Tuma salamu kwa watu 5 uwapendao hapa

Natuma salamu kwake..
lliedie ujumbe NAKUPENDA SANA. 🤗

Kasie ujumbe tuliza hayo mapengo..😜

Saint Anne ujumbe endelea kuvaa magauni ya yes ndie mwamba..😅

ledada ujumbe yesu anakuja tulia sehemu moja..😅

Shunie ujumbe uache kutafuna vitenge vya shangazi yako..😂

Mshana Jr ujumbe usigombee hata uenyekiti usije tuharibia taifa kwa tunguli..😜

rikiboy ujumbe kikao cha mabaharia kitakuwa saa moja jioni,waambie wajumbe wasisahau ile zana..😎

BAK ujumbe kaa mbali na naniliu..😂

Bado narudi..
Nimetulia kaka🤣🤣
 
Ziende kwa
Magufuli
Makonda
Ndungai
Kikwete
Mwinyi
Kagame
Trump
Putin
Na mimi mwenyewe!
Ujumbe, bandu bandu huisha gogo!
 
Kwa hiyo mimi sipo kwenye top five ya mtu yeyote... nafanya nini hapa duniani mimi

Mmhh wewe unavyopendwa hauwezi kukosa kwenye top 5 ya watu, sema tu ni vile watu wengi hawajapita kwenye huu uzi na hata Saint Anne hajapita.

Mimi ndiyo nina uhakika sipo kwenye top 5 ya mtu yeyote humu JF, ila ninawapenda watu wengi sana na ningepata nafasi ya kuwataja wote ningewataja.
 
acha kunilaghai we mtoto
 
Back
Top Bottom