Tumechoka kusemwa humu ndani jamani

Tumechoka kusemwa humu ndani jamani

Tatizo mnafananisha mvua na mawe. Ila sijaona sehemu mnasemwa kwa ubaya ,kila kwa baadhi niyaonayo humu chumbani ni masuali ya hapa na pale ,humu hatumo msibani ,kwamba tupeane pole na kumuombea maiti aende peponi japo hastahili.

Tutauliza tutahoji ,unaweza kujibu sawa huna ujuzi wa kujibu pia sawa ,limechangiwa sawa halikuchangiwa pia sawa ,it will cost nothing au nafikiri will taste the same ,kwa mfano mimi huwa nachangia,natoa uzi kisandukuni na karibu sio hapa tu ,nimezunguka vyumba vyote vile ambavyo viko open to public au mimi huviita vyoo vya serikali na huko najibu natoa mada ,tena nashkulu sina tabia ya kuchagua huyu flani huyu fulani hapana ,naona mazali amejiunga JF ni mwenzangu kiJF awe mrengo wa kushoto au kulia ,naweza kushare na sheya .

Sasa unapovalia njuga na kuwashauri wengine wote wasichangie mada za warume ambazo zinawagusa wanawake mbona kuna mada zinawagusa wanawake tena hatari na zinatolewa na wanawake.

Labda ukiniambia wewe ndio mkubwa wao au ndie kiranja wao au ndio kiongozi wao ,kama si hivyo inakuwaje unataka kuwafunga vidole wengine ,mtu halazimishwi kuchangia ,na kuchangia inatokana na mudi aliyonayo msomaji ,ukweli au wuwongo anaujua mwenyewe muandikajih ,

Furaha aliyonayo au hasira alizonazo moyoni mwenyewe anakuja kujiliwaza JF ,akisoma akicheka akinuna muhimu anaupa furahisho moyo wake ,sasa anakuja JF kwa haraka na kishindo akiingia anaona mada yako ,si luhusa kuchangiyah ,hih yaani unamvurugah kama alikuwa anakuja kupunguza machou na kujiliwaza inakuwa umemzidishia.

Madea dont be like thaaaaat ,dont keep joto la roho on your heaaaart, I think i can fly ,be happy !!

Nafikir kuna kitu mnashindwa kukifahamu na pengine wadada hamuelewi kuna mashule yanafundisha elimu ya jinsia ,ni lazima mnikubalie kuwa kuna masuali na mazungumzo huwezi kumsungumsia baba yako,mama yako ,dada yako ,kaka yako hyazungumziki kabisa wala hayauliziki hata iweje ,ila katika jukwaa la elimu ya MMU uko huru kuhuliza na waliopo wapo hulu kujibu na akina moderator wana vipimo vyao ,sasa tatizo lako lipo wapi ?

Kama kuna mtu huko ulikotoka kakukolofisha sio mbaya umetua na hasira hapa ,inakubalika.
 
Kajifunze kwanza kuandika ndo uingie humu atuitaji vilaza humu.Au ndo wale mliofaulu darasa la saba (hamju) KK nini?

hahaaaaa! wewe ni mwalimu wa kiswahili kweli kilaza awezi kumuongoza kilaza mwenzake(HAMJU) ndo nini sasa aya uliye soma unaitajika umu.
 
Mimi ninakuunga mkono. Mimi ni mwanaume lakini ninashangazwa sana na mfumo dume ulioko hapa kwenye hii forum. Ninaoga mambo mengi sana ambayo yanamdhalilisha mwanamke, lakini wanawake nanyi bila kujua sijui ama ni kukubaliana na udhalilishaji huu, mmekuwa mkishiriki ama kunyamaa kana kwamba hii midume inayojiweka miungu watu kwa wanawake ina sifa yoyote ya kujiweka pale.

Mara nyingi hata vinavyoongelewagwa huwa ni pumba tu na ndiyo maana mara nyingine huwa naingilia kuwatetea ninaposhindwa kustahimili.

Pamoja na kususia, naomba mods, kuanzia sasa, uzi wowote wenye udharirishaji wa kijinsia iwe kwa mwanamke ama kwa mwanamme, usikubalike hapa. Tunazidi kuwa wapumbavu na kujenga jamii ya kijinga isiyokuwa na adabu wala kuheshimiana hadi lini. Naugana na ninyi wanawake.

Anayependa kudhalilishwa atapinga lakini mwacheni aendelee na maisha yake, maana yawezekana amelelewa vile kwenye jamii yake. Lakini ukweli kudhalilisha wamama hatutaki!.

Bora umesema mkuu maana kila kukicha ni wanawake tu ndio topic.
 
