Wametangaza kesho Arusha,Kilimanjaro,Mwanza,Simiyu...tafadhalini watu waarusha msicheze mbali ugali robo huo...
Tetty wamaahirisha jioni hii nilipo weka bango hapa. Na mashine wamebeba till further notice kama ni Arusha wameenda vijijini. Ila watabana lakini wataachia
Taarifa zinasema uandikishwaji wapi gakura umesitishwa Tanzania nzima kuanzia kesho.
Taarifa hizo zimedika jioni hii hapa arusha,na sababu zilizotolewa ni kuwa.
WINO
CARD
RIBON
VIMESAHAULIKA CHINA.
Hwajasema zoezi hilo litaanza lini tena.
Si kweli zoezi linaanza kesho tarehe 9 tujitokeze kujiandikisha.
Taarifa zinasema uandikishwaji wapi gakura umesitishwa Tanzania nzima kuanzia kesho.
Taarifa hizo zimedika jioni hii hapa arusha,na sababu zilizotolewa ni kuwa.
WINO
CARD
RIBON
VIMESAHAULIKA CHINA.
Hwajasema zoezi hilo litaanza lini tena.
ukweli ni kwamba BVR zimegoma kuingiza chaji ikumbukwe hivi nizile zilioletwa mpya...
Siyo kweli stationeries ndo hazipo.. zinasubiriwa kutoka Dar zikifika zoezi litaanza mara moja..
Acha uongo wewe mchumia tumbo! Wewe ulikuwepo au wewe ndo msemaji wa NEC? Wao wana msemaji wao na sio wewe, acha kupotosha ummaTaarifa zinasema uandikishwaji wapi gakura umesitishwa Tanzania nzima kuanzia kesho.
Taarifa hizo zimedika jioni hii hapa arusha,na sababu zilizotolewa ni kuwa.
WINO
CARD
RIBON
VIMESAHAULIKA CHINA.
Hwajasema zoezi hilo litaanza lini tena.
Epuka kushabikia watu wanaopotosha ukaamini kuwa yasemwayo ni kweli, La hasha huyo mtoa taarifa muongo, zoezi haliwezi kusitishwa kirahisi hvyo!Hii nchi bila kuingia barabarani hakika hawa watu watatuchezea kama misukule yao pale Lumumba huu ni ujinga mkubwa sana..!!
Madai ya Upinzani kwamba kuna mbinu zinapangwa ili kumuongezea muda Mnikulu zinazidi kupata mashiko. Maana baada ya kuona zoezi la kuandikisha watu linakwenda kwa kasi nzuri na kuonysha mpaka kufikia mwezi wa nane nchi nzima tungekuwa rumeandikishwa wote,Wameona waje na mbinu hii uchwara..!!
Hakika machafuko yananukia nchi hii.!.
BACK TANGANYIKA
The guy is not serious, is trying to make propaganda on import issue lyk this of BVRIs this serious?