"Tume ya Warioba yaivua nguo Serikali"

"Tume ya Warioba yaivua nguo Serikali"

Mtu awaye yote atakayeweza kupata ile video ya mdahalo wa jana, naomba ailete hapa, pliiz

Mdahalo wa jana ni muhimu tukawa na nakala

Video yote, mwanzo mpaka mwisho
 
Nimeitafuta kwenye youtube nimeikosa......naihitaji kwa kweli
 
Ni kweli kabisa mi nilikuwepo mwigulu,lukuvi,wasira walivuliwa nguo walibaki na boxer tu,lukuvi hata boxer hakua nayo alibaki na mkono sweta.

Hahahaa.......like this?

XSL%20Legend%20Boxers%208%20Collection%20700x525.jpg
 
wana tume waliongea vizuri sana jana cjui hawa kina wsira wataweka wapi sura zao lakini hawana aibu jamaa.
Nchi hii ina watu wa aina tofauti lakini wengi ni makundi ya 'wajinga' na lingine ni 'wapumbavu' - Prof. Kabudi P (unofficial quote, 04/08/2014 Ubungo Plaza Dar es Salaam).
Mimi naungana na Prof. Kabudi kuwa kwenye kundi la 'wajinga' ambalo huenda ndio 20%. Sitaki kabisa kuwa kwenye kundi la 'wapumbavu'.

Siwezi kupoteza muda wangu kwa kusoma Tanzania Daima. ;pyuuu
 
kweli intarahamwe mtasubiri sana, na mmlaaniwe mliopo bungeni leo
 
Gazeti la leo la Tanzania Daima limeandika habari hii ambayo imekaa kishabiki. Ni ule mdahalo uliofanyika ITV jana nakuwaunganisha na waheshimiwa Lukuvi, Wassira, Mwigulu na Tibaijuga katika mdahalo wa juzi wa Startv! Hivi mara ya mwisho hili gazeti kufungiwa ni lini?
unajitekenya halafu unacheka!
 
Nchi hii ina watu wa aina tofauti lakini wengi ni makundi ya 'wajinga' na lingine ni 'wapumbavu' - Prof. Kabudi P (unofficial quote, 04/08/2014 Ubungo Plaza Dar es Salaam).
Mimi naungana na Prof. Kabudi kuwa kwenye kundi la 'wajinga' ambalo huenda ndio 20%. Sitaki kabisa kuwa kwenye kundi la 'wapumbavu'.

nadhani wewe ndio kiongozi wa hilo kundi.
 
Sasa kama wameivua nguo wao wasemeje !? unataka waseme wameivalisha !

Lukuvi alisema kwamba Warioba ameleta mapendekezo mapya ya kuongeza kwenye rasimu, na Warioba amethibitisha pasipo na shaka kwamba huo ni uongo 100%. Sasa kama huko si kuvuliwa nguo ni nini ?

By the way Gazeti la Tanzania Daima limeisha mapema sana leo ! Nimelitafuta hilo gazeti pamoja na mwananchi kwa wauzaji kadhaa wa magazeti, nikakuta hilo pamoja na mwananchi yamenunuliwa na kwisha kwa wauzaji wote niliowatembelea !

Gazeti la leo la Tanzania Daima limeandika habari hii ambayo imekaa kishabiki. Ni ule mdahalo uliofanyika ITV jana nakuwaunganisha na waheshimiwa Lukuvi, Wassira, Mwigulu na Tibaijuga katika mdahalo wa juzi wa Startv!
Hivi mara ya mwisho hili gazeti kufungiwa ni lini?
 
Sasa kama wameivua nguo wao wasemeje !? unataka waseme wameivalisha !

Lukuvi alisema kwamba Warioba ameleta mapendekezo mapya ya kuongeza kwenye rasimu, na Warioba amethibitisha pasipo na shaka kwamba huo ni uongo 100%. Sasa kama huko si kuvuliwa nguo ni nini ?

By the way Gazeti la Tanzania Daima limeisha mapema sana leo ! Nimelitafuta hilo gazeti pamoja na mwananchi kwa wauzaji kadhaa wa magazeti, nikakuta hilo pamoja na mwananchi yamenunuliwa na kwisha kwa wauzaji wote niliowatembelea !

sasa umeenda kuyatafuta wapi? Yanapatikana Ufipa only.
 
watupatie vile vitabu 10 walivyovificha, ili wananchi tupate reference nzuri juu ya katiba yetu tunayoitaka.
 
Back
Top Bottom