"Tume ya Warioba yaivua nguo Serikali"

"Tume ya Warioba yaivua nguo Serikali"

Gazeti la leo la Tanzania Daima limeandika habari hii ambayo imekaa kishabiki. Ni ule mdahalo uliofanyika ITV jana nakuwaunganisha na waheshimiwa Lukuvi, Wassira, Mwigulu na Tibaijuga katika mdahalo wa juzi wa Startv!
Hivi mara ya mwisho hili gazeti kufungiwa ni lini?

...badala ya kuangalia kinachoonyeshwa unaangalia kinachoonyesha....sio makosa yako coz akili yako inamakengengeza.....
 
Prof. Kabodi bana: -------- ana tabia ya kushupaa na
Mjinga ana tabia ya kuduwaa...basi kuanzia leo mimi ni
MJiNGa...Somo kubwa sana 2014...Je wewe unachagua
kushupaa au kuduwaa?! # KaziKwako # KatibaMpyaTz
 
Mi naona serikali haijavuliwa nguo bali imejivua nguo yenyewe! Wahenga walisema 'kadili nyani anavyozidi kupanda juu uchi wake ndio unazidi kuonekana'
 
...wakazifungie toilet paper za uhuru na mzalendo kwanza. Wakigusa GAZETI lazima wajute...
 
Mi naona serikali haijavuliwa nguo bali imejivua nguo yenyewe! Wahenga walisema 'kadili nyani anavyozidi kupanda juu uchi wake ndio unazidi kuonekana'

NUKUU: MNYIKA==RAISI dhaifu, SERIKALI dhaifu, CHAMA dhaifu, na BUNGE dhaifu, ndiyo vimetufikisha hapa. BABA WA TAIFA==CHAMA dhaifu/legelege huzaa SERIKALI dhaifu/legelege
 
Gazeti la leo la Tanzania Daima limeandika habari hii ambayo imekaa kishabiki. Ni ule mdahalo uliofanyika ITV jana nakuwaunganisha na waheshimiwa Lukuvi, Wassira, Mwigulu na Tibaijuga katika mdahalo wa juzi wa Startv!
Hivi mara ya mwisho hili gazeti kufungiwa ni lini?

Wewe t.a.k.o kweli weka hiyo habari tuione kwani hawakuvuliwa nguo jana sote tuliona na tunajua kuchuja zile nondo hakuna wa kujibu mpaka mpaka mnapitisha madudu yenu huko Dodoma.
 
Gazeti la leo la Tanzania Daima limeandika habari hii ambayo imekaa kishabiki. Ni ule mdahalo uliofanyika ITV jana nakuwaunganisha na waheshimiwa Lukuvi, Wassira, Mwigulu na Tibaijuga katika mdahalo wa juzi wa Startv!
Hivi mara ya mwisho hili gazeti kufungiwa ni lini?
uliye kaa kishabiki ni wewe! mwenye masikio lakini husikii, mwenye macho huoni, uliye soma lakini hujui maana ya uchochezi. waulize hao waloko serikalini kama wana cha kubisha kati ya yote yaliyo semwa jana pale UBUNGO PAZZA. Wenye akili wanawa shukuru sana ITV kwa uzalendo wao.
 
...badala ya kuangalia kinachoonyeshwa unaangalia kinachoonyesha....sio makosa yako coz akili yako inamakengengeza.....

YOU ARE A GREAT THINKER! Huyo book 7 hatakuelewa ana tabia ya kushupaa ni -------- according to PROF PARAMAGAMBA KABUDI.
 
Akili za kuambiwa changanya na zako hilo ndo lakufanya kwenye habari hii iliolipotiwa karibu na Magazeti yote na baadae ukisubilia maruio ya mdahalo huu wikendi.

Mkuu Akhsante Kwa Kumpasha Na Ukiweza Pia Mwambie Kuwa Wote Waliozungumza Jana Ni Vichwa ( Werevu ) tena Hata Kushinda Hao Anaowatetea Na Sifa Zao Zinajieleza Popote Walipokuwa Na Viongozi Wake Wengi wa Sasa Wana Mengi Ya Kujifunza Kutoka Kwao. Na Ni Kweli Jana Watu Wake Hao Walivuliwa Nguo tena Mchana Kweupe.
 
Gazeti la leo la Tanzania Daima limeandika habari hii ambayo imekaa kishabiki. Ni ule mdahalo uliofanyika ITV jana nakuwaunganisha na waheshimiwa Lukuvi, Wassira, Mwigulu na Tibaijuga katika mdahalo wa juzi wa Startv!
Hivi mara ya mwisho hili gazeti kufungiwa ni lini?

Waulize wakubwa wako waliokutuma
 
kama bado unasoma Tanzania daima ni lazima utakuwa shabiki nguli wa magazeti ya udaku.

Si Kweli Mkuu na Nijuavyo Unaposoma Magazeti Ya Serikali, Ya Kawaida ( Neutral ), na Ya Udaku Unakuwa Na Uwezo Mkubwa Mno wa Kufanya Critique Ya Issues Mbalimbali za Kimatukio Na Unapokuwa Unategemea Chombo Kimoja Tu Unakuwa Dull na Weak hata in Decision MaKing. Ushauri Wangu Kwako Usipende Sana Kuwa Subjective bali Kuwa Objective Otherwise Intellectuals Humu JF Watakudharau na Kuwa Na Mashaka Na Medula Oblangata Yako.
 
Gazeti la leo la Tanzania Daima limeandika habari hii ambayo imekaa kishabiki. Ni ule mdahalo uliofanyika ITV jana nakuwaunganisha na waheshimiwa Lukuvi, Wassira, Mwigulu na Tibaijuga katika mdahalo wa juzi wa Startv!
Hivi mara ya mwisho hili gazeti kufungiwa ni lini?

Waulize wakubwa wako waliokutuma
 
Gazeti la leo la Tanzania Daima limeandika habari hii ambayo imekaa kishabiki. Ni ule mdahalo uliofanyika ITV jana nakuwaunganisha na waheshimiwa Lukuvi, Wassira, Mwigulu na Tibaijuga katika mdahalo wa juzi wa Startv!
Hivi mara ya mwisho hili gazeti kufungiwa ni lini?

nyie si mna gazeti lenu la uhuru?
 
Gazeti la leo la Tanzania Daima limeandika habari hii ambayo imekaa kishabiki. Ni ule mdahalo uliofanyika ITV jana nakuwaunganisha na waheshimiwa Lukuvi, Wassira, Mwigulu na Tibaijuga katika mdahalo wa juzi wa Startv!
Hivi mara ya mwisho hili gazeti kufungiwa ni lini?

Wewe kweli ni kilaza wahed
 
Prof. Kabodi bana: -------- ana tabia ya kushupaa na
Mjinga ana tabia ya kuduwaa...basi kuanzia leo mimi ni
MJiNGa...Somo kubwa sana 2014...Je wewe unachagua
kushupaa au kuduwaa?! # KaziKwako # KatibaMpyaTz

Mtu awaye yote atakayeweza kupata ile video ya mdahalo wa jana, naomba ailete hapa, pliiz

Mdahalo wa jana ni muhimu tukawa na nakala
 
Back
Top Bottom