Tumechoka kuumizwa!

Labda kwa sababu mko wengi with varied qualities. Teteteteteteteeeeeee! Si unajua tena mko kama maua, with different colours and odour!

Mkuu Ndyoko naona umegonga ikulu, na wanaume ndio nyuki wenyewe! uliona wapi nyuki akaenda kutafuta asali kwenye ua moja tu... lazima achovye yote ndio ipatikane asali ya ukweli bana....
 
Hii sread imenichekesha sana. I see wanaume weanatuumiza sana ila wanawake nikiwemo ni vunja mifupa kama bado meno iko.

Siku zote mimi napenda kusikiliza pande 2, inawezekana huyu dada angekuja na mwenzie tungejua ukweli ulipolalia, hii ya kulalama peke yake haiswihi kabisa.

NN naona anataka kulia, ungekuwa mbele yake angekuchapa kofi!
 
why wanaume mmekuwa kama wadudu msioshiba na mwanamke mmja nowdayz hamna mapenzi ya kweli mnachojali ni kupata penzi tu acheni hizo tumeshachoka kuumizwa na nyie!!
Utakuwa umekiona kilichomnyonyoa kanga manyoya... pole dada. Am a man, and got hurt by a girl. As for me, I might tell u, binadamu wote ni waovu. Ndio Maana hata bible inasema tunaokolewa kwa neema. Si mwanamume wala mwanamke, tofauti yetu ni uume na uke. The rest ni usanii tuu. Period!
 
Wanaume always wanaona mwanamke ndo chanzo.nyie ndo mapapa,na wasababishaj wa wanawake kucheat,hampendek wala hambebek
 
I'm sick and tired of these one sided attacks from these people.

They go around portraying this innocent and wholesome persona when in actual fact they are just as bad as men are.

It's about time to start dispensing some too much truth up in here.
Thanks mkuu... ni myopia na guilty consciousness inayodrive baadhi ya watu kukimbilia kulaumu
 
Wooooote mimi nawambia ifuatavyo;
  • Kila mtu ni kigeugeu, japo kwa namna na viwango tofauti-tofauti....!
  • Never overweight your expectations; because it is better you expect the good, and getting the better, than expecting the best, but getting the better...!
  • Take note that; Nobody was born to trust a human being; even him/herself.....! So, it is non of anyone's business to trust someone; except LORD....! And therefore, Only fools may trust their partners....! But, it is every body's responsibility to be trustful to everyone...! Now, to what extend did you performed your responsibility before crying?
  • For women : It is well already known that wherever you go around this world, the number of women and men is not equal...! And always the number of women is found greater than the number of men...! Now, do you think GOD made a mistake to bring many women than men to this world? Do you think GOD had an intention of making other women to suffer for having no partners? Definitely NO! If so, and you women claim to own a man alone; (a relationship of one man V/S a one woman), where do you expect other women to get what you are enjoying? Hii yote ni uchoyo, na nawashauri kusahre ili haya mambo ya kuumizana yaishe...!
Ni mtazamo wangu tu...!
 
Mh!Hivi kumbe na nyie?Mi nimejiuzulu mahusiano kwa sababu ya ujinga na ulaghai wenu wanadada!
 
Kimsingi mapenzi yote ni usanii so lovers ni wasanii, na wasanii ni liars. Na usanii ndo unafanya watu wadumu mda mrefu maaana how can you love for eternity. Pia wasichana wamekuwa wazuri usipime na wana cooperate kwa sana so inabidi uwe na moyo wa mwendawazim hivvi kujifanya huwaon. Kwa akina dada mjue mpo kwenye ushindani mkali miongoni mwenu dhid ya wanaume. jipangeni upya la sivo mtakaa kulalamika na what you call kutendwa. Zamani mdada anatongozwa mwaka leo is just one call.
 
x- girlfriend wangu alipata ajali ya bus nikamlipia matitabu kwa miaka 2 akiwa kitandani kila kitu juu yangu hata ndg zake waliaza kumuona mzigo, sikukata tamaa alipo anza kutembea kwa kutumia magongo akaomba akae moshi kwa shangazi yake , baada ya miezi 6 napata taarifa kuwa anaolewa na wakati huo tayari anamimba ya miezi 4 je nimaumivu kiasi gani? niliyo pata
 
na haya mambo yenu sijui ya kutokufunguka moyo wote,

mnajikuta mpaka kwenye ndoa mnakuwa hivyo hivyo...............

sasa sijui sehemu nyingine hiyo ya moyo mwampatia nani?lol....

watoto
 
kuhumizwa labda kama unataka mwenyewe dawa ni jino kwa jino kama bubu hakuna kusemeshana .waswahili wanasema ukimwaga ugali me namwaga mboga shashaa hapoooooooo uanze nimalize .hawa wanaume wa sikuhizi usipokuwa mafya wanakuingizia vidole mpaka machoni
 
ILA NI KWELI NN WANAUME NI WAONGO, My viewpoints are based on what I have seen and observed and the different kind of liars I have met so far!
so you are an old experienced horse, is that what you mean?
 
x- girlfriend wangu alipata ajali ya bus nikamlipia matitabu kwa miaka 2 akiwa kitandani kila kitu juu yangu hata ndg zake waliaza kumuona mzigo, sikukata tamaa alipo anza kutembea kwa kutumia magongo akaomba akae moshi kwa shangazi yake , baada ya miezi 6 napata taarifa kuwa anaolewa na wakati huo tayari anamimba ya miezi 4 je nimaumivu kiasi gani? niliyo pata


Duuh,ero.....hiyo nauma kabisa na nakata maini mpaka bandama aiseee.......
 
FACT IS DIC mnatuchuna sana ndo mana na wakati tunawatongoza mnatuzungusha sasa hayo ndo malipo tena boys mniege clali na demu mara 2 na kunkatalia me n vgumu sam saideya facebuk unxome ndo utaelewa
 
why wanaume mmekuwa kama wadudu msioshiba na mwanamke mmja nowdayz hamna mapenzi ya kweli mnachojali ni kupata penzi tu acheni hizo tumeshachoka kuumizwa na nyie!!

waambie aisee, kila siku wanatuvunja moyo
 
Back
Top Bottom