Uchaguzi 2020 Tume yapeleka barua Makao Makuu ya CHADEMA kwa pikipiki. Afisa mwandamizi ahusishwa

Bado wamechemka ngoja mfundishwe sheria nyie vibaraka wa mhutu , Sasa mlivyopanga mnamwita kupitia mitandaoni mlifikili yeye ni mbumbumbu mwenzenu wa sheria , amewaambia muandike barua mmeandika , Sasa rudieni kuandika nyingine mmekosea mbumbumbu wa sheria nyinyi mpeni saa 48 za kujibu hiyo barua uchwara ya kihutu , kesho tena haji anawapiga kifungu kingine , mtakoma mwaka huu , mtatapika ndoano .
 
Online voter.
 
Hahaha ndio ya kuifuta CHADEMA au mualiko wa kuitwa kujieleza?!
CHADEMA kwenye uchaguzi huu inachangiwa na ccm, msajili, cuf na nec.
Najua unamaanisha kuchangiwa, kwamba wanajiunga kuipiga CHADEMA kwa pamoja na siyo michango ya hali na mali!😂😂😂
 
Tume inajiaibisha na kujiondolea sifa yenyewe.
 
Uandishi wa Kishabiki sana huu.
Kwanza naamini tu,Kwa uharaka wa jambo hili na lilivyo nyeti, hata foleni inaweza kugharimu mchakato.

Ingawa naona kabisa huu uzi wako, una mfano ule ule wa vijitaarifa vya UZUSHI na UONGO.
TUME sio Mabwege kiasi cha kufanya shughuli zao kwa mtindo wa Taarabu au maonesho, Mtatafuta kila kisingizio safari hii.
 
Wakuu sina cha kuandika nafikisha tu taarifa ,,video zenyewe zi najielezea,ama kweli huu uchaguzi wa kihistoria.
View attachment 1583996
View attachment 1583997
Jamaa zangu hawanaga me gi ni wazoefu wa Siasa za upinzani miaka 25 ya CDM HAO HAWAJUI CHAMA KINGINE KBS NA KWA KART POLISI NA WANAMCHI KUELEWANA NI RAHISI SANA ILA HUKO KWINGINE MTASIKIA MENGI SANA
 
JPM alidhani maflyover, mareli, ma-ndege ndio vitu vya kuombea kura. Kwa dunia ya leo hivyo vitu sio vya kutishia watu; hata watoto wanaviona kila siku kwenye Tv,simu,games nk
Watu wanataka furaha, amani, haki, heshima, shibe - kuishi bila hofu... wameyakosa haya kwa miaka mi5.
 
Umesema vema mkuu, miradi ya maendeleo sio hisani ya mtawala, bali ni haki na wajibu kadiri pato la taifa. Tunamhitaji Lissu asimamie katiba bora tuondokane na mfumo wa kifalme wa kishamba.( Leo hii kuanzia VP, PM, Bunge, Mahakama na taasis zote wapo wapo hofu,kusifu na kuabudu) Tunahitaji, uhuru, haki na ustawi wa jamii, mahusiano bora nchi rafiki na jumuia za kimataifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…