Tumeanza kula matunda ya mikutano ya Tundu Lissu Ulaya na Marekani

Kuna watu wanaweza mchukia mtu mpaka wakimwona anasurvive wanajisikia wivu Asee.....
Huyu sijui tumweke kundi lipi Kati ya walomdhuru TL.. Kah
 
Tundu Lissu akiwa huko Ulaya na Marekani ameichafua sana na kuitukana sana nchi yetu na uongozi wake na baadhi ya wafuasi wake wakishangilia na ku support mikutano hiyo.

Maongezi aliyoyafanya Mhe Tundu Lissu lazima tu yazae matunda na wapo wataofaidi na pia ambao hawatafaidi mikutano hiyo.

Hongereni wale mnao anza kula matunda ya mikutano hiyo maana ilikuwa mikutano muhimu sana kwenu.
Point of correction: tundu lisu hakutukana nchi bali serikali iliyoko madarakani
 
kutishiwa na hisia zako tu hakuna kitu kama hicho....ila asambaze tu hizo CD za Tundu Lissu mchana kweupe anakaribishwa......
Kwahiyo unamaanisha kwamba mtamsweka ndani ??
Kwamba na wewe ni mojawapo wa walinzi wa usalama ?

Acha kutudanganya wewe
 
Basi na wewe unajiona mjanja kisa Lissu kasema tofauti ya Serikali na Taifa.....hujui kama Taifa ni Serikali pia.Wewe unafikiri Rais anawakilisha nini anapoenda nje ya nchi kwenye mikutano ya Kimataifa mfano anapokuwa pale UN huwa anatoa msimamo wa nini Taifa au Serikali au pale anawawakilisha wakina nani? jitambue Lissu anakulisha matango mwitu na wewe unachekelea ili akiwa huko nje aonekane hawasemi watanzania au halisemi taifa......Serikali ni Taifa na Taifa ni Serikali.
Kwahiyo anapoagiza watu wanyanyaswe anawakilisha nchi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tundu Lissu akiwa huko Ulaya na Marekani ameichafua sana na kuitukana sana nchi yetu na uongozi wake na baadhi ya wafuasi wake wakishangilia na ku support mikutano hiyo.

Maongezi aliyoyafanya Mhe Tundu Lissu lazima tu yazae matunda na wapo wataofaidi na pia ambao hawatafaidi mikutano hiyo.

Hongereni wale mnao anza kula matunda ya mikutano hiyo maana ilikuwa mikutano muhimu sana kwenu.
Stupidity at the highest level, hata alichosema hakieleweki, lakini kama anaingiza buku saba kwa siku muacheniakale na watoto wake
 
1550982015399.png

Mikutano ya Tundu Lissu inahusiana vipi na korosho?
 
Katika interview zote Tundu Lissu alizofanya katika ziara yake yenye tija ni moja tu BBC hard talk kikiwa kama kipindi chenye audience sahihi maana kinaangaliwa na wanasiasa (wabunge), wasomi na pressure groups ambao hawana taarifa rasmi za serikari yao nini kinaendelea huko. Hilo ndio kundi ambalo wanaweza zipa pressure serikari zao kuchukua actions kama awajachukua hatua bado.

Kwa upande wa serikari zenyewe wanajua kila kitu kinachoendelea Tanzania, hizo foreign office zao zina ajili the best graduates katika nyanja zote (hakuna kumjua mtu) na asilimia kubw humo ndani ni spies ambao wanaripoti kila kitu.

Kwa ivyo hadi serikari zao ziingilie kati swala ni kwasababu mbili value ambazo wana promote zinakandamizwa (as an agenda to shape the global thinking) au maslahi yao mapana yapo hatarini .

Kwa Tanzania maslahi mapana yapo kwenye gesi (kwa mahitaji yao) na uranium (kutomuuzia mtu mwingine zaidi yao), sio madini hayo wanaweza yapata kwengine. Uamini ngoja tuwe tumeingia mkataba wa ovyo na shell ambao wanasambaza gas UK (swala la national security kwao) tuuvunje ndio utawajua waingereza kwa kina, kwa sasa Lisu nor Accacia sio watu wakuwafanya waisumbue serikari ya Magu.

Interview zingine zote za Lissu zilizobaki ni sawa na kwenda kuhutubia popote Tanzania ni watanzania tu ndio wanaopata hizo habari, wala azirushwi kwenye media ambazo wenyewe wanaziona. Why sikia tu gharama ya kurusha tangazo ulaya hakuna biashara italipia tangazo lake lirushwe wakati unamfanyia interview Lissu kipindi ambacho wananchi awataangalia wakati anakulipa malaki ya dollars kwa dakia 3 za tangazo, BBC can do that kwa sababu ni public funded awatumii hela za matangazo.

Kwa upande watanzania serikari (nikisema serikari ni Ikulu na CCM maana foreign sijawasikia wala hawana muda wenye kuelewa kipi athari na kipi pumba), the whole Lissu thing is just pathetic.
 
Tundu Lissu akiwa huko Ulaya na Marekani ameichafua sana na kuitukana sana nchi yetu na uongozi wake na baadhi ya wafuasi wake wakishangilia na ku support mikutano hiyo.

Maongezi aliyoyafanya Mhe Tundu Lissu lazima tu yazae matunda na wapo wataofaidi na pia ambao hawatafaidi mikutano hiyo.

Hongereni wale mnao anza kula matunda ya mikutano hiyo maana ilikuwa mikutano muhimu sana kwenu.
Ile ilikuwa trailer we goromondo

The real movie is on the way ziito kabwe ameenza kutoa content then movie ianze

Utakuja kutupa mrejesho hapa
 
Basi na wewe unajiona mjanja kisa Lissu kasema tofauti ya Serikali na Taifa.....hujui kama Taifa ni Serikali pia.Wewe unafikiri Rais anawakilisha nini anapoenda nje ya nchi kwenye mikutano ya Kimataifa mfano anapokuwa pale UN huwa anatoa msimamo wa nini Taifa au Serikali au pale anawawakilisha wakina nani? jitambue Lissu anakulisha matango mwitu na wewe unachekelea ili akiwa huko nje aonekane hawasemi watanzania au halisemi taifa......Serikali ni Taifa na Taifa ni Serikali.
rudi skuli
 
Tundu Lissu akiwa huko Ulaya na Marekani ameichafua sana na kuitukana sana nchi yetu na uongozi wake na baadhi ya wafuasi wake wakishangilia na ku support mikutano hiyo.

Maongezi aliyoyafanya Mhe Tundu Lissu lazima tu yazae matunda na wapo wataofaidi na pia ambao hawatafaidi mikutano hiyo.

Hongereni wale mnao anza kula matunda ya mikutano hiyo maana ilikuwa mikutano muhimu sana kwenu.
Nini maana ya neno "Nchi"

Tuanzie hapo kwanza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tundu Lissu akiwa huko Ulaya na Marekani ameichafua sana na kuitukana sana nchi yetu na uongozi wake na baadhi ya wafuasi wake wakishangilia na ku support mikutano hiyo.

Maongezi aliyoyafanya Mhe Tundu Lissu lazima tu yazae matunda na wapo wataofaidi na pia ambao hawatafaidi mikutano hiyo.

Hongereni wale mnao anza kula matunda ya mikutano hiyo maana ilikuwa mikutano muhimu sana kwenu.
WE KIAZI MWITU ACHA UNAA
 
Back
Top Bottom