Halafu hazikatwi kodi! Tuendelee tu kugharamia SIASA kama mazuzu huku shule zetu zikiwa hoi, zahanati hazina hata panado, mahakama za mwanzo zikiwa mbavu za mbwa na WATANZANIA wakinunua kilo ya unga kwa zaidi sh 1000 sasa.Ni pesa ya kawaida sana jumla watalipwa billion4.8 tu yaani kila mtu M162 kwa kipindi chote hicho cha miezi 18. (300,000*30*18=162,000,000) (162,000,000*30=4,860,000,000). Yataka uzalendo wa kweli mtu kuacha kazi zako zoooote kwa miezi18 ili ukaingize MILIONI162