Eleza alivyo itukana na kuichafua nchi.Tundu Lissu akiwa huko Ulaya na Marekani ameichafua sana na kuitukana sana nchi yetu na uongozi wake na baadhi ya wafuasi wake wakishangilia na ku support mikutano hiyo.
Maongezi aliyoyafanya Mhe Tundu Lissu lazima tu yazae matunda na wapo wataofaidi na pia ambao hawatafaidi mikutano hiyo.
Hongereni wale mnao anza kula matunda ya mikutano hiyo maana ilikuwa mikutano muhimu sana kwenu.
Ukijisaidia njiani ukaonwa, aliyekuona akisema umejisaidia njiani anakuwa hajakutukana!
Btw kwa mara ya pili unakosa uvumilivu wa kutoandika juu ya Lissu kama ulivyo haidi.....