Miradi 15 kwa ajili ya wanachuo: Boom ni mtaji au mzigo?

ANKOJEI

JF-Expert Member
Nov 11, 2010
998
742
MIRADI MIDOGO MIDOGO 15 YENYE KUZALISHA KIPATO KIKUBWA KWA AJILI YA WAJASIRIAMALI
WANAFUNZI NA WANACHUO
STUDENTS WITH A MISSION

1.MLM: Hi ndio biashara moja ambayo wanafunzi wengi ulaya wanapiga pesa sana sasa hivi imefika Tanzania na Kenya: Nchini Nigeria mamilionea wengi vijana wametokea katika mtandao huu. Kenya pia na SA vijana wengi wamejikita katika biashara hii

NAMNA YA KUANZA: Kwa kifupi biashara hii unahitajika kuwa mwanachama wa kampuni inayo sambaza bidhaa kwa mtindo wa MLM, ndipo ununue bidhaa katika bei ya chini uzitumie au uuze kwa rejareja. Na kisha ualike watu wengine wengi nao wawe wanachama wa kampuni hiyo ya MLM, kila mwanachama unaye mwalika utalipwa kiasi flani cha pesa yake ya manunuzi ya bidhaa. Mtaji wa kuanzia katika kampuni hizi ni SIFURI had Million 10. KAMATA FURSA!

KWA NINI WANAFUNZI/WANACHUO? Haihitaji mtaji mkubwa incase huna, haihitaji muda mwingi, hauhitajiki leseni wala huhitaji mwuza duka. Kuna uwezekano mkubwa wa wewe kufanya biashara na dunia nzima katika sekunde moja kama utafuata mbinu utakazofundishwa. Makapuni yanayojihusisha na biashara hizi yamejikita katika bidhaa za afya, urembo, kilimo na sasa muda wa Maongezi.

UWEZEKANO WA KIPATO: SIFURI hadi BILLIONEA ndani ya siku 30 hadi miaka mitano. Utaweza kuona kama mwanafunzi ukiingia katika biashara ya MLM mwaka wa kwanza na ukatumia boom lako vizuri utakapokuwa unamaliza chuo utakuwa unatengeza pesa sawa na mtu aliyeaajiriwa au umemzidi kabisa.

SECRET BEHIND SUCCESSFUL PEOPLE: Kuzungusha mtaji mara nyingi, kualika watu wengi kwa kadri inavyowezekana. Kama mwanachuo au mwanafunzi hili ni jambo rahisi una marafiki wengi sana mliosoma na mnaosoma nao pamoja. Kwa maelekezo zaidi tembelea facebook page ‘STUDENT WITH A MISSION'

2. MOBILE MONEY: MPESA, EAZY PESA, TIGO PESA NA AIRTEL MONEY, Hii inajulikana sana but ili upige pesa vizuri inabidi uwe na float nzuri hapo chuoni kwako kuanzia 1,000,000 hadi 10,000,000 kwa siku. Na kama upo karibu na benki au super dealer iyo itakuwa safi. Faida ni kubwa mfano mtaji wa 300,000 sehemu ya mtaani tu inakupa 45,000 hadi 120,000 kwa mwezi. Mungu akupe nini? Gunia la chawa. Biashara hii ni rahisi sana kwa mwanafunzi maana unatembea na duka lako, muuzaji wewe wateja unao kila saa darasani, lecture room, discussion, disco na nyumba za ibada. KAMATA FURSA!

