Tumeanza kula matunda ya mikutano ya Tundu Lissu Ulaya na Marekani

Wacha uongo wewe Lissu hata siku moja hawezi kulichafua Taifa la Tanzania. Kuna tofauti kubwa sana ya kuichafua Serikali iliyojaa majizi, mafisadi, waongo, WAUAJI na kulichafua Taifa. Uzushi wako kuhusu lissu kulichafua Taifa mwisho kwa wazushi wenzio lumumba si humu.

Tundu Lissu akiwa huko Ulaya na Marekani ameichafua sana na kuitukana sana nchi yetu na uongozi wake na baadhi ya wafuasi wake wakishangilia na ku support mikutano hiyo.

Maongezi aliyoyafanya Mhe Tundu Lissu lazima tu yazae matunda na wapo wataofaidi na pia ambao hawatafaidi mikutano hiyo.

Hongereni wale mnao anza kula matunda ya mikutano hiyo maana ilikuwa mikutano muhimu sana kwenu.

Wewe mbweha peleka ufala wako huko kwa vilaza mbumbumbu wenzako, yaani Tundu Lisu kalichafua Taifa kivipi? Kwani Tundu Lisu alijipeleka huko Ulaya? Kumbuka
Kama siyo wewe kwenda Dodoma na kikundi cha Daud Maliyamungu Bashite kumpiga Risasi leo hii asingekuwa huko Ulaya, chanzo ni wewe na unyama wako.
 
Wacha uongo wewe Lissu hata siku moja hawezi kulichafua Taifa la Tanzania. Kuna tofauti kubwa sana ya kuichafua Serikali iliyojaa majizi, mafisadi, waongo, WAUAJI na kulichafua Taifa. Uzushi wako kuhusu lissu kulichafua Taifa mwisho kwa wazushi wenzio lumumba si humu.

CCM ndiyo wanalichafua Taifa kwa matendo yao maovu, udikteta wao kuwabambikia kesi kuwapiga Risasi Wapinzani nk
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Anaongea Mambo ya uwongo na kuzusha taharuki ambayo haipo.....hao watanzania 400 waliouwawa huko Kibiti na Ikwiriri Ni taarifa za uwongo anazozieneza huko ulaya. Na mengine kadha wa kadha.
Acha ushamba wako toka kolomije Tundu Lisu hajaongea Uongo wowote acha kusaka Teuzi kwa mgongo wa Tundu Lisu, tambua kuwa watanzania wameamka hawana mda kukusikiliza wewe mshamba.
 
ndivyo anavyokudanganya Lissu ili ateke akili yako na uendelee kumsapoti kuwa haitukani nchi.
Acha ushamba wako toka kolomije na chato wewe tambua kuwa Tundu Lisu halichafui Taifa bali anaongea Ukweli yale Maisha halisi ya Tanzania ya sasa inayotawaliwa na mtukufu malaika toka chato na Naibu Rais ndugu Daud Maliyamungu Bashite toka kolomije.
 
Watetezi wa CCM kwa 80% wapo gheto kwa cyprian Musiba na Le mutuz wanakariri ujinga toka kwao kisha kuingia mitandaoni kuwasumbua watu, CCM imejilundikia watetezi vilaza watupu ni vigumu CCM wahimili nguvu ya wananchi wasiopenda udikteta wao humu mitandaoni.
 
Huu ni uongo wa mchana. Hata shetani "baba wa uongo" atakubaliana na mimi. Tundu Lissu katika mikutano yake hakutamka hata neno moja la kuitukana nchi.

Nilimsikiliza Lissu kwa makini sana. Ukimsikiliza vizuri ni lazima utaingiwa na chembechembe za ufahamu kuhusu uzalendo wa kweli. Ninamwombea apone haraka na akipona tumhamasishe afanye ziara ya pili kabla ya kurudi kugombea Urais.

Kama mchango wangu katika kukuza uzalendo nime-download hizo hotuba alizotoa zote. Nina mpango wa kuzisambaza huko mtaani vijana wamsikilize wajifunze uzalendo.

