MWALLA
JF-Expert Member
- Dec 12, 2006
- 16,952
- 10,510
hahahaa umekuja lini mjini?Sina historia ya ban mimi
hahahaa umekuja lini mjini?Sina historia ya ban mimi
Hapa naona kama kuna vita vile...
Tatizo lenu hampende kukosolewa mnapenda tu mbembelezwe.Ikikuwa ni viti maalumu au nafasi nyingine za ulaji vinanadiwa wanawake humu usingelalamika.Lazima muongeleke humu kwasababu mnaongoza kwa kuvunja maadili kwenye jamii na kuwaingiza wanaume wengi kwenye dhambi bila wao kutaka kutokana na mavazi yenu.
Niubake uzi lakn sahamani ladies kama nitawakosesha raha!
Lengo kuu la jf, kubandilisha mawazo, kujifunza, na kujadili mambo mbali mbali ya kijamii, kiuchumi kisiasa na kiutamanduni,
vileve jf ipo kwa ajili ya kuonya ,kuasa na kukosoa yale mabaya yanayofanyika katika jamii zetu.
lengo la jf siyo kujudge kundi fulani, la kidini, kijinsia, kikabila n.k .
kwa nyie wanawake ni kweli mnaongoza kusemwa hasa mmu. basi kama mnataka msisemwe sana, munatakiwa kuyaacha yale mabaya, maovu na makosa mnayoyafanya katika jamii zetu
mwanawake mmu naweza kuwafanyanisha na ccm katika jukwaa la siasa
nadhani unajua mabaya yanayofanywa na ccm katika jamii.
Mimi mtu akinichokoza kumkalia kimya huwa siwezi sijui kwa nini
unatambaa nn au ndo unajifunza kutembea mwanaume mzima mwenye akili zako timamu ati mwanamkekwenye DHAMBI bila we kujua unajiamini kweli weweamekuingiaza
hahahaa umekuja lini mjini?
kuna vita gani hapa?