3. MUDA WA MAONGEZI (AIRTIME): KAMATA FURSA HII, sio ile ya zamani ambayo unauza vocha za kukwangua hapa ni muda wa Maongezi. Ukisha kuwa na mobile money basi wewe jiunge na RIFARO Africa utapiga pesa kama upo ZANTEL, TIGO na AIRTEL. Kifupi ni kwamba maradi wa kwanza apo juu MLM unauunganisha na huu wa 3. Lazima utapiga hela. Unahitaji matji kidogo tu wa SH150,000 tu. Kwa maelezo zaidi google Rifaro Africa au whatsapp or text me +255 752 693 692 starting with a word "student with a mission"

4. UANDISHI WA VITABU au DOCUMENTARY: Haya vijana wa IT na wale watundu wa simu na computer, wale mnaopenda umbea na udaku sasa umbea na uduku uweke kitabuni kwa staili tofauti. Andika story za maisha, umeshazisikia ama wewe mwenyewe au zile za kufikirika, weka kwenye laptop yako au flash disk uza kwa wachapishaji. Inaweza kuwa short story au series ili mradi iwe ya kuvutia. Jifunze namna rahisi ya kutengeneza documentary za kuvutia kisha rusha facebook na mitandao ya kijamii wafanya biashara watakutafuta kwa ajili ya kutengeneza matangazo yao mbalimbali ya kibiashara ili wayatumie facebook na whatsapp.

5. UTUNZAJI BUSTANI wewe kijana wa SUA wewe inakuhusu nenda mjini tafuta watu wanohitaji kutunziwa bustani zao za nyumbani hasa UKOKO, unda team za vijana wasimamie mara kwa mara. Hii biashara inalipa sasa ivi town. Wewe kazi yako ni mipango tuu – aka – Manager. Mbolea za maji safi kabisa ambayo unaweza weka mfukoni sasa zipo Tanzania, lita moja inatosha ekari 2 na ushee

6. BETTING MKEKA: Vijana hapa sina la kuongeza mana wengi mnapiga hela weeend kama hamna akili nzuri, kuna betting website mbili Tanzania ambazo zipo juu (1) MERIDIAN (2) MBET na moja haiko online (3) PREMIER BETTING. Kama unataka kupunguza risk ya kupoteza cheza online betting ingawa premier betting nayo ni bomba vijana mnaijua. ONYO betting ni addictive na unaweza poteza boom lako usipokuwa makini, be responsible.

7. DALALI: Chagua eno lako moja la udalali hasa hasa unalolijua sana, kama magari, computer, simu, viwanja yaani vile vitu watu wanavitafuta na vina bei kubwa. Tumia blogs, face book, jamii forum na matangazo madogo magazetini kuuza. Hapa unaweza piga pesa ndefu ya kutosha mwaka wa masomo.

8. MC: Nasema kama wewe ni mdakuzi na m – mbeya wacha kuumiza shingo na kichwa kwa umbeya wako, tengeneza hela kuwa MC mataji kidogo unahitajika nguo za kazi, mike ya kisasa na music system. Anza na vipati vidogo vidogo kama birthday parties, mikutano midogo, send offs na hatimaye utajikuta upo harusini, mikutano mikubwa ya injili na international meeting

9. NM – Network marketing, hii sawa na udalali ila hapa unauza vitu vyako matandaoni tu, yaani matangazo yako yote yapo mtandaoni, wateja wako wote wako mtandaoni. Wewe unacheza na simu na laptop, au tablate au hizo computer za chuo. Tembea na mooderm muda ukifika wa kuuza unaunga modern unapiga kaz le say 1 hour per day inatosha, wenye shida watakutafuta. Kama huna bidhaa ya kuuza nitafute nikuelezee bidhaa lukuki za kuuza huko mitandanoni.

10. BLOGGER: Sasa unaweza ku blogg kwa raha zako au kublog kwa kuuza products ikiwa utakuwa umechagua moja kati ya miradi hii hapa 1,4,5,7,8,9,11,14,15 basi ili uuze usiku na mchana huna budin kuwa na blog ya kukutangazia bidhaa zako dunia nzima 24/7. Hapo utakuwa umevuka mbali sana. Wale amabo muko tayari msisite kuwasiliana name kwa ajili yah ii shuhulu ya blogging mana kuna blogs ambazo ni bure.

