"Tume ya Warioba yaivua nguo Serikali"

"Tume ya Warioba yaivua nguo Serikali"

Serikali imejivua nguo siku nyingi tu yenyewe. Tume imeisitiri serikali- ooh haa mbona unakwenda uchi yakhe!
 
Huwa ninayanunua chuo (UDSM), survey, mlimani city na mara nyingine mwenge....Kwa sababu leo nilichelewa kidogo kuyatafuta (ilikuwa around saa saba) sehemu zote hizo yalikuwa yameshaisha !

sasa umeenda kuyatafuta wapi? Yanapatikana Ufipa only.
 
Back
Top Bottom