masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,453
- 14,220
Ng'ombe kama kajazwa hewa?
ukila huyo si ajabu utatoa ush....zi bila mpangilio!
Ng'ombe kama kajazwa hewa?
Ng'ombe kama kajazwa hewa?
ukila huyo si ajabu utatoa ush....zi bila mpangilio!
walim-overdose na dawa za mchina. homornes zote ziko messed up hata umpike vipi!
aisee kweli sayansi hatari mkuu, kwaio ni kitu kama cross breeding au genetic engineering?mara ya kwanza nimeiona hii kazi maabara nilishangaa sana nikadhani ni siri kumbe wametoa hadharani! HUO NI MCHANGANYIKO WA SELI ZA NGURUWE NA NG'OMBE kama sijakosea ni wanasayansi wa kijerumani, pia kulikuwa na za paka na panya sijui kama hawafanyi majaribio ya seli za binadamu na wanyama wengine Mungu apishe mbali...
Ngo'mbe baunsa mnene...
tumchinje tumleeee
Afu nina hasira na weweeeee. Zile kaimati zako za jana nimejaribu kama ulivyosema ila zimetokea uji wa hajabu hajabu na haziwezi kulika mpaka watoto wangu ilibidi wale vyakula vibovu (chips mayai) because of you. Ungekuwa unaishi karibu haki ya nani ningekutumia vijana wa afande Kova wakulete nyumbani uje kunionyesha live namna ya kupika, tena kwa ulazima😡
dah! hadi anatisha mie siwezi kuila nyama yake.
Nalog off
Kwa hiyo mie ndio nahusika kuharibu kuimati? Umekosea uko kufata maelezo halafu wataka nipeleka polisi mwenzio...umetia mimaji mengi au tui jingi....sema kweli.
Shhhhhh, usiwaambie watu lakini. Naona nimetia maji mengi ila sikubali kosa ni lako kwa sababu hujaniwekea video.
ha ha ha pole...mama watoto yuko wapi apikie watoto?Kweli we hodari umeenda kujaribu kupika kaimati mashallah!!Afu nina hasira na weweeeee. Zile kaimati zako za jana nimejaribu kama ulivyosema ila zimetokea uji wa hajabu hajabu na haziwezi kulika mpaka watoto wangu ilibidi wale vyakula vibovu (chips mayai) because of you. Ungekuwa unaishi karibu haki ya nani ningekutumia vijana wa afande Kova wakulete nyumbani uje kunionyesha live namna ya kupika, tena kwa ulazima😡
Hahahahahaha unalijua kosa lako kumbe alafu wanisingizia mie....fanya uzito kiasi kama wa unga wa bajia..
ha ha ha pole...mama watoto yuko wapi apikie watoto?Kweli we hodari umeenda kujaribu kupika kaimati mashallah!!
Hongera sana Jamaa_Mbishi!Mke wangu mtarajiwa mimi49, ni hivi. Mama watoto yuko safari ya kuona wazazi na alinikataza kuajiri house girl wa muda kutokana na usanii wao kwani tulisha shuhudia huko nyuma a family friend of ours kumwacha mkewe kwa kuwekewe madawa kwenye chakula na house girl....hivyo nikapigwa ban. Kingine, huwa mimi ni mtundu wa mapishi kwani napenda kupika vyakula ninavyopenda na ndiyo maana mke wangu hana wasiwasi na mimi kama akitokea kasafiri kwa siku chache. Hivyo kwa sasa nimekuwa baba mama ndani ya nyumba yangu na ninajivunia kichizi kwani naona furaha anayopata mke wangu kupikia familia. Kwa kweli ni jambo la raha sana.