha wa Viungo
Salvatory Edward 'Mtaalam'

Makocha wa Mawinga

Steven Mapunda
Mrisho Ngassa

Makocha wa Washambuliaji

Abeid Msiba
Madaraka Seleman
Mohammed Hussein Mmachinga
Athumani Machupa

Hao watu ni makocha? Wamesomea ukocha? Malima amesomea menejimenti?
 
Nina allergy kujibu maswali ya Kipuuzi. Halafu kuna siku hapa JamiiForums ulisema kuwa Umenibloku / Ignore na kwamba Unanichukia leo kimetokea nini hadi Unanisoma na hapa Kuchangia Thread yangu?
 
Safi sana..kwa mda mrefu natamani Pep mgunda apewe Timu huyu mwamba anajua ligi ya ndani nje ndani na anawajua wachezaji vizuri sana..sijui kwanini tunakomalia wageni kina Kim paulsen na Adel hawataifikisha stars popote...Enzi za nyuma Mexime akiwa kocha msaidizi stars iliwaka kidogo ila zamani kabisa sisi wahenga zama za Mohammed Kibadeni na Mzee wetu Malima Stars ilikua yamoto chini ya wazawa hawa..Bafanabafana,Chipolololo tulijipigia tu...Naamini hata hizi mechi mbili ni kwasababu ya mikono ya Pep mgunda
 
Hapo kwenye washauri aongezwe Mangungu ili minzani ikae sawa
GEXIwu1WwAA4rGM.jpeg
 
Kocha Mkuu Taifa Stars

Juma Mgunda

Kocha Msaidizi Taifa Stars

Hemed Morocco

Makocha wa Makipa

Juma Kaseja
Ivo Mapunda

Makocha wa Mabeki

Nadir Haroub 'Cannavaro'
Victor Costa 'Nyumba'

Makocha wa Viungo

Seleman Matola 'Mzambia'
Salvatory Edward 'Mtaalam'

Makocha wa Mawinga

Steven Mapunda
Mrisho Ngassa

Makocha wa Washambuliaji

Abeid Msiba
Madaraka Seleman
Mohammed Hussein Mmachinga
Athumani Machupa

Wahamasishaji Wakuu

Jamhuri Kihwelo
Fred Minziro

Jopo la Ufundi na Ushauri Taifa Stars

Charles Mkwasa
Abdallah Kibadeni
Kanali Mstaafu Idi Kipingu
Juma Mwambusi
Oscar Mirambo
Sekilojo Chambuzi
Dua Said
Fikiri Magosso
Athumani China
George Masatu

Meneja wa Timu ( Taifa Stars )

Bakari Malima

Afisa Habari na Uhusiano wa Taifa Stars

Kalemera Rwigyema Mazimpaka Kadogoo Kisungura ( GENTAMYCINE )

Washauri Wakuu wa Taifa Stars

JamiiForums Members ( Great Thinkers ) Wote.

Rais Samia, Rais wa TFF Karia, Serikali, BMT, Wadau na Wananchi kama hiki nilichokishauri hapa kikifanyika nina uhakika wa 100% kuwa AFCON ya mwakani ( 2025 ) nchini Morocco Taifa Stars itafuzu 16 Bora, itaenda Robo na mambo yakienda vyema hata Nusu Fainali, Fainali hadi kuwa Mabingwa linawezekana na lisipowezana nawaruhusuni mnirudishe rasmi Kwetu Rwanda katika Mkoa wangu wa Gisenyi ambako nitapokelewa na Rais wangu Paul Kagame kwa Heshima zote tukuka.

Rais wa TFF Karia, Katibu Mkuu wa TFF Kidau, Waziri Dkt. Ndumbaro, Msemaji wa TFF Ndimbo na Kaimu Mkurugenzi wa Michezo Mayai najua na nina uhakika kuwa Wote huwa mnanisoma sana GENTAMYCINE hapa JamiiForums hivyo Bandiko langu hili mlichukue, mlifanyie Kazi na mlitekeleze kama nilivyoandika na kushauri hapa leo hii na mtakuja Kukishukuru na hata kunijengea Sanamu langu "Purely Talented, Charismatic Fella,, Game Changer and Entertainer" Mimi.