Lakini mkuu hili halikuwepo kwenye maazimio ya BEIJING, au ni azimio la wapi hili, any way kama mwatembea uchi musiambiwe, kama mwauza papuchi musiambiwe,

Hongereni azimio ni zuri

kwani hizo nyuchi we unanunua? ukiacha kununua sidhani kama wataendelea kuuza.
 
Mdida nimekusoma dawa nikutafuta thread za ukweli juu ya uovu wa wanaume na inaonekana humu MMu wanaume ni wengi kuliko wanawake so wakilala wakiamka wanawaza mauzi ya michepuko yao then wanakuja kuropoka humu, sababu hayo maovu wanayofanya wanawake wanayafanya wakiwa na pacha zao wanaume ........inashangaza eti wanawake wanaongoza kwa.......:baby:

Inauma sana ujue, kila uchao wanawake.
 
usipomuongelea mwanamke utamuongelea nani? hakuna chochote duniani bila mwanamke. MMU bila mwanamke itakufa kifo cha mende....... angalizo kwa wanaume wote ni kuwa msiwatukane mama zenu... wakati mwingine mabaya mnayoyaona kwao yanasababishwa na ninyi wenyewe.

Waambie! na hii ni kampeni endelevu yaani hapa ndo tumeanza.
 
kwani hizo nyuchi we unanunua? ukiacha kununua sidhani kama wataendelea kuuza.

kwa nn biashara zinatangazwa? kumshawishi mtu anunue, wacheni biashara kwanza muone kama tutanunua
 
Tatizo mnafananisha mvua na mawe. Ila sijaona sehemu mnasemwa kwa ubaya ,kila kwa baadhi niyaonayo humu chumbani ni masuali ya hapa na pale ,humu hatumo msibani ,kwamba tupeane pole na kumuombea maiti aende peponi japo hastahili.

Tutauliza tutahoji ,unaweza kujibu sawa huna ujuzi wa kujibu pia sawa ,limechangiwa sawa halikuchangiwa pia sawa ,it will cost nothing au nafikiri will taste the same ,kwa mfano mimi huwa nachangia,natoa uzi kisandukuni na karibu sio hapa tu ,nimezunguka vyumba vyote vile ambavyo viko open to public au mimi huviita vyoo vya serikali na huko najibu natoa mada ,tena nashkulu sina tabia ya kuchagua huyu flani huyu fulani hapana ,naona mazali amejiunga JF ni mwenzangu kiJF awe mrengo wa kushoto au kulia ,naweza kushare na sheya .

Sasa unapovalia njuga na kuwashauri wengine wote wasichangie mada za warume ambazo zinawagusa wanawake mbona kuna mada zinawagusa wanawake tena hatari na zinatolewa na wanawake.

Labda ukiniambia wewe ndio mkubwa wao au ndie kiranja wao au ndio kiongozi wao ,kama si hivyo inakuwaje unataka kuwafunga vidole wengine ,mtu halazimishwi kuchangia ,na kuchangia inatokana na mudi aliyonayo msomaji ,ukweli au wuwongo anaujua mwenyewe muandikajih ,

Furaha aliyonayo au hasira alizonazo moyoni mwenyewe anakuja kujiliwaza JF ,akisoma akicheka akinuna muhimu anaupa furahisho moyo wake ,sasa anakuja JF kwa haraka na kishindo akiingia anaona mada yako ,si luhusa kuchangiyah ,hih yaani unamvurugah kama alikuwa anakuja kupunguza machou na kujiliwaza inakuwa umemzidishia.

Madea dont be like thaaaaat ,dont keep joto la roho on your heaaaart, I think i can fly ,be happy !!

Nafikir kuna kitu mnashindwa kukifahamu na pengine wadada hamuelewi kuna mashule yanafundisha elimu ya jinsia ,ni lazima mnikubalie kuwa kuna masuali na mazungumzo huwezi kumsungumsia baba yako,mama yako ,dada yako ,kaka yako hyazungumziki kabisa wala hayauliziki hata iweje ,ila katika jukwaa la elimu ya MMU uko huru kuhuliza na waliopo wapo hulu kujibu na akina moderator wana vipimo vyao ,sasa tatizo lako lipo wapi ?

Kama kuna mtu huko ulikotoka kakukolofisha sio mbaya umetua na hasira hapa ,inakubalika.

kisandukuni ndo wapi?
 
Ondokeni kwan lazima muwemo jf,ebo mnamtisha nani?au mnatulipa mshahara,yaani mtupige mizinga tuwaangalie!kwanin hamsemi kuacha kupiga mizinga?
 
Wanatishia kuondoka kwa vile wanajua hawawezi na kamwe hawatathubutu kuondoka kwa vile bila maji hamna chai! wapo wapo sana! wameamua tu kuchangamsha vidole vyao!
 
Kuna mtu kaandika mengi ila limwandiko libaya hadi uvivu kusoma.
Kajifunzeni kuandika jamani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom