"Tume ya Warioba yaivua nguo Serikali"

"Tume ya Warioba yaivua nguo Serikali"

sirluta

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2012
Posts
6,324
Reaction score
2,494
Gazeti la leo la Tanzania Daima limeandika habari hii ambayo imekaa kishabiki. Ni ule mdahalo uliofanyika ITV jana nakuwaunganisha na waheshimiwa Lukuvi, Wassira, Mwigulu na Tibaijuga katika mdahalo wa juzi wa Startv!
Hivi mara ya mwisho hili gazeti kufungiwa ni lini?
 
Akili za kuambiwa changanya na zako hilo ndo lakufanya kwenye habari hii iliolipotiwa karibu na Magazeti yote na baadae ukisubilia maruio ya mdahalo huu wikendi.
 
Gazeti la leo la Tanzania Daima limeandika habari hii ambayo imekaa kishabiki. Ni ule mdahalo uliofanyika ITV jana nakuwaunganisha na waheshimiwa Lukuvi, Wassira, Mwigulu na Tibaijuga katika mdahalo wa juzi wa Startv!
Hivi mara ya mwisho hili gazeti kufungiwa ni lini?

huelewek wewe,kwani jana kina mzee Warioba hatukuwaona?ni kweli wameivua nguo serikali,ulimskia Polepole??,ulimskia Mzee Butiku?,ulimskia Prof Kabud???,leo kila gazet limekuja na heading yake.,lakini ukweli ni kwamba jana waliivua nguo serikali.
Labda una chuki tu na T-DAIMA
 
kama bado unasoma Tanzania daima ni lazima utakuwa shabiki nguli wa magazeti ya udaku.
 
Ni kweli kabisa mi nilikuwepo mwigulu,lukuvi,wasira walivuliwa nguo walibaki na boxer tu,lukuvi hata boxer hakua nayo alibaki na mkono sweta.
 
Gazeti la leo la Tanzania Daima limeandika habari hii ambayo imekaa kishabiki. Ni ule mdahalo uliofanyika ITV jana nakuwaunganisha na waheshimiwa Lukuvi, Wassira, Mwigulu na Tibaijuga katika mdahalo wa juzi wa Startv!
Hivi mara ya mwisho hili gazeti kufungiwa ni lini?
Weka hiyo habari hapa tuone huo ushabiki siyo unakata viuno tu.
 
Serikali ya ccm ipo uchi wa mnyama toka siku nyingi sema Jaji Warioba amesaidia kuwaonyesha watu uchi wa ccm
 
Habari hyo ni kuhusu kina Warioba ww kwa akili yako Mwigulu na Lukuvi wanaweza kujenga hoja mbele ya Tume ya Warioba?
 
Sijawahi kusoma wala kununua hilo gazeti, ni zaidi ya udaku.
 
Ni kweli Warioba alipeleka maoni kama Lukuvi alivyosema, tena alisema alipeleka
 
huelewek wewe,kwani jana kina mzee Warioba hatukuwaona?ni kweli wameivua nguo serikali,ulimskia Polepole??,ulimskia Mzee Butiku?,ulimskia Prof Kabud???,leo kila gazet limekuja na heading yake.,lakini ukweli ni kwamba jana waliivua nguo serikali.
Labda una chuki tu na T-DAIMA

libadilishwe jina na liitwe TANGANYIKA DAIMA au UKAWA DAIMA
 
Zanzibar wanavunja katiba ya Tanzania rais anachekelea tu. CCM wanapoteza mda wao kujadili vitakwimu badala ya hoja watanzania wanataka nini! Na kila mtu anaona ni sawa tu. Hivi ninyi nyumbu na siasa zetu za kihohehahe mnataka kuipeleka wapi nchi hii?
 
Gazeti la leo la Tanzania Daima limeandika habari hii ambayo imekaa kishabiki. Ni ule mdahalo uliofanyika ITV jana nakuwaunganisha na waheshimiwa Lukuvi, Wassira, Mwigulu na Tibaijuga katika mdahalo wa juzi wa Startv!
Hivi mara ya mwisho hili gazeti kufungiwa ni lini?

Utasubiri sana,akili ya tume ya mabadiliko ya katiba ni zaidi ya interahamwe wote.Wamesaidia sana kuiumbua hii serikali dhaifu ya kikundi kidogo cha wachumia tumbo wenye kujali maslahi binafsi
 
Sasa kwani si kweli wewe mleta mada unataka kusema kiliwavalisha nguo kwenye ukweli tuseme ukweli tu
 
Ukawa ni mchanganyiko wa wasomi na wazalendo. Hawaangalii lolote zaidi ya ukweli. Kama kweli wangekuwa wameumbuliwa na kuthibitika kwamba hawako sahihi, wasingeanza kukimbizana kuukataa ukweli na kueneza propaganda kwamba mabaya yao hayakusemwa, kama unavyofanya wewe.

Ukawa ni wa kweli na waangalia hoja kitaalamu. Siyo kina wasira na lukuvi wanaoongea kama wamekatwa vichwa.

ingekuwa Uhuru ndilo limeandika Ukawa wavishwa chupi kichwani mngesemaje?
 
Back
Top Bottom