Tuma salamu kwa watu 5 uwapendao hapa

Wa kwanza kabisa ni mimi mwenyewe mfukua makaburi

Salamu zangu za pili zimfikie Field Marshal Mfukua Makaburi akiwa Nyakanazi, njia panda ya kigoma.

Salamu zangu za tatu na za mwisho zimfikie si mwingine bali mtakatifu mfukua makaburi muda huu akiwa na mpenzi wake mtoto mzuri mrefu aliebarikiwa mwili mzuri Grace akiwa anampa blow job. Hakika wanawake wengine wameumbwa ila Grace amebarikiwa.
😂😂😂
 
Wahuni Wangu mikono juu🙌 najua tupo pamoja si ndo wakuzikana humu japo msibani kwangu hamtakuja kwani tunaishi kama majambazi😂 ok ok naanza sasa
Salamu za kwanza kwa Mhuni mkwepu jr ujumbe tupo pamoja sana.

Za pili zimfikie ahhh Bujibuji mzee wa siku nyingi

Za tatu ziende kwa cocastic ujumbe Namkubali sana

Za nne Kwa muhuni KENZY ujumbe kila uzi post zangu lazima apost🤣😅

Tano zije kwangu mimi mwenyewe Okwanyo58 ujumbe najipenda sana sana

Mpo wengi ila Napenda niwataje wachache hao nimepata mhadhara kidogo nitakiwa niende kwenye mkutano, Mjumbe wangu atamalizia. Harafu Nalog off😜🏃
Mkuu nimefumaniwa huku ndo nipo hapa najiuliza nikimbilie wapi 😂
537175.jpg

Ila ahsante sana ngoja nimalizie hili nitarudi..😅
 
Natuma salamu kwa wafuatao

1.@Dinazarde mpenda umbea namba moja jf
2. Mshana Jr mzee wa busara aliyewahi kutungiwa nyimbo na juma nature
3.@OKW BOBAN SUNZU .huyu jamaa nahisi nimesoma naye chuo kimoja mwaka 1 na darasa 1
4.@Don Clericuzio mwanafunzi wangu wa draft
5.@stable woman .her name explains all
 
Wahuni Wangu mikono juu🙌 najua tupo pamoja si ndo wakuzikana humu japo msibani kwangu hamtakuja kwani tunaishi kama majambazi😂 ok ok naanza sasa
Salamu za kwanza kwa Mhuni mkwepu jr ujumbe tupo pamoja sana.

Za pili zimfikie ahhh Bujibuji mzee wa siku nyingi

Za tatu ziende kwa cocastic ujumbe Namkubali sana

Za nne Kwa muhuni KENZY ujumbe kila uzi post zangu lazima apost🤣😅

Tano zije kwangu mimi mwenyewe Okwanyo58 ujumbe najipenda sana sana

Mpo wengi ila Napenda niwataje wachache hao nimepata mhadhara kidogo nitakiwa niende kwenye mkutano, Mjumbe wangu atamalizia. Harafu Nalog off😜🏃
I salute you ✌️
 
Back
Top Bottom