Nimeoneshwa ktk ndoto kuna msiba wa mtu-mke mkubwa sana unakuja,Mbona TANZIA hujaiweka kwenye list??
Nimeoneshwa ktk ndoto kuna msiba wa mtu-mke mkubwa sana unakuja,Mbona TANZIA hujaiweka kwenye list??
Hahaà, awekwe kwenye list nayeye,.. anatuletea Mambo ya pwani sisi, tunamsubiri oktoba tuu.Umemsahau mshangazi wa mjengoni
Huwa nachelewa kulala toka huu mwezi umeanza ili nishuhudie matangazo yakihamishwa ghafla....Nimeoneshwa ktk ndoto kuna msiba wa mtu-mke mkubwa sana unakuja,
Kiki ya chaumma imebuma. No reform no election.