Ninaamini miaka michache ijayo vijana wazalendo watakuwa wanazitafuta huko YouTube wamsikie huyu nguli wa sheria na mwanaharakati wa kipekee katika ukanda huu.
Tafadhali tifanyie, leo tuu unaona wachawi wanafyotapika, uwongo uwongo uwongo walishindwa kumzima kwa risasi wanafikiri fitna yao itashinda,
 
huwezi kutenganisha Taifa na Serikali usinidanganye......kisa tu huyo msaliti huko ulaya kaongea.
Wewe mwenyewe hajielewi ni mbumbumbu zuzu juha unawezaje kujua alichokiongea Tundu Lisu? Umejitoa fahamu mpaka unatia aibu, Tambua kuwa Taifa zima halikuwatuma Serikali ya CCM kwenda Dodoma kumpiga Risasi, hivyo ujue kuanzia sasa Taifa na Serikali ya CCM ni vitu viwili tofauti na ujue pia Tundu Lisu siyo msaliti kwani kazi ya upinzani ni kuikosoa Serikali ya CCM siyo kuwasifia hata mkiiba trilion 1.5 kujenga chato Airport kienyeji pasipo idhini ya Bunge na uovu mwingineo mwingi.
 
Dawa yake mumfuate hukohuko.Akitoa hoja mnatoa jibu la hoja.Mkimsubiri huku haisaidii.Ni kama mnamsubiri kichochoroni mumkabe.

CCM hakuna wa kumjibu Tundu Lisu hata Katibu mkuu wa CCM mwenyewe anamuogopa Tundu Lissu kama ukoma na anajua akishindana nae atamuumbua juu ya Uraia wako toka Rwanda.
 
waulize wanakuzunguka au marafiki zako ...adhabu ya msiliti ni ili watakujibu vizuri tu......ukiwa mchezaji badala kufunga goli kwa timu pinzani wewe unakwenda kufunga goli kwenye timu yako utaona utakachofanywa na wachezaji wenzako....

Acha ushamba mifano yako ya kijuha haina mashiko nani msaliti? Kasariti nini lini? Tundu Lisu kasema Ukweli na huko CCM cha ajabu eti Ukweli ni usariti, ukisema Ukweli huko CCM tafasiri zao ni za kishamba sana, wanatumia visingizio vya kijinga jinga kuwakomoa kuwabambikia kesi kuwapiga Risasi Wapinzani, mtambue kuwa hakuna mabaya yasiyo na mwisho na mwisho wa ubaya ni aibu, walikuwepo akina Bokassa, mabutu, Gadafi, Abacha, chiluba, sadam Hussein, Iddy Amin dada aliyekuwa na msaidizi wake aliyeitwa colonel Maliyamungu alikuwa na roho mbaya kama ya cyprian Musiba na Bashite leo hii wapo wapi?
 
Tundu Lissu akiwa huko Ulaya na Marekani ameichafua sana na kuitukana sana nchi yetu na uongozi wake na baadhi ya wafuasi wake wakishangilia na ku support mikutano hiyo.

Maongezi aliyoyafanya Mhe Tundu Lissu lazima tu yazae matunda na wapo wataofaidi na pia ambao hawatafaidi mikutano hiyo.

Hongereni wale mnao anza kula matunda ya mikutano hiyo maana ilikuwa mikutano muhimu sana kwenu.
Mkuu Tatum walio like uzi wako kuonyesha wanakuunga mkono wako 7 walio Like post iliyokupinga na ambayo kimsingi inamuunga mkono lisu wako 101 je wewe na serikali mnajifunza nini?
 
Mkuu Tatum walio like uzi wako kuonyesha wanakuunga mkono wako 7 walio Like post iliyokupinga na ambayo kimsingi inamuunga mkono lisu wako 101 je wewe na serikali mnajifunza nini?
hao wote 101 ni chadema wana haki na hayo maoni yao.
 
Back
Top Bottom