the american dream
JF-Expert Member
- Mar 25, 2013
- 1,754
- 836
Ngoja nipite watu wana hasira sana pande hz
Kuanzia leo wanawake wote humu MMU tuungane kususia kuchangia thread zinazotugusa, humu maana kila siku thread zote ni kuhusu wanawake (mama zao, shangazi zao, watoto wao wa kike,) kwa uchungu nilionao juuya hili jambo. Ninawaomba wanawake wenzangu kususia thread zote zitakazokuwazinawagusa wanawake kwa muda wa mwezi mmoja. Yaani huo mwezi ukiishamsipojirekebisha tunaondoka kabisa. Toenimaoni yenu tufanyeje ili hawa viumbe watutoe midomoni mwao. Au tuwarudishetumboni tulimowatoa? Karibu Ladies tujadili. Ni kwa wanawake tu.
Mkuu waongenzee na hii, wanawake walio wengi ni wachawi.
Kuna mtu kaharibu hapo imenibidi nibaki
Maneno mkuki hekima Ngao- Fid q
Maneno ni sumu, sumu balaa - Ditto
Mii nasubiri conclusion yenu!
huyo mwanaume alikubaka?
Niubake uzi lakn sahamani ladies kama nitawakosesha raha!
Lengo kuu la jf, kubandilisha mawazo, kujifunza, na kujadili mambo mbali mbali ya kijamii, kiuchumi kisiasa na kiutamanduni,
vileve jf ipo kwa ajili ya kuonya ,kuasa na kukosoa yale mabaya yanayofanyika katika jamii zetu.
lengo la jf siyo kujudge kundi fulani, la kidini, kijinsia, kikabila n.k .
kwa nyie wanawake ni kweli mnaongoza kusemwa hasa mmu. basi kama mnataka msisemwe sana, munatakiwa kuyaacha yale mabaya, maovu na makosa mnayoyafanya katika jamii zetu
mwanawake mmu naweza kuwafanyanisha na ccm katika jukwaa la siasa
nadhani unajua mabaya yanayofanywa na ccm katika jamii.
na uwe mpole usije kula ban
Sina historia ya ban mimi
UKICHOKA C UNAPUMZIKAAA??? sio lazima uendelee tu huku umechoka loh!! wenzio wasiochoka wanaendeleaAfu kwani wanawake tu wananya makosa? nauliza tu, tumechoka.