Ongeza kipengele wachezaji wa SSC wasiwe ni sehemu ya kikosi

Mtu kama Samata, manula, Hussein n yoyote kutoka SSC . Huwa wanafanya Taifa Stars isifanyee vema
 
Safi sana..kwa mda mrefu natamani Pep mgunda apewe Timu huyu mwamba anajua ligi ya ndani nje ndani na anawajua wachezaji vizuri sana..sijui kwanini tunakomalia wageni kina Kim paulsen na Adel hawataifikisha stars popote...Enzi za nyuma Mexime akiwa kocha msaidizi stars iliwaka kidogo ila zamani kabisa sisi wahenga zama za Mohammed Kibadeni na Mzee wetu Malima Stars ilikua yamoto chini ya wazawa hawa..Bafanabafana,Chipolololo tulijipigia tu...Naamini hata hizi mechi mbili ni kwasababu ya mikono ya Pep mgunda
Huyo unayemsema kwa miaka miwili mfululizo Coastal Union ilinusurika kushuka daraja ikiwa chini yake, ikaponea play off, leo ndiyo apewe timu ya Taifa.
 
Ongeza kipengele wachezaji wa SSC wasiwe ni sehemu ya kikosi

Mtu kama Samata, manula, Hussein n yoyote kutoka SSC . Huwa wanafanya Taifa Stars isifanyee vema
Mkuu Hivi wachezaj wa Tatu Malogo SC (Mbumbumbu/Mwakarobo) walikufanya Nini?
 
Kocha Mkuu Taifa Stars

Juma Mgunda

Kocha Msaidizi Taifa Stars

Hemed Morocco

Makocha wa Makipa

Juma Kaseja
Ivo Mapunda

Makocha wa Mabeki

Nadir Haroub 'Cannavaro'
Victor Costa 'Nyumba'

Makocha wa Viungo

Seleman Matola 'Mzambia'
Salvatory Edward 'Mtaalam'

Makocha wa Mawinga

Steven Mapunda
Mrisho Ngassa

Makocha wa Washambuliaji

Abeid Msiba
Madaraka Seleman
Mohammed Hussein Mmachinga
Athumani Machupa

Wahamasishaji Wakuu

Jamhuri Kihwelo
Fred Minziro

Jopo la Ufundi na Ushauri Taifa Stars

Charles Mkwasa
Abdallah Kibadeni
Kanali Mstaafu Idi Kipingu
Juma Mwambusi
Oscar Mirambo
Sekilojo Chambuzi
Dua Said
Fikiri Magosso
Athumani China
George Masatu

Meneja wa Timu ( Taifa Stars )

Bakari Malima

Afisa Habari na Uhusiano wa Taifa Stars

Kalemera Rwigyema Mazimpaka Kadogoo Kisungura ( GENTAMYCINE )

Washauri Wakuu wa Taifa Stars

JamiiForums Members ( Great Thinkers ) Wote.

Rais Samia, Rais wa TFF Karia, Serikali, BMT, Wadau na Wananchi kama hiki nilichokishauri hapa kikifanyika nina uhakika wa 100% kuwa AFCON ya mwakani ( 2025 ) nchini Morocco Taifa Stars itafuzu 16 Bora, itaenda Robo na mambo yakienda vyema hata Nusu Fainali, Fainali hadi kuwa Mabingwa linawezekana na lisipowezana nawaruhusuni mnirudishe rasmi Kwetu Rwanda katika Mkoa wangu wa Gisenyi ambako nitapokelewa na Rais wangu Paul Kagame kwa Heshima zote tukuka.

Rais wa TFF Karia, Katibu Mkuu wa TFF Kidau, Waziri Dkt. Ndumbaro, Msemaji wa TFF Ndimbo na Kaimu Mkurugenzi wa Michezo Mayai najua na nina uhakika kuwa Wote huwa mnanisoma sana GENTAMYCINE hapa JamiiForums hivyo Bandiko langu hili mlichukue, mlifanyie Kazi na mlitekeleze kama nilivyoandika na kushauri hapa leo hii na mtakuja Kukishukuru na hata kunijengea Sanamu langu "Purely Talented, Charismatic Fella,, Game Changer and Entertainer" Mimi.
Juma Mgunda is overrated. Hana historia ya kufundisha hata timu moja iliyofanya vizuri. Mpaka leo sijajua kwa nini watu wanaamini kwamba ni kocha bora.
 
Naona umetoka kifungoni baada ya kulalamika sana.
 
kwa level yetu,kama tunataka kocha mzawa,basi tumpe oscar mirambo ndio kocha mzawa pekee mwenye exposure kubwa,lakini mimi nashauri tumpe kocha mgeni mfano yule kocha wa timu ya taifa ya wanawake ya spain,ana uzoefu mkubwa sana na timu za afrika
 
Back
Top Bottom