11. PROOF READING: Wale wataalamu wa ngwini hata hii page zangu 2 nilikuwa nahitaji mtu wa kuzikosoa ili zisomeke vizuri alafu nakulipa. Sasa ukitafuta mtandaoni hupati hata mmoja MKO WAPI? Fungua jitangaze buree huko mitandaoni matangazo madogo zoom ni buree. Mtaji hapa ni elfu20 tu ya kununua dictionary ya TUKI na ile ya oxford pocket size

12. PROJECT WRITE UP, BUSINESS PLANNING AND RESEARCH – Uandisgi wa miradi ya kibiashara, ya kijamii (projects) na utengenezaji wa bajeti, ma inginia, wahasibu, sosiolojia na walimu hii inawahusu sana. Anza na miradi idogo midogo kama ya biashara yako mwenyewe angalia mtandaoni wanaandaje miradi na je unaweza kutetea mradi wako ukapewa hela? Tafuta maresearch mbalimbali jiunge nao hata kwa bure ili upate uzoefu mwisho utazipiga mwenyewe.

13. ELECTRONICS TECHNICIAN: Wanafunzi wa IT narudi tena kwenu, sim – BUNI BIDHAAu za wanafunzi wenu, TV na music system nani anatengeza? Kwa nin msitengeneze wenyewe?

14. PRODUCT DESIGN – BUNI BIDHAA: Hapa mi ndio napenda mfano sabuni ya kuogea inayozuia mbu wasikung'ate, kifaa kinachogundua mwongo mahakamani. Unda bidhaa, iamagine, imagine, ota, ota, ota. Unda bidhaa uza kwa wenye pesa

15. TUTION: Hapa sina la kuongeza, lakini pia jaribu MOBILE TUTIONING kupitia whatsapp. Malipo yatafanyika kwa Mobile Money.

Nina uhakika katika haya machache kuna lako umelipata, ukiwa hujapata rudia kusoma siku nyingine, rudia tena na tena.

MNAKARIBISHWA WOTE KATIKA DARASA LETU LA UJASIRIAMALI LA WHATSAPP LA WANAFUNZI NA WANACHUO TU TUMA NENO – ''STUDENT WITH A MISSION'' KWENDA 0752 693 692.
 
MIRADI MIDOGO MIDOGO 15 YENYE KUZALISHA KIPATO KIKUBWA KWA AJILI YA WAJASIRIAMALI
WANAFUNZI NA WANACHUO
STUDENTS WITH A MISSION

1.MLM: Hi ndio biashara moja ambayo wanafunzi wengi ulaya wanapiga pesa sana sasa hivi imefika Tanzania na Kenya: Nchini Nigeria mamilionea wengi vijana wametokea katika mtandao huu. Kenya pia na SA vijana wengi wamejikita katika biashara hii

NAMNA YA KUANZA: Kwa kifupi biashara hii unahitajika kuwa mwanachama wa kampuni inayo sambaza bidhaa kwa mtindo wa MLM, ndipo ununue bidhaa katika bei ya chini uzitumie au uuze kwa rejareja. Na kisha ualike watu wengine wengi nao wawe wanachama wa kampuni hiyo ya MLM, kila mwanachama unaye mwalika utalipwa kiasi flani cha pesa yake ya manunuzi ya bidhaa. Mtaji wa kuanzia katika kampuni hizi ni SIFURI had Million 10. KAMATA FURSA!

KWA NINI WANAFUNZI/WANACHUO? Haihitaji mtaji mkubwa incase huna, haihitaji muda mwingi, hauhitajiki leseni wala huhitaji mwuza duka. Kuna uwezekano mkubwa wa wewe kufanya biashara na dunia nzima katika sekunde moja kama utafuata mbinu utakazofundishwa. Makapuni yanayojihusisha na biashara hizi yamejikita katika bidhaa za afya, urembo, kilimo na sasa muda wa Maongezi.

UWEZEKANO WA KIPATO: SIFURI hadi BILLIONEA ndani ya siku 30 hadi miaka mitano. Utaweza kuona kama mwanafunzi ukiingia katika biashara ya MLM mwaka wa kwanza na ukatumia boom lako vizuri utakapokuwa unamaliza chuo utakuwa unatengeza pesa sawa na mtu aliyeaajiriwa au umemzidi kabisa.

