Tuma salamu kwa watu 5 uwapendao hapa

yuzazifu

JF-Expert Member
Oct 6, 2018
5,109
9,407
Natumai hamjambo wanajamvi.

Wakuu kupitia uzi huu, kila mmoja wetu awatumie salam watu 5 awapendao hapa ndani, mi naanza kama ifuatavyo:

Salam za kwanza nazipeleka kwa KATOTO KAZURI, ujumbe: "mi napenda sana kusoma post zako na unapomaliza siku nyingi bila kupost hua nazimiss sana post zako"

Za pili ziende kwa NOELIA, ujumbe: "napenda sana kusoma & ku-reply comment zako"

Za tatu ziende kwa CHAKORII, ujumbe: "kupitia imagination naamini we ni waifu matirio unaestahili kuishi katika pango la moyo wangu sema ni vile tayari nina mke"

Za nne ziende kwa YNA2, ujumbe: "kupitia comment zako huamin we ni binti mpole sana japo bihaindi ze sini sijui kama upo hivo"

Za mwisho ziende kwa wana EM EM YU wote, ujumbe: "tuidumishe MMU coz ndo jukwaa linalotusaidia sana kujifunza na kutatua changamoto za mahusiano &ndoa zetu"

Haya karibuni nanyi mtiririshe salam zenu kwa wapendwa wenu.
 
Wa kwanza kabisa ni mimi mwenyewe mfukua makaburi

Salamu zangu za pili zimfikie Field Marshal Mfukua Makaburi akiwa Nyakanazi, njia panda ya kigoma.

Salamu zangu za tatu na za mwisho zimfikie si mwingine bali mtakatifu mfukua makaburi muda huu akiwa na mpenzi wake mtoto mzuri mrefu aliebarikiwa mwili mzuri Grace akiwa anampa blow job. Hakika wanawake wengine wameumbwa ila Grace amebarikiwa.
 
Wahuni Wangu mikono juu🙌 najua tupo pamoja si ndo wakuzikana humu japo msibani kwangu hamtakuja kwani tunaishi kama majambazi😂 ok ok naanza sasa
Salamu za kwanza kwa Mhuni mkwepu jr ujumbe tupo pamoja sana.

Za pili zimfikie ahhh Bujibuji mzee wa siku nyingi

Za tatu ziende kwa cocastic ujumbe Namkubali sana

Za nne Kwa muhuni KENZY ujumbe kila uzi post zangu lazima apost🤣😅

Tano zije kwangu mimi mwenyewe Okwanyo58 ujumbe najipenda sana sana

Mpo wengi ila Napenda niwataje wachache hao nimepata mhadhara kidogo nitakiwa niende kwenye mkutano, Mjumbe wangu atamalizia. Harafu Nalog off😜🏃
 
Wahuni Wangu mikono juu najua tupo pamoja si ndo wakuzikana humu japo msibani kwangu hamtakuja kwani tunaishi kama majambazi ok ok naanza sasa
Salamu za kwanza kwa Mhuni mkwepu jr ujumbe tupo pamoja sana.

Za pili zimfikie ahhh Bujibuji mzee wa siku nyingi

Za tatu ziende kwa cocastic ujumbe Namkubali sana

Za nne Kwa muhuni KENZY ujumbe kila uzi post zangu lazima apost

Tano zije kwangu mimi mwenyewe Okwanyo58 ujumbe najipenda sana sana

Mpo wengi ila Napenda niwataje wachache hao nimepata mhadhara kidogo nitakiwa niende kwenye mkutano, Mjumbe wangu atamalizia. Harafu Nalog off
Tanteeeeeeeeh sanaaaah
 
Natuma salama kwa wajumbe wote wa uzi pendwa wa kula kimasiara...

Ujumbe: uzi wetu umepoa sana twende tuendelee kuuchamgamsha!!
 
Back
Top Bottom