Tuma salamu, ujumbe chagua muziki.

Natuma salaam kwa Dereva Abdallah Mgeni, Muungwana Zomboko, Issa Hassan Majeshi, Alphonce Kanjobe na Dua Wajadi

Ujumbe: Vijana turudi vijijini tukaendeleze nguvu kazi

Naomba wimbo wa V.I.P Vijana Jazz uwaburudishe

Klabu ya leo shooooooo!!
 
Natuma salam kwa habibty wangu zebedayo.bila kumsahau mdogo wng eversmiling pamoja na my wifi princes envy. Pia natuma salam kwa wapendwa wng badili tabia, kongosho,ummu kulthum,cacico. Na wote wjnipendao.. Waburudike na wimbo wa langu rohoni
 
Jamani Mdogo wangu beibe nasty nisamehe,leo nimeamka na stress si unajua shemejio jana hakulala nyumbani!!!
Nakukumbuka tu,uko kumoyo.
Ujumbe: (3L) Live Long Life.
Dedication: Mwana DSM-Twanga Pepeta.

Hahaaahah jamn poule dadaangu sa shem nar khaaa asitake vita sahii ooho
 
Last edited by a moderator:
Kwa huzuni na majonzi napenda kutuma salamu kwa bibe mlimbwende babyface wangu mtarajiwa anayeitwa charminglady popote alipojificha.aburudike na kibao cha kutoka kwa Juma kakere,wimbo unaitwa Bethi
 
Last edited by a moderator:
Asante sana ngudu mtoa mada. Kwa kabisa natuma salamu a babu yangu mpendwa Asprin na wake zake wote, Swahiba yangu kaiser, rafiki zangu erick52 JAGment, Rocky, Bishanga, dada yangu Catherine, bila kumsahau mamito gfsonwin, na mchumba wangu Yummy! Mwisho ni kwa wana JF popote pale walipo. Wimbo; Mwanameka uliopigwa na Dar International chini ya uongozi wa Marijani Rajabu.
 
Last edited by a moderator:
natuma salamu dady Mentor akiwa na mumy Cathy,sisy Arabela akiwa na shem wa ukwee zubedayo,aunt BN akiwa na uncle Judgement twin sisy princess na wanachitchat wote nadedicate YOU ARE ME by ALAINE nawapenda sana Mwaaah!!!!!!
narudisha salamu kwako twin kwa wimbo wa Real lov by massari!!
 
Hodi hodi jama uwanjani kwa mbali baharini mawimbi yanajipeperusha

Napendaga kutuma salamu kwa papaa Asprin akia fyatanga nq KARIA mbele ya kioo kikubwa, my sweetlo gfsonwin, cacico shemeji yangu mpenzi popote ulipo, Kongosho, Madame B bila kumsahau dogo Erickb52 akiwa anapozwa na jimama. Mpwa wangu mpz Mwali na zomba akiwa jukwaa la siasa, wa siri wangu mwaJ popote ulipo. Aidha sintawasahau Yummy BADILI TABIA ummu kulthum na woote wenye mapnz mema.

Ujumbe: uanaume kazi

Wimbo:mkataa pema wa sikinde.

Mjomba ahsante kwa kunikumbuka. Jana nilikesha kwenye jukwaa la Maalim Sefu Sharrif nikiwapa darsa joka kuu na Mkandara kuhusu kanuni za Umoja wa Mataifa za usalama wa vyombo vya majini.
 
Last edited by a moderator:
natuma salamu kwa wale wote walioko mkoleni! wawe wasikivu walete mapinduzi kwenye ndoa zao! ujumbe mgaagaa na upwa ..................!
 
Natuma salam nyingi kwa mume wng zebedayo,bila kumsahau mdogo wng eversmiling na my wifi wa ukweeli princes envy. Na wana chit chart wote bila kumsahau Badili tabia,Kongosho, Cacico. Waburudike na wimbo wa langu rohoni
 
Mjomba ahsante kwa kunikumbuka. Jana nilikesha kwenye jukwaa la Maalim Sefu Sharrif nikiwapa darsa joka kuu na Mkandara kuhusu kanuni za Umoja wa Mataifa za usalama wa vyombo vya majini.

hahahaha nimeona mkuu zomba bahati mbaya mi sio mtaalam wa mambo ya usafirishaji so nimepita nikasoma nikaelimika baaaas.
 
Last edited by a moderator:
Asante sana ngudu mtoa mada. Kwa kabisa natuma salamu a babu yangu mpendwa Asprin na wake zake wote, Swahiba yangu kaiser, rafiki zangu erick52 JAGment, Rocky, Bishanga, dada yangu Catherine, bila kumsahau mamito gfsonwin, na mchumba wangu Yummy! Mwisho ni kwa wana JF popote pale walipo. Wimbo; Mwanameka uliopigwa na Dar International chini ya uongozi wa Marijani Rajabu.

salamu kwako bro KARIA, my one &only Mentor, daughter wangu eversmilling gal, wifi yangu kipenzi Beibenasty pamoja na husb wake, Asprin na wake zake wote pamoja na vimada vyake, salamu kwa sist gfsonwin, @roullette (ingawa ameninyima like)... Salamu kwa dogo Erickb52, sweetlady (wewe nakutafuta sana), The secretary &@kipipi (nakumbuka ukarimu wenu). Salamu kwa ........... Wote wanaonipenda. Ujumbe:nawapenda sana,
wimbo: unbreak my heart.
 
Last edited by a moderator:
Mjomba ahsante kwa kunikumbuka. Jana nilikesha kwenye jukwaa la Maalim Sefu Sharrif nikiwapa darsa joka kuu na Mkandara kuhusu kanuni za Umoja wa Mataifa za usalama wa vyombo vya majini.
@Zomba hizi kamba mbona zinazidi siku hizi.. darsa gani lile wakati wewe abiria tu ktk meli..Mnadanganywa sana na hivi vitabu vya kusona ingia majini baharia wa nchi kavu utajua kinachoendelea..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom