Tumchinje Huyu...!!!!

Tumchinje Huyu...!!!!

Hivi wakuu nani ameshawahi kutafuna korodani za ng'ombe?
 
Hunaga mapishi kaimati zimekushinda ukawapikia wenzio uji😛😛😛😛😛😛😛

Dada farkhina naona sasa unanitafuta...mimi nataka nimwonjeshe mwenzio (@mimi49) mapishi yangu yaani ondoa hizo kaimati zako za uji uji, wewe unanisanifu. Basi kwa taarifa yako....nitajitahidi mpaka niweze kupika kaimati nzuri shinda hizo zako za internet.
 
Last edited by a moderator:

Hahahahaha sawa....
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom