Tuma salamu kwa watu 5 uwapendao hapa

Unakwama wewe hapo unashindwa hata kummensheni crush wako
Screenshot (10).png


Tizama hapo kwa Screenshot
 
Oohh kumbe basi ndiyo maana wengine tumetoka kapa. Sasa nilikuwa nataka kujua capitalpool yeye kafanyajefanyaje hadi imekuwa hivyo eti bro capitalpool naomba unieleweshe tafadhali.
Nimependa spirit yako Zoe, umeuliza kwa muda na huchoki kutaka kujua!
Wacha nijaribu, usichoke niulize ukikwama mahali.

Screenshot_2020-08-02 Tuma salamu kwa watu 5 uwapendao hapa(1).png



Baada ya step (ii) hapo juu, Click edit na ufanye kama ilivyo elekezwa hapa chini.


Screenshot_2020-08-02 Tuma salamu kwa watu 5 uwapendao hapa(4).png



Sasa inasomeka Nana badala ya Zoe na notification utapa!

Screenshot_2020-08-02 Tuma salamu kwa watu 5 uwapendao hapa.png
 
Back
Top Bottom