Tumavocha ufanikiwe.... shuka nayo

Tumavocha ufanikiwe.... shuka nayo

MstahikiMeya

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2014
Posts
1,633
Reaction score
561
Kuna kitu cha ajabu ambacho kwa
kweli hata mimi sikielewi, ila tu
naweza kusema miujiza inatokea.
Binti mmoja alikosea akanitumia
vocha ya shilingi 500, usiku ule
kaka yake aliyoko Jahannesburg
amemtumia shilingi alfu hamsini.
Msanii mmoja maarufu wa kike,
amenitumia vocha ya shilingi alfu
mbili, nusu saa baadae amepata
pedeshee ambaye licha ya
kutangaza kumuoa tayari
amemkabidhi BMW mpya. Rafiki
yangu wa huko Iringa amenitumia
vocha ya shilingi alfu tano,
biashara yake ya ulanzi imekuwa
ghafla katika mwezi mmoja tu
amekuwa wakala wa bia. Ni jambo
la ajabu lakini liko wazi kuwa
muujiza unakufuatia mara tu
ukinitumia vocha. Nimeona niweke
wazi hili jambo ili watu wengi
zaidi muweze kutumia nafasi hii
kupata muujiza wenu. Haya haya
haya wahini kunitumia vocha
maana huwezi kujua lini bahati hii
itakata.
 
teh teh teh...nikutumie kiasi gani utumie leo...
 
weka number tukutumie vocha mie nataka nipate mjengo oysterbay au masaki kisha niwe na buggati weka namba haraka.
 
Bila shaka una tigo, unatumia namba gani yakheee? Tuwekee kule jukwaa la utani tutumie fursa hii haraka iwezekanavyooo...
 
Back
Top Bottom