SECRET BEHIND SUCCESSFUL PEOPLE: Kuzungusha mtaji mara nyingi, kualika watu wengi kwa kadri inavyowezekana. Kama mwanachuo au mwanafunzi hili ni jambo rahisi una marafiki wengi sana mliosoma na mnaosoma nao pamoja. Kwa maelekezo zaidi tembelea facebook page ‘STUDENT WITH A MISSION’

2. MOBILE MONEY: MPESA, EAZY PESA, TIGO PESA NA AIRTEL MONEY, Hii inajulikana sana but ili upige pesa vizuri inabidi uwe na float nzuri hapo chuoni kwako kuanzia 1,000,000 hadi 10,000,000 kwa siku. Na kama upo karibu na benki au super dealer iyo itakuwa safi. Faida ni kubwa mfano mtaji wa 300,000 sehemu ya mtaani tu inakupa 45,000 hadi 120,000 kwa mwezi. Mungu akupe nini? Gunia la chawa. Biashara hii ni rahisi sana kwa mwanafunzi maana unatembea na duka lako, muuzaji wewe wateja unao kila saa darasani, lecture room, discussion, disco na nyumba za ibada. KAMATA FURSA!

3. MUDA WA MAONGEZI (AIRTIME): KAMATA FURSA HII, sio ile ya zamani ambayo unauza vocha za kukwangua hapa ni muda wa Maongezi. Ukisha kuwa na mobile money basi wewe jiunge na RIFARO Africa utapiga pesa kama upo ZANTEL, TIGO na AIRTEL. Kifupi ni kwamba maradi wa kwanza apo juu MLM unauunganisha na huu wa 3. Lazima utapiga hela. Unahitaji matji kidogo tu wa SH150,000 tu. Kwa maelezo zaidi google Rifaro Africa au whatsapp or text me +255 752 693 692 starting with a word “student with a mission”

4. UANDISHI WA VITABU au DOCUMENTARY: Haya vijana wa IT na wale watundu wa simu na computer, wale mnaopenda umbea na udaku sasa umbea na uduku uweke kitabuni kwa staili tofauti. Andika story za maisha, umeshazisikia ama wewe mwenyewe au zile za kufikirika, weka kwenye laptop yako au flash disk uza kwa wachapishaji. Inaweza kuwa short story au series ili mradi iwe ya kuvutia. Jifunze namna rahisi ya kutengeneza documentary za kuvutia kisha rusha facebook na mitandao ya kijamii wafanya biashara watakutafuta kwa ajili ya kutengeneza matangazo yao mbalimbali ya kibiashara ili wayatumie facebook na whatsapp.

5. UTUNZAJI BUSTANI wewe kijana wa SUA wewe inakuhusu nenda mjini tafuta watu wanohitaji kutunziwa bustani zao za nyumbani hasa UKOKO, unda team za vijana wasimamie mara kwa mara. Hii biashara inalipa sasa ivi town. Wewe kazi yako ni mipango tuu – aka – Manager. Mbolea za maji safi kabisa ambayo unaweza weka mfukoni sasa zipo Tanzania, lita moja inatosha ekari 2 na ushee

6. BETTING MKEKA: Vijana hapa sina la kuongeza mana wengi mnapiga hela weeend kama hamna akili nzuri, kuna betting website mbili Tanzania ambazo zipo juu (1) MERIDIAN (2) MBET na moja haiko online (3) PREMIER BETTING. Kama unataka kupunguza risk ya kupoteza cheza online betting ingawa premier betting nayo ni bomba vijana mnaijua. ONYO betting ni addictive na unaweza poteza boom lako usipokuwa makini, be responsible.

7. DALALI: Chagua eno lako moja la udalali hasa hasa unalolijua sana, kama magari, computer, simu, viwanja yaani vile vitu watu wanavitafuta na vina bei kubwa. Tumia blogs, face book, jamii forum na matangazo madogo magazetini kuuza. Hapa unaweza piga pesa ndefu ya kutosha mwaka wa masomo.

