tatum
JF-Expert Member
- Jan 16, 2018
- 5,786
- 4,490
- Thread starter
- #61
ndiyoTundu Lissu kaitukana nchi yetu kasemaje?
Kasema Tanzania fala kabisa?
ndiyoTundu Lissu kaitukana nchi yetu kasemaje?
Kasema Tanzania fala kabisa?
Acha unaa mwehu wewe Unaishi maisha magumu kisa kuwakumbatia hao mashetani wa CCM badilika lofa wewekutishiwa na hisia zako tu hakuna kitu kama hicho....ila asambaze tu hizo CD za Tundu Lissu mchana kweupe anakaribishwa......
thibitishandiyo
Point of correction: tundu lisu hakutukana nchi bali serikali iliyoko madarakaniTundu Lissu akiwa huko Ulaya na Marekani ameichafua sana na kuitukana sana nchi yetu na uongozi wake na baadhi ya wafuasi wake wakishangilia na ku support mikutano hiyo.
Maongezi aliyoyafanya Mhe Tundu Lissu lazima tu yazae matunda na wapo wataofaidi na pia ambao hawatafaidi mikutano hiyo.
Hongereni wale mnao anza kula matunda ya mikutano hiyo maana ilikuwa mikutano muhimu sana kwenu.
Kwahiyo unamaanisha kwamba mtamsweka ndani ??kutishiwa na hisia zako tu hakuna kitu kama hicho....ila asambaze tu hizo CD za Tundu Lissu mchana kweupe anakaribishwa......
ziko wapi? au zote mmezinunua na kuzipeleka Dodoma huku mkiacha sehemu kubwa ya nchi ikiwa jangwani?condom zipo tumebadili mfumo wa manunuzi
Kwahiyo anapoagiza watu wanyanyaswe anawakilisha nchi?Basi na wewe unajiona mjanja kisa Lissu kasema tofauti ya Serikali na Taifa.....hujui kama Taifa ni Serikali pia.Wewe unafikiri Rais anawakilisha nini anapoenda nje ya nchi kwenye mikutano ya Kimataifa mfano anapokuwa pale UN huwa anatoa msimamo wa nini Taifa au Serikali au pale anawawakilisha wakina nani? jitambue Lissu anakulisha matango mwitu na wewe unachekelea ili akiwa huko nje aonekane hawasemi watanzania au halisemi taifa......Serikali ni Taifa na Taifa ni Serikali.
Stupidity at the highest level, hata alichosema hakieleweki, lakini kama anaingiza buku saba kwa siku muacheniakale na watoto wakeTundu Lissu akiwa huko Ulaya na Marekani ameichafua sana na kuitukana sana nchi yetu na uongozi wake na baadhi ya wafuasi wake wakishangilia na ku support mikutano hiyo.
Maongezi aliyoyafanya Mhe Tundu Lissu lazima tu yazae matunda na wapo wataofaidi na pia ambao hawatafaidi mikutano hiyo.
Hongereni wale mnao anza kula matunda ya mikutano hiyo maana ilikuwa mikutano muhimu sana kwenu.
Mimi nahisi ni hivyo kachukia mama katafunwaKila siku unajaza nyuzi za tundu Lissu km kakutafunia mamayako hayo ni mambo yenu binafsi.
Usichoshe kuweka uzi humu kanunue kurasa wa mbele wa Tanzaniite ulalamike.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ile ilikuwa trailer we goromondoTundu Lissu akiwa huko Ulaya na Marekani ameichafua sana na kuitukana sana nchi yetu na uongozi wake na baadhi ya wafuasi wake wakishangilia na ku support mikutano hiyo.
Maongezi aliyoyafanya Mhe Tundu Lissu lazima tu yazae matunda na wapo wataofaidi na pia ambao hawatafaidi mikutano hiyo.
Hongereni wale mnao anza kula matunda ya mikutano hiyo maana ilikuwa mikutano muhimu sana kwenu.
Wait for the real movie punga weDownload na kuanza kuzisambaza mchana kweupe....karibu sana
rudi skuliBasi na wewe unajiona mjanja kisa Lissu kasema tofauti ya Serikali na Taifa.....hujui kama Taifa ni Serikali pia.Wewe unafikiri Rais anawakilisha nini anapoenda nje ya nchi kwenye mikutano ya Kimataifa mfano anapokuwa pale UN huwa anatoa msimamo wa nini Taifa au Serikali au pale anawawakilisha wakina nani? jitambue Lissu anakulisha matango mwitu na wewe unachekelea ili akiwa huko nje aonekane hawasemi watanzania au halisemi taifa......Serikali ni Taifa na Taifa ni Serikali.
Nini maana ya neno "Nchi"Tundu Lissu akiwa huko Ulaya na Marekani ameichafua sana na kuitukana sana nchi yetu na uongozi wake na baadhi ya wafuasi wake wakishangilia na ku support mikutano hiyo.
Maongezi aliyoyafanya Mhe Tundu Lissu lazima tu yazae matunda na wapo wataofaidi na pia ambao hawatafaidi mikutano hiyo.
Hongereni wale mnao anza kula matunda ya mikutano hiyo maana ilikuwa mikutano muhimu sana kwenu.
wazee wa matusi utawajua tu...na boss wako huko majuu ndiyo hayo hayoAcha unaa mwehu wewe Unaishi maisha magumu kisa kuwakumbatia hao mashetani wa CCM badilika lofa wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
WE KIAZI MWITU ACHA UNAATundu Lissu akiwa huko Ulaya na Marekani ameichafua sana na kuitukana sana nchi yetu na uongozi wake na baadhi ya wafuasi wake wakishangilia na ku support mikutano hiyo.