Himidini
pokea salamu zangu
... ujumbe ........ [TABLE="width: 655"]
[TR]
[TD="class: xl67, width: 80, bgcolor: transparent"]Zaburi[/TD]
[TD="class: xl65, width: 28, bgcolor: transparent"]119[/TD]
[TD="class: xl65, width: 28, bgcolor: transparent"]66[/TD]
[TD="class: xl66, width: 737, bgcolor: transparent"]Unifundishe akili na maarifa, Maana nimeyaamini maagizo yako. [/TD]
[/TR]
[/TABLE]
natuma salam kwa Mke wangu mpendwa Dena Amsi Chunga sana Bishanga ameenda kutafuta kizizi bagamoyo eti anataka akuwekee ili umpende Nakupenda sana my wife Dena Amsi na ni wewe tuu uko moyoni mwangu ( KOKUTONA asione hapa)nawasalimia Lady doctor, Madame B Zion Daughter, Blaki Womani, Preta, Chocs, amu, Mamndenyi, AshaDii, gfsonwin, ladyfurahia, sweetlady, Arabela, mwaJ, King'asti, Ablessed, farkhina, The secretary, DEMBA, MwanajamiiOne, Evelyn Salt[/MENTION Chocs, charminglady, snowhite, Heaven on Earth, KOKUTONA, Passion Lady na Paloma kaka zangu SnowBall, Ruttashobolwa, Rutashubanyuma, Erickb52, Arushaone, BAK, EMT, HorsePower, Jiwe Linaloishi, kiwatengu, sosoliso, Mentor, Excellent, KakaKiiza, Kaizer, figganigga, Dark City, Asprin, Vin Diesel, Himidini, MziziMkavu, Mtambuzi Chimbuvu na wewe mwenyewe mchemsho
:bange::bange::bange::bange: naona zinakusumbua sana Arushaone
Natuma salam kwa my akanana Passion Lady ujumbe ni me mumiss
Natuma salam kwa Lady doctor ya kwamba Arusha one ana kuzunguka.
Natuma salam kwa Paloma ya kwamba alicho kifanya sosoliso pale yenu bar kimenisikitisha sana.
Natuma salam kwa AshaDii na Nicas Mtei ya kwamba hata sisi huku watukumbuke wasipotee.
Natuma salamu kwa my boss charminglady Mamndenyi ya kwamba ni miezi saba sasa hawajanilipa mshahara wangu na kinacho fata ni kuwasue.
Natuma salam kwa babu Asprin ya kwamba..................
Natuma salam kwa Madame B ya kwamba augue pole maana knockout aliyo hipata toka kwa Elizabeth domonic siyo mchezo.
Natuma salam kwa teacher gfsonwin ya kwamba, je alihusishwa kwenye reseach kabla ya kubadilisha div zero to five?
Natuma salamu kwa Bishanga ya kwamba wanajukwaa wame kumiss na huku umeacha ugomvi wa ufestiledi kati ya The secretary na Kongosho.
asante...salamu zimefikaahahahaaa...... Haya poa.
Natuma salamu kwa kaka yangu kipenzi figganigga, kabanga, Mr Rocky. Mtambuzi, MziziMkavu
Washkaji zangu Chimbuvu, Vin Diesel, Mapi, Himidini, grand amour, WA-UKENYENGE, Wisest man, Simplicity, mwungwana, The Boss, mathematics, Jiwe Linaloishi
na mashostito... Madame B, farkhina, The secretary, Sista, miss chagga, Ablessed, MwanajamiiOne, tinna cute, DEMBA, AshaDii christine ibrahim
UJUMBE: TUKUMBUKANE KWENYE POLL: MISS CHIT-CHAT 2013.
figganigga nimetumia fursa aisee maana safari moja huanzisha nyingine lol!
Love you sweetheart..better tell him
:A S kiss:
Haha sio kweli mi ni zaidi yako mkuu...achia ngazi mkuu
Jf kiujamaa zaidi(radioni na magazetini wanafanya sana), mtumie salamu mwana Jf kwa kum-mention na kumpa ujumbe...na wewe ukiona mtu ameku mention usiuchune..there we go
Ndio Bwana wako mpya??
natuma salam kwa mke wangu mpendwa dena amsi chunga sana bishanga ameenda kutafuta kizizi bagamoyo eti anataka akuwekee ili umpende nakupenda sana my wife dena amsi na ni wewe tuu uko moyoni mwangu ( kokutona asione hapa)nawasalimia lady doctor, madame b zion daughter, blaki womani, preta, chocs, amu, mamndenyi, ashadii, gfsonwin, ladyfurahia, sweetlady, arabela, mwaj, king'asti, ablessed, farkhina, the secretary, demba, mwanajamiione, evelyn salt[/mention chocs, charminglady, snowhite, heaven on earth, kokutona, passion lady na paloma kaka zangu snowball, ruttashobolwa, rutashubanyuma, erickb52, arushaone, bak, emt, horsepower, jiwe linaloishi, kiwatengu, sosoliso, mentor, @excellent, kakakiiza, kaizer, figganigga, dark city, asprin, vin diesel, himidini, mzizimkavu, mtambuzi chimbuvu na wewe mwenyewe mchemsho
..lol..
aaah yanini,kwani we unanitambua?SASA HAPA NIMEKUKUBALI HONGERA KWANI HATATAMBUA KABISA
NA HIYOπ MBONA HUJAVAA MIWANI KAMA HIYU π
Jf kiujamaa zaidi(radioni na magazetini wanafanya sana), mtumie salamu mwana Jf kwa kum-mention na kumpa ujumbe...na wewe ukiona mtu ameku mention usiuchune..there we go