Tuma salamu, ujumbe chagua muziki. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tuma salamu, ujumbe chagua muziki.

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Arushaone, Aug 15, 2012.

 1. Arushaone

  Arushaone JF-Expert Member

  #1
  Aug 15, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 14,351
  Likes Received: 612
  Trophy Points: 280
  Kichwa cha habari chahusika.
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Aug 15, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,151
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Natuma Salamu kwa ma friends zangu wote na bila kumsahau boflo!! Dedications! Big boys don't cry(Lucky Dube)
   
 3. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #3
  Aug 15, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,129
  Likes Received: 4,994
  Trophy Points: 280
  Napenda kutuma salamu kwa woote wanaonipa LIKE tu,
  wengine siwapi salamu yangu.
  Dedications: Mambo Iko Huku (Hadija Kopa)
   
 4. Eversmilin Gal

  Eversmilin Gal JF-Expert Member

  #4
  Aug 15, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 783
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  natuma salamu dady Mentor akiwa na mumy Cathy,sisy Arabela akiwa na shem wa ukwee zubedayo,aunt BN akiwa na uncle Judgement twin sisy princess na wanachitchat wote nadedicate YOU ARE ME by ALAINE nawapenda sana Mwaaah!!!!!!
   
 5. Kurzweil

  Kurzweil JF-Expert Member

  #5
  Aug 15, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 4,868
  Likes Received: 4,712
  Trophy Points: 280
  Kwajina napenda kutuma salamu kwa Preta Madame B madame X, ujumbe -Tulizana tukowangapi? Pia kibao cha Thank You cha Bow Wow.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #6
  Aug 15, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,129
  Likes Received: 4,994
  Trophy Points: 280
  He!
  Haya mwenzangu Ipycalypse huo ujumbe mbona mzito hvo?
  Haya nami nakutumia yangu.
  Ujumbe: Wakinge uwapendao na Fataki.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 7. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #7
  Aug 15, 2012
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,644
  Likes Received: 1,470
  Trophy Points: 280
  Hodi hodi jama uwanjani kwa mbali baharini mawimbi yanajipeperusha

  Napendaga kutuma salamu kwa papaa Asprin akia fyatanga nq KARIA mbele ya kioo kikubwa, my sweetlo gfsonwin, cacico shemeji yangu mpenzi popote ulipo, Kongosho, Madame B bila kumsahau dogo Erickb52 akiwa anapozwa na jimama. Mpwa wangu mpz Mwali na zomba akiwa jukwaa la siasa, wa siri wangu mwaJ popote ulipo. Aidha sintawasahau Yummy BADILI TABIA ummu kulthum na woote wenye mapnz mema.

  Ujumbe: uanaume kazi

  Wimbo:mkataa pema wa sikinde.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #8
  Aug 15, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,943
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  thanks ma swtlo, ila leo yaani kila nikikaa nafsi inahamalika manake nakumbukia lile busu lako la alfajiri ya leo.

  miye napenda kutuma salaam za dhati kabisa kwa Asprin popo pale alipo mida hii akiwa na msiri wangu wa ukweli cacico na wake wenzie BADILI TABIA na Yummy. napenda kutuma salam kwa Kongosho, King'asti, Erotica cartura, mito wakiwa huko walipo mida hii.

  kuna watu hwa wa muhimu sana kwangu wadogo zangu Eiyer, Mbimbinho platozoom charminglady na Excellent,nawapenda sana
  jamani siwez kumsahau mwanagu kifungua mimba, yai langu la kwanza lililochavuchwa na mbegu yako ya kwanza Ronn M.

  ujumbe wanaume hasifiwi sura anasifiwa kazi, na tena mwanaume hasifiwi uhandsome anasiwa kwenda bank kudroo na kudeposit.

  salam hzi zisindikizwe nawimbo .............kaburi ni mwanzo wa kuingia mbinguni.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. mwaJ

  mwaJ Tanzanite Member

  #9
  Aug 15, 2012
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 4,076
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Asante kwa salamu wa siri! Mbona ujumbe mzito kunani tena? Lol!
   
