Tumeanza kula matunda ya mikutano ya Tundu Lissu Ulaya na Marekani

Tundu Lissu akiwa huko Ulaya na Marekani ameichafua sana na kuitukana sana nchi yetu na uongozi wake na baadhi ya wafuasi wake wakishangilia na ku support mikutano hiyo.

Maongezi aliyoyafanya Mhe Tundu Lissu lazima tu yazae matunda na wapo wataofaidi na pia ambao hawatafaidi mikutano hiyo.

Hongereni wale mnao anza kula matunda ya mikutano hiyo maana ilikuwa mikutano muhimu sana kwenu.
Hayo matunda ni matokeo ya ubishi wa jiwe na genge lake la lumumba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tundu Lissu akiwa huko Ulaya na Marekani ameichafua sana na kuitukana sana nchi yetu na uongozi wake na baadhi ya wafuasi wake wakishangilia na ku support mikutano hiyo.

Maongezi aliyoyafanya Mhe Tundu Lissu lazima tu yazae matunda na wapo wataofaidi na pia ambao hawatafaidi mikutano hiyo.

Hongereni wale mnao anza kula matunda ya mikutano hiyo maana ilikuwa mikutano muhimu sana kwenu.
Tuambie tusi moja alilotukana nchi nalingine moja alilotukana uongozi!! Msiwe na akili mgando kwani kueleza mapungufu ya MTU ni kumtukana?? Huyo kiongozi wenu ni malaika kwamba asitolewe kasoro? Kama hataki kukosolewa akafanye mambo yake binafsi hizi kazi za watu lazima usemwe hata Trump pamoja nanguvu kubwa za kijeshi anasemwa haswaa mbona hatusikii ikilalamikiwa marekani inatukanwa? Nchi sio MTU wala akili zamtu au kakikundi chawatu haziwezi kuwakilisha nchi.Akili zenu ndogo sana maana hata Zuma alikosolewa mmno lkn wawekezaji south afrika kamakawa na uchumi ukaenda. Acheni ujuha hali inapozidi kuwambaya nimuhimu mataifa yajue hatuwezi vumilia mambo yasiyofaa eti kisa mnamhanya mfufulani.
 
Tofautisha Serikali na Taifa wewe, ni vitu viwili tofauti. Serikali inapigiwa kura na kuondolewa madarakani na Serikali nyingine kuingia madarakani lakini Taifa linabaki lile lile whether kuna Serikali A, B au C.
ndivyo anavyokudanganya Lissu ili ateke akili yako na uendelee kumsapoti kuwa haitukani nchi.
 
Kila siku unajaza nyuzi za tundu Lissu km kakutafunia mamayako hayo ni mambo yenu binafsi.
Usichoshe kuweka uzi humu kanunue kurasa wa mbele wa Tanzaniite ulalamike.

Sent using Jamii Forums mobile app
roho kweli inakuuma na huyo Lissu wako aisee mpaka na matusi juu tukisema nyie ni watu wa matusi huwa mnabisha sasa angalia comment yako kuna tofauti gani na huyo Boss wako Lissu kwa matusi
 
Nijuavyo kisafi ndio kinachafuliwa... Kichafu hakiwezi kuchafuliwa tena... Between nashindwa kuelewa TL anaichafuaje nchi

Jr
Mshana Jr unaheshimika sana humu ndani kwa mada zako na michango yako.......Lissu anaichafua nchi yetu ya Tanzania kimataifa kwa kuongea uwongo ....hao 400 waliouwawa huko LIndi kwa mujibu wa Lissu inawezekana vipi halafu ndugu zao na viongozi wao huko Lindi wako kimya tu na wanaendelea na shughuli zao kama kawaida inakuingia akilini kabisa?
 
Sasa ulitaka hao ndugu zao wachukue bunduki waingie msituni?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Komenti za wakuu zinaonesha wananchi walivyochoka upuuzi na nchi ipo katika hali gani!Hatari sana.
hakuna kazi za kufanya na simu zao na laptop zao wana relax mind zao......ukitaka kujua kama wako serious waambie kesho tukutane pale mnazi mmoja asubuhi tufanye rall ya kwenda Ikulu kutoa malalamiko yetu kama utamuona hata mmoja....?
 
Tundu Lissu akiwa huko Ulaya na Marekani ameichafua sana na kuitukana sana nchi yetu na uongozi wake na baadhi ya wafuasi wake wakishangilia na ku support mikutano hiyo.

Maongezi aliyoyafanya Mhe Tundu Lissu lazima tu yazae matunda na wapo wataofaidi na pia ambao hawatafaidi mikutano hiyo.

Hongereni wale mnao anza kula matunda ya mikutano hiyo maana ilikuwa mikutano muhimu sana kwenu.
Huyu atakuwa hayuko sawa kichwani , eti kuitukana inchi

Matope kabisa
 
Tundu Lissu akiwa huko Ulaya na Marekani ameichafua sana na kuitukana sana nchi yetu na uongozi wake na baadhi ya wafuasi wake wakishangilia na ku support mikutano hiyo.

Maongezi aliyoyafanya Mhe Tundu Lissu lazima tu yazae matunda na wapo wataofaidi na pia ambao hawatafaidi mikutano hiyo.

Hongereni wale mnao anza kula matunda ya mikutano hiyo maana ilikuwa mikutano muhimu sana kwenu.
Tanzania ni donor country ndio maana tumegoma kuimport condoms, sasa tutatumia makaratasi ya nylon yanayotengenezwa hapahapa nchini
 
Tundu Lissu kaitukana nchi yetu kasemaje?
Kasema Tanzania fala kabisa?
 
Tanzania ni donor country ndio maana tumegoma kuimport condoms, sasa tutatumia makaratasi ya nylon yanayotengenezwa hapahapa nchini
condom zipo tumebadili mfumo wa manunuzi
 
Back
Top Bottom