Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 16,320
- 23,014
Sifa za mbunge wa JMT ajue kusoma na kuandika tu.Wanataka kutuweka busy
Swali kwa level gani!?
Sifa za mbunge wa JMT ajue kusoma na kuandika tu.Wanataka kutuweka busy
Ndizi choma na nusu ya moto.June itakuwa ya moto sana.. Lakini hebu tuangalie za kufungia mwezi huu.. Zinazobamba sana
1. CHADEMA: No reforms no election
2. Gwajima: Utekaji vs wajibu hoja (wana ccm)
3: Gen-Z vs .....
4.chaumma.
5. Ongezea..
Kati ya hizi kuna zitakazopewa shavu zitrend na kuna zitakazominywa zisisikike!
Akili kichwani mwako..muda ni wako, simu ni yako, bundle ni lako.. Utachagua... Ma a na kupanga ni kuchagua...
Jiangalie usije ukachanganyikiwa pamoja nao... Maana bado wakihangaika na Gen-Z kaibuka Gwajima.. Sasa hawajui wamalize na yupi na waendelee na nani... Huko mtukano mkuu ndio huooo🤣View attachment 3346696