Tumechoka kusemwa humu ndani jamani

Tumechoka kusemwa humu ndani jamani

Mbona hamjisemi wenyewe mnavyosababisha ushoga?

Halafu mkija hapa full kujitia mnalaani ushoga wakati ushoga ni wanaume wenyewe.
Badilikeni la sivyo wanaume wote mtakua mashoga maana mnatamaniana.
Ptuuu!

Mashoga wako dar es salaam tu, kijijini wala hutosikia neno shoga linatajwa. lakn wanawake kila kOna wanafanya uchangudoa.
 
huna hata adabu kuona umeulizwa kuhusu mamaako halafu wajibu comfortably kabisa eti timu nini sijui.
Wakianza kusemwa ma miss bantu utachangia kweli au
heshma ni kitu cha bure, mbona sie tunawapa heshma zenu ingawa mnatusumbua sana majumbani humu.
Kutwa kutudhalilisha mitaani tukupita kisa umeolewa na janadume lenye tabia mbaya
 
Kuanzia leo wanawake wote humu MMU tuungane kususia kuchangia thread zinazotugusa, humu maana kila siku thread zote ni kuhusu wanawake (mama zao, shangazi zao, watoto wao wa kike,) kwa uchungu nilionao juuya hili jambo. Ninawaomba wanawake wenzangu kususia thread zote zitakazokuwazinawagusa wanawake kwa muda wa mwezi mmoja. Yaani huo mwezi ukiishamsipojirekebisha tunaondoka kabisa. Toenimaoni yenu tufanyeje ili hawa viumbe watutoe midomoni mwao. Au tuwarudishetumboni tulimowatoa? Karibu Ladies tujadili. Ni kwa wanawake tu.

Naunga mkono, mguu, sikio, pua, jicho hoja!
 
umepanic naona looo kwaio unahamasisha mgomo??? haya maandamano yanaanzia wapi
 
Ukishaona watu wakosa uvumilivu wa kukosolewa ujue hawataki kurekebika.Hawa ndio Dada,wake na mama zetu wa Leo.
 
Mashoga wako dar es salaam tu, kijijini wala hutosikia neno shoga linatajwa. lakn wanawake kila kOna wanafanya uchangudoa.

Tukiweka hapo mbele ya macho yako tendo la ushoga na uchangu yafanyike,Washiriki watakua WANNE
Wanaume WATATU na Mwanamke MMOJA
Sijui umeelewa point yangu vizuri.
 
Kuanzia leo wanawake wote humu MMU tuungane kususia kuchangia thread zinazotugusa, humu maana kila siku thread zote ni kuhusu wanawake (mama zao, shangazi zao, watoto wao wa kike,) kwa uchungu nilionao juuya hili jambo. Ninawaomba wanawake wenzangu kususia thread zote zitakazokuwazinawagusa wanawake kwa muda wa mwezi mmoja. Yaani huo mwezi ukiishamsipojirekebisha tunaondoka kabisa. Toenimaoni yenu tufanyeje ili hawa viumbe watutoe midomoni mwao. Au tuwarudishetumboni tulimowatoa? Karibu Ladies tujadili. Ni kwa wanawake tu.

mi nawapenda tu,msiwe mnanitosa
 
Ukishaona watu wakosa uvumilivu wa kukosolewa ujue hawataki kurekebika.Hawa ndio Dada,wake na mama zetu wa Leo.

Kukosolewa ndio kunatujenga.
Ila mnachofanya jf ni kututukana, kutukashifu, kutudhihaki na kutuudhi makusudi tu.
Lengo lenu sio kurekebisha bali kudhalilisha.
 
Mimi ninakuunga mkono. Mimi ni mwanaume lakini ninashangazwa sana na mfumo dume ulioko hapa kwenye hii forum. Ninaoga mambo mengi sana ambayo yanamdhalilisha mwanamke, lakini wanawake nanyi bila kujua sijui ama ni kukubaliana na udhalilishaji huu, mmekuwa mkishiriki ama kunyamaa kana kwamba hii midume inayojiweka miungu watu kwa wanawake ina sifa yoyote ya kujiweka pale.

Mara nyingi hata vinavyoongelewagwa huwa ni pumba tu na ndiyo maana mara nyingine huwa naingilia kuwatetea ninaposhindwa kustahimili.

Pamoja na kususia, naomba mods, kuanzia sasa, uzi wowote wenye udharirishaji wa kijinsia iwe kwa mwanamke ama kwa mwanamme, usikubalike hapa. Tunazidi kuwa wapumbavu na kujenga jamii ya kijinga isiyokuwa na adabu wala kuheshimiana hadi lini. Naugana na ninyi wanawake.

Anayependa kudhalilishwa atapinga lakini mwacheni aendelee na maisha yake, maana yawezekana amelelewa vile kwenye jamii yake. Lakini ukweli kudhalilisha wamama hatutaki!.

Kuanzia leo wanawake wote humu MMU tuungane kususia kuchangia thread zinazotugusa, humu maana kila siku thread zote ni kuhusu wanawake (mama zao, shangazi zao, watoto wao wa kike,) kwa uchungu nilionao juuya hili jambo. Ninawaomba wanawake wenzangu kususia thread zote zitakazokuwazinawagusa wanawake kwa muda wa mwezi mmoja. Yaani huo mwezi ukiishamsipojirekebisha tunaondoka kabisa. Toenimaoni yenu tufanyeje ili hawa viumbe watutoe midomoni mwao. Au tuwarudishetumboni tulimowatoa? Karibu Ladies tujadili. Ni kwa wanawake tu.
 
Hii thread ni wanawake tu sasa sijui unataka nini mkuu. Waache waamke waje maana mnatuonea sana tune tutakavyojipanga na haya mashambulizi yenu dhidi yetu kila siku.

Kama mnatujadili sisi kwanini tusipate na sisi nafasi ya kusikilizwa?? Wapo kati yetu watakaoungana na nyie na wapo pia wa kuwapinga
 
Yani Team artificial wakati mwingine ni comedy aisee,utakuta usoni keupeeee mtazame mikono na miguuni utakimbia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom