Sex addict
JF-Expert Member
- Feb 21, 2023
- 902
- 1,816
Oooh sawasawa na best student wanampataje baada ya kumaliza program hiyo mkuu ya degreeGPA ni annually maana yake ni semista zote 2 za mwaka zinakupa GPA ya mwaka. Mwisho wa course wanaweka overall ambayo ni average ya hizo ya kila mwaka