8. MC: Nasema kama wewe ni mdakuzi na m – mbeya wacha kuumiza shingo na kichwa kwa umbeya wako, tengeneza hela kuwa MC mataji kidogo unahitajika nguo za kazi, mike ya kisasa na music system. Anza na vipati vidogo vidogo kama birthday parties, mikutano midogo, send offs na hatimaye utajikuta upo harusini, mikutano mikubwa ya injili na international meeting

9. NM – Network marketing, hii sawa na udalali ila hapa unauza vitu vyako matandaoni tu, yaani matangazo yako yote yapo mtandaoni, wateja wako wote wako mtandaoni. Wewe unacheza na simu na laptop, au tablate au hizo computer za chuo. Tembea na mooderm muda ukifika wa kuuza unaunga modern unapiga kaz le say 1 hour per day inatosha, wenye shida watakutafuta. Kama huna bidhaa ya kuuza nitafute nikuelezee bidhaa lukuki za kuuza huko mitandanoni.

10. BLOGGER: Sasa unaweza ku blogg kwa raha zako au kublog kwa kuuza products ikiwa utakuwa umechagua moja kati ya miradi hii hapa 1,4,5,7,8,9,11,14,15 basi ili uuze usiku na mchana huna budin kuwa na blog ya kukutangazia bidhaa zako dunia nzima 24/7. Hapo utakuwa umevuka mbali sana. Wale amabo muko tayari msisite kuwasiliana name kwa ajili yah ii shuhulu ya blogging mana kuna blogs ambazo ni bure.

11. PROOF READING: Wale wataalamu wa ngwini hata hii page zangu 2 nilikuwa nahitaji mtu wa kuzikosoa ili zisomeke vizuri alafu nakulipa. Sasa ukitafuta mtandaoni hupati hata mmoja MKO WAPI? Fungua jitangaze buree huko mitandaoni matangazo madogo zoom ni buree. Mtaji hapa ni elfu20 tu ya kununua dictionary ya TUKI na ile ya oxford pocket size

12. PROJECT WRITE UP, BUSINESS PLANNING AND RESEARCH – Uandisgi wa miradi ya kibiashara, ya kijamii (projects) na utengenezaji wa bajeti, ma inginia, wahasibu, sosiolojia na walimu hii inawahusu sana. Anza na miradi idogo midogo kama ya biashara yako mwenyewe angalia mtandaoni wanaandaje miradi na je unaweza kutetea mradi wako ukapewa hela? Tafuta maresearch mbalimbali jiunge nao hata kwa bure ili upate uzoefu mwisho utazipiga mwenyewe.

13. ELECTRONICS TECHNICIAN: Wanafunzi wa IT narudi tena kwenu, sim – BUNI BIDHAAu za wanafunzi wenu, TV na music system nani anatengeza? Kwa nin msitengeneze wenyewe?

14. PRODUCT DESIGN – BUNI BIDHAA: Hapa mi ndio napenda mfano sabuni ya kuogea inayozuia mbu wasikung’ate, kifaa kinachogundua mwongo mahakamani. Unda bidhaa, iamagine, imagine, ota, ota, ota. Unda bidhaa uza kwa wenye pesa

15. TUTION: Hapa sina la kuongeza, lakini pia jaribu MOBILE TUTIONING kupitia whatsapp. Malipo yatafanyika kwa Mobile Money.

Nina uhakika katika haya machache kuna lako umelipata, ukiwa hujapata rudia kusoma siku nyingine, rudia tena na tena.

MNAKARIBISHWA WOTE KATIKA DARASA LETU LA UJASIRIAMALI LA WHATSAPP LA WANAFUNZI NA WANACHUO TU TUMA NENO – ‘’STUDENT WITH A MISSION’’ KWENDA 0752 693 692.

Respect
Big Yes
 
Back
Top Bottom