tumemalizana na Ivo Mapunda: Hans Mapunda

tumemalizana na Ivo Mapunda: Hans Mapunda

Wakati mwingine kama huna details kaa kimya au uliza badala ya kujitungia majibu yako. Zilikuwepo news ktk media siku nyingi kuwa Ivo simba walishaanza kumfuatilia na kuna alipokuja stars kambini hata katika mazoezi uwezo wake ulionekanana mkubwa sana. Juzi kocha mpya kasema anahitaji makipa wazuri na wazoefu 2, na baada ya kumuona Berko na huyo dogo akasema wazi dogo mzuri lakini bado anahitaji kupikwa zaidi na huwezi kumtegemea kama kipa wa akiba. Akaangalia mechi za stars tangu mwanzo na akasema anataka kipa dizaini za Ivo, na kwa vile alishatoa dau analotaka tangu awali nadhani kilichofanyika ni kutafuta package na kumalizana nae.
Sio jambo la ajabu hata ulaya kwa mchezaji mzuri kuhamia timu nyingine, ligi nyingine na kutopata mafanikio mara ya kwanza. Kwani huyo De Gea mwaka wa kwanza ilikuwaje...?? Huyo Dhaira angeweza kupewa nafasi lakini hii sheria mpya ya 3 players wa nje nayo ngumu na pia angalia malipo yake !!

Na nyie mnaochonga kandambili kwani sasa mnatafuta striker wa nje wa nini haswa...?? Na mna makipa wangapi ....huyo muuza mechi ni kama ZZK tuu subirini kama hamtamtimua maana once a thief always a thief ha ha ha..

Mkuu hatamimi nimebaki kinywa wazi, yani kudaka peneti tu tayari keshaonekana anafaa. Simba kwa hapo wamechemka.
 
mijitu kama Hans Pope ni ovyoo kabisa

Hii nchi kama tumerogwa vile,uwezi kumchukua yaw berko,ambaye hata kwa umri tu kama sio wapo sawa basi watakuwa wanakaribiana,huu ni ujinga wa hali ya juu,kwa mantiki hiyo walikuwa awana sababu hata moja yakumwacha kaseja.


Soka la bongo kila siku vituko tu.
 
Mkuu hatamimi nimebaki kinywa wazi, yani kudaka peneti tu tayari keshaonekana anafaa. Simba kwa hapo wamechemka.

Kuna wachezaji wa msimu kama Bahanuzi, yule dogo aling'ara sana kombe la Kagame, baada ya hapo haonekani kabisa, nadhani mkataba wake ukiisha itakuwa finito. Mapunda kama hajui kufa atazame kaburi.
 
Ninge kuwa Rafiki wa IVo ,ningemshauri abaki hukohuko, mpra wake ulipopanda,huku anakuja kujimaliza.Hawa Simba na Yanga ni Talent Killers.
wewe ni mgeni na wachezaji wa bongo!!hujui kuwa wanapenda kuishi Dar es salaa!!
 
Hii nchi kama tumerogwa vile,uwezi kumchukua yaw berko,ambaye hata kwa umri tu kama sio wapo sawa basi watakuwa wanakaribiana,huu ni ujinga wa hali ya juu,kwa mantiki hiyo walikuwa awana sababu hata moja yakumwacha kaseja.


Soka la bongo kila siku vituko tu.
Huo si usajili, ni kurundika wachezaji, timu zetu huwa hazisajili bali zinarundika wachezaji
 
Hans Mapunda kamsajili Ivo Mapunda Simba.......Kabaaaaaaaaaaaaaaaannnnnnnnng
 
bado nasimama kidete, IVO si kipa mzuri asilani, au tumednganyika na zile penati?
 
anatema sana mipira Ivo na si mzuri wa Korsi
 
Ninge kuwa Rafiki wa IVo ,ningemshauri abaki hukohuko, mpra wake ulipopanda,huku anakuja kujimaliza.Hawa Simba na Yanga ni Talent Killers.

Kwangu hata kama c talent lakini mimi kama mshabiki wa simba c vyema kusajiliwa na simba kwa sasa kwani inaweza kuleta mambo tofauti Mapunda kama unataka kubaki na uwezo wako rudi tu kenya
 
Kweli simba na yanga si timu nzuri embu ona kibadeni amefukuzwa simba wakati alipata shavu kagera sugar Ivo baki hukohuko Kenya.
tatizo watu wanakuwa viongozi wa simba na yanga ili wawe maarufu na sio kuendeleza klabu na wengine ni njaa tu.uwa wanategemea klabu kwa kila kitu
 
muacheni apate pesa za uzeeni jamani

Ccc Masuke, Kitoabu,Amavubi
 
Anaesajili wachezaji ni Friends of Simba, jukumu la timu kufanya vizuri lipo mikononi mwa kocha.

Anayelipa mishahara ni mtu binafsi kutoka kwenye mfuko wake.

Soka la bongo lilistahili liingie kwenye Guiness
 
Back
Top Bottom