 10. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #10
  Aug 15, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,129
  Likes Received: 4,994
  Trophy Points: 280
  Salamu zimefika.
  Nawe unasalimiwa huku kijiweni kwetu.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #11
  Aug 15, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,866
  Likes Received: 6,218
  Trophy Points: 280
  hahahah bila kusahau mwanaume hasifiwi ndevu....


   
 12. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #12
  Aug 15, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,866
  Likes Received: 6,218
  Trophy Points: 280
  shemeji wangu wa ukweli upoooooo?
  karibu siku ya idd, uje na mkeo gfsonwin, tutoke na Asprin, Yummy cacico na Kongosho twende tukaspendi...


   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. gfsonwin

  gfsonwin JF-Expert Member

  #13
  Aug 15, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 16,943
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  aiyayayaayh! jamani nilimis jf lol!
   
 14. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #14
  Aug 15, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  Asanteni Kaizer, BADILI TABIA na gfsonwin kwa salamu zenu.

  Toka ndani ya mapafu yangu nawatumieni salamu za sikukuu ya Idd el Fitri

  Bila kusahau natuma salamu toka mvunguni mwa figo zangu kwa Asprin, Bishanga, Mtoboasiri, jmushi1

  Natuma salamu toka katikati ya maini yangu kwa wadada wote wa jf, wamekuwa wakifanya maisha yangu na mwekezaji kuwa marahisi sababu wao ni utalii tosha machoni pangu, keep it up (Minus Kaunga ana King'asti)

  Na salamu zangu za mwisho natuma kwa The Boss, Roulette na Mwali popote mliko, ujumbe hivi kweli sialikwi hata futari hadi mfungo unaisha?
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. mysteryman

  mysteryman JF-Expert Member

  #15
  Aug 15, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 986
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  natuma salamu kwa lulu huko huko lupango, natuma salamu kwa dk uli aliepo mafichoni, tatu na mwisho ni kwa amiri jeshi mkuu......nipigie kibao cha "dunia haina wema" wa bahati bukuku......aksante
   
 16. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #16
  Aug 15, 2012
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,644
  Likes Received: 1,470
  Trophy Points: 280
  Haaa mwaJ waala sio mzito ila wa maana. Wa siri wangu nimekumiss huku mpakani ndo ivo tena nasikia mkuu na mwenzie JB watakutana maputo waliongelee hili ili nasi tupate kurudi mjini.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. Zanta

  Zanta JF-Expert Member

  #17
  Aug 15, 2012
  Joined: Apr 4, 2011
  Messages: 2,017
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Natuma Salamu kwa Watu wote waliokua "Premium Member" na Sasa ni "JF Senior Expert Member"
  Ujumbe: Mkono mtupu haulambwi
   
 18. mwaJ

  mwaJ Tanzanite Member

  #18
  Aug 15, 2012
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 4,076
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Kaizer bora hao wakuu wa nchi wakutane mapema na kupatana tena iwe kabla ya sikukuu ya Eid ili uwahi kurudi tusherekee pamoja. Mwenzio sijapata gauni la sikukuu ujue. Mke wa Erickb52 ameshaanza mashauzi kisa kaletewa gauni na skuna za sikukuu. Nilienda kwa rafiki zangu Azimio Jipya na Rashid wa Arusha walao wanikopeshe pesa za sikukuu wameninyima eti hawajui kama wewe utarudi salama toka mpakani. Kuomba pesa kwa Boflo mie naogopa huwa anadai vibaya yaani hana simile. Kongosho nae ananinyanyasa na vimaneno vyake eti anasema wewe sio jemadari wala nini. bora tu urudi mjini.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 19. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #19
  Aug 15, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  unanizingua ww....nilipokwambia kwa pm nataka kuonana na ww ulidhani nn.......

  nataka kukupa mafweza.....shauri zako, bahati haiji mara 2
   
 20. Boflo

  Boflo JF-Expert Member

  #20
  Aug 15, 2012
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 4,394
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  king koooooong....................wape vidonge wana Jf....

  thanx
   
Loading...