Tuliwaambia Israel hawaiwezi Hamas, kiko wapi sasa?

Tuliwaambia Israel hawaiwezi Hamas, kiko wapi sasa?

Upo sahihi ndugu.......unakuta mtu anakwambia eti inamaana wewe haujui kuwa Jews sio wakristo sasa unatwambia sisi wakati Biblia inajieleza kila kitu.
NDiyo maana hawawezi kuelewa hata Yesu mara ya pili atakuja kufanya nini?
Wao wamekalia matusi tu na hapo ndiyo kipimo kidogo cha maadili ya dini yao jinsi yalivyo.
Nyie ya kwenu inahalalisha kabisa hayo matusi unayoyasema.
 
Attachments

  • Screenshot_20231219-141950_Gallery.jpg
    Screenshot_20231219-141950_Gallery.jpg
    57.3 KB · Views: 18
Niliwaambia tokea mwanzo kuwa Israel hawaiwezi Hamas kiko wapi?

Malengo yalikua ni kuifuta Hamas jee wamefanikiwa?

Malengo yalikua ni kuiteka Gaza yote kwa muda wa wiki tatu tu kiko wapi?

Malengo yalikua ni kuweka utawala wao Gaza na kuwafurusha wapalestina wote jee wamefikia malengo?

Malengo yalikua ni kuwaokoa mateka? Hakuna hata mateka mmoja ameokolewa!! Na wanajiita jeshi bora

Kama intelijensia ya Mossad imefeli kwenye eneo la Gaza lenye Size ya Kigamboni jee wataziweza nchi nyingine?

Unajua inashangaza sana, ajabu kweli Kweli jeshi linalopewa kila kitu kupigwa na Hamas ambao wanatumia silaha dhaifu?

Gaza ambayo imekua chini ya ukaguzi na mzingiro mkali wa Israel 24 hrs 7 days kwa miaka 17 sasa kuanzia angani hadi ardhini wameshindwa kabisa kumuokoa hata mateka mmoja?

Walichofanikiwa ni kuuua raia tu makambini na kulipua mahosptali
Screenshot_2024-01-22-17-03-57-753_com.instagram.android~2.jpg
 
Huwezi kuelewa lugha ya UPENDO kwasababu kwenye msaafu Allah hajawahi kutamka kuwa Anawapenda.
Unajua wewe hujui hata unaandika nini ndio maana sitaki kutumia nguvu kukuelewesha coz akili ya kuelewa huna,

Huo msaafu wewe umeusoma wote na ukauelewa na ukajua kua Allah hakusema anawapenda viumbe vyake?

Hebu punguza upumbavu kijana, unaonekana zuzu tu hapa kwa wenye kuijua dini,ni bora upige kimya tu ili kuuficha upumbavu wako.
 
Kwani nyinyi mkijipendekeza kwa wayahudi sisi tunapungukiwa na nn kwenye maisha yetu?
Nyinyi mkitaka nendeni kabisa mlambe hata mavi yao kabisa ili kudhihirisha upendo wenu kwao [emoji2][emoji2][emoji2][emoji3][emoji3][emoji3].

Kumbe ndo maana Urusi na nchi nyingi za Ulaya mashariki ziliupiga marufuku urokole kumbe waliona mbali kuwa urokole unamfanya mtu kuwa mpumbavu.
Kwanini nyinyi mnajulikana kwa matusi.
Hivi amuoni hutofauti wa comment zenu na zetu.
 
Siokweli.

Unaelewa nini maana ya maneno ya Blue.
Ukiambiwa ku adopt unaelewa nini?

Siokweli.

Unaelewa nini maana ya maneno ya Blue.
View attachment 2880002
Unaelewa nini ukiambiwa maana ya kuadopt???
Maana moja wapo ya adopt ni kukubaliana na mfumo wa....
Makafiri wa Makkah hawakukubaliana na uislam na hawakuwakubali waislam wakawatesa na kuwafanya waondoke makkah pia wakawanyima haki ya kuhijji.
Hiyo ayah inamuamrisha muislam ampinge yeyote anaempinga.
Kama wewe unajua kuliko sisi basi sawa tafsiri unavyotafsiri.
 
Siokweli.

Unaelewa nini maana ya maneno ya Blue.
Ukiambiwa ku adopt unaelewa
Upo sahihi ndugu.......unakuta mtu anakwambia eti inamaana wewe haujui kuwa Jews sio wakristo sasa unatwambia sisi wakati Biblia inajieleza kila kitu.
NDiyo maana hawawezi kuelewa hata Yesu mara ya pili atakuja kufanya nini?
Wao wamekalia matusi tu na hapo ndiyo kipimo kidogo cha maadili ya dini yao jinsi yalivyo.
Matusi ni utashi wa mtu haihusiani dini kijana.
Mbona mimi muislam na toka nianze mjadala sijatukana humu ndani??
 
Umemaliza au bado unaongea?

Hadi sasa hivi, Jeshi la Israel linamiliki zaidi ya 85% ya Gaza,jeshi la Israel Tayari limejua walipofichwa mateka,wapo chini ya mahandaki,na magaidi ya HAMAS yametishia kuwaua wote endapo nguvu itatumika kuwaokoa.

Kwa sasa jeshi Takatifu la Israel lipo Al Yunus baada ya kuwaua HAMAS Gaza kama mbu,Iran aliyekuwa kawatuma HAMAS na wewe ulikuwa ukishinda humu kumshangilia,kaufyata mkia, Wapalestina wamekufa kama inzi kwa upumbavu wao wa kuyahifadhi magaidi ya HAMAS.

Tunaua nyoka wa HAMAS na mashimo yao tunayachoma moto na kuyafukia,kwa hiyo basi yoyote aliyemo ndani ya mashimo ya nyoka wa HAMAS lazima afe.
Acha ushabiki ile vita israel ni aibu tu ila amefeli vibaya, malengo yalikuwa mawili
Kwanza kuwaokoa mateka ambayo imeshindikana
Pili kuondoa na kulimaliza jeshi la hamas ambalo pia imeshindikana kabisa , report ya marekani leo imesema wamefanikiwa kuondoa jeshi la hamas kwa 20 to 30% kitu ambacho kinyume na mipango yao
 
Niliwaambia tokea mwanzo kuwa Israel hawaiwezi Hamas kiko wapi?

Malengo yalikua ni kuifuta Hamas jee wamefanikiwa?

Malengo yalikua ni kuiteka Gaza yote kwa muda wa wiki tatu tu kiko wapi?

Malengo yalikua ni kuweka utawala wao Gaza na kuwafurusha wapalestina wote jee wamefikia malengo?

Malengo yalikua ni kuwaokoa mateka? Hakuna hata mateka mmoja ameokolewa!! Na wanajiita jeshi bora

Kama intelijensia ya Mossad imefeli kwenye eneo la Gaza lenye Size ya Kigamboni jee wataziweza nchi nyingine?

Unajua inashangaza sana, ajabu kweli Kweli jeshi linalopewa kila kitu kupigwa na Hamas ambao wanatumia silaha dhaifu?

Gaza ambayo imekua chini ya ukaguzi na mzingiro mkali wa Israel 24 hrs 7 days kwa miaka 17 sasa kuanzia angani hadi ardhini wameshindwa kabisa kumuokoa hata mateka mmoja?

Walichofanikiwa ni kuuua raia tu makambini na kulipua mahosptali
Niliwahi kuandika humu:

Wengi hawakunielewa.

Nchi ukishatangaza vita na unachievable ni kikundi cha "magaidi" maana yake umeshashindwa kabla hujaanza.

Vipi nchi utangaze umeibguq vitani na kikundi cha "magaidi"?

Hainiingii akilini. Ukitangaza vita ina maana upo vitani na umeshindwa kuwazuia kwa njia zingine zote.

Mazayuni wameshindwa siku nyingi, leo wameanza kuzipiga tena hospitali.

Hao mwanzo wa mwisho wao ndiyo umeanza.
 
Niliwaambia tokea mwanzo kuwa Israel hawaiwezi Hamas kiko wapi?

Malengo yalikua ni kuifuta Hamas jee wamefanikiwa?

Malengo yalikua ni kuiteka Gaza yote kwa muda wa wiki tatu tu kiko wapi?

Malengo yalikua ni kuweka utawala wao Gaza na kuwafurusha wapalestina wote jee wamefikia malengo?

Malengo yalikua ni kuwaokoa mateka? Hakuna hata mateka mmoja ameokolewa!! Na wanajiita jeshi bora

Kama intelijensia ya Mossad imefeli kwenye eneo la Gaza lenye Size ya Kigamboni jee wataziweza nchi nyingine?

Unajua inashangaza sana, ajabu kweli Kweli jeshi linalopewa kila kitu kupigwa na Hamas ambao wanatumia silaha dhaifu?

Gaza ambayo imekua chini ya ukaguzi na mzingiro mkali wa Israel 24 hrs 7 days kwa miaka 17 sasa kuanzia angani hadi ardhini wameshindwa kabisa kumuokoa hata mateka mmoja?

Walichofanikiwa ni kuuua raia tu makambini na kulipua mahosptali
Jamaa akili zako fupi sana.Umekunywa uji?
 
Hajafanikiwa hata moja
Hawahitaji kufanikiwa katika lolote.

hayo ni malengo ya kisiasa.

Malengo yao ni revenge more times than the times of damage Hamas inflicted on then on october 7.
 
Back
Top Bottom