Tuma salamu kwa watu 5 uwapendao hapa

Natuma salamu kwa wafuatao

1.@Dinazarde mpenda umbea namba moja jf
2. Mshana Jr mzee wa busara aliyewahi kutungiwa nyimbo na juma nature
3.@OKW BOBAN SUNZU .huyu jamaa nahisi nimesoma naye chuo kimoja mwaka 1 na darasa 1
4.@Don Clericuzio mwanafunzi wangu wa draft
5.@stable woman .her name explains all

Shukrani kwa salamu jombaa, naendelea kupandisha kiwango sasa hivi.
 
Lol. Nimekumbuka mambo ya redio Tanzania.

1. Mzee mwenzangu Sesten Zakazaka akiwa kule Siasani.

2. Rafiki wa mie Numbisa akiwa kule wanakokulaga likes.

3. Kaka yangu DellaPina akiwa humu humu.

4. Swahiba Mgagaa na Upwa akiwa kule kwenye Battle la Tanzania na Kenya.

5. Mdogo wa mie ukhuty huyu akiwa huko kunakomfanya awe adimu siku hizi bila kumsahau Rafiki mahondaw akiwa na shem Smart911.

Ujumbe:- Najua sijachelewa karibuni sana huku madongo kuinama tuimalizie sikukuu wandugu. 🙏 Karibuni mnoo. 🙏
 
Salamu zangu za Kwanza zimfikie

Smart911 a.k.a brazaaa 😂 nakukubali Sana mwamba kula gwala kwaza👊

Za pili zimfikie Makiseo nakupendaga Sana mdada.. ujumbe ubaki hapo hapo kwenye kutoa likes.

Za tatu zimfikie Depal kipenzi changu Cha ukorofi.. ujumbe Nakupenda tu ivyo ivyo nifanyeje sasa.

Za nne zimfikie cocastic ..ujumbe mfyuuuu Nakupenda ovyoo..punguza mapepe.

Za tano zimfikie Mjep mchizi wanguuuu..ujumbe acha uchoyo kwenye vitamu hatualikani Ila poa tu.

Ovaaaa
 
Back
Top Bottom