Siwezi kikupongeza kwa hio statistics hio ni bachelor of art. Nimesema waliopata 4+(distinction).Computer engineering udsm nlimaliza na 2.9
Nimerudi kusoma undergraduate upya, niko statistics.. First smester nilikua na 4.7
Hata mimi nimeshangaa ana moyo wa wanyakyusa. Mnyakyusa anaweza maliza forn four kisha akaanza upya form 1 ili aje afaulu.Mmh mbna umeanza upya
Umepata 4.7 kwa sababu unajua kila kitu kuhusu test, course nk sio kwamna IQ yako ni kubwa sana. Wenzio wanapiga hio wakiwa fresh from school sio repeaters. Wewe hapo Kwenye computer engineering umepiga baadhi ya kozi za hesabu. Uongozi, DS,CS na nyinginezo . ZImeisha kupeka hatua mbele zaidi kuliko wenzio.Computer engineering udsm nlimaliza na 2.9
Nimerudi kusoma undergraduate upya, niko statistics.. First smester nilikua na 4.7
Kuna sisi wenye GPA za kutuzuia tusidisco wala hatuwazi kabisa yaniBasi waliozikosa roho zinawaumaaa.. Wenyewe hata haturingi
Nataka kua lekichalaaa😀Mmh mbna umeanza upya
LSiwezi kikupongeza kwa hio statistics hio ni bachelor of art. Nimesema waliopata 4+(distinction).
kiujumla upo ktk average IQ level aytound 100 kwenye ulimwengu wa akili. Kiujumla huwezi Innovate kitu kwa IQ hio bora ulivyohama hama fani, hata mimi nipo average IQ.
Ila umetumia mda na pesa vibaya kama hujilipii ada maana yake utapata deni la milioni zaidi ya 30 kwa kozi hizo mbili.
Je hakuna post graduate ya statics mpaka ukaamua urudie digrii ?
Hio fani haina ajira au haukuwa competent, kwa nini ulichukua maamuzi magumu kama hayo?