Tume ya uchaguzi ya CAF (Refarii)kainyima ushindi Taifa stars.

MNAKOSA NAFASI ZA WAZI MNATAKA PENALTY

PUMBAVU KABISA SIE

TIAA GOLIII. TIA GOLIII
 
Msimlaumu refa, nafasi mbili za wazi staz imekosa
Na penati tumenyimwa tena iliyokuwa haki yetu. Umeona madhara ya kuwafanya raia mandondocha na kuwakataza kudai haki zao?

Unadhani kuwa kama aliyesukumwa ni mchezaji wa moroko unadhani benchi la ufundi la timu Yao na wachezaji wa ndani wangeruhusu mchezo kuendelea?
 
MKUUU

CQPT BWEGE NA WENZIE

PALE WANGEGOMEA HAKUNA MECHI KUENDELEQ ABGEENDA VAR

KAWAKUTA OVYO WOTE UWANJANI
 
Back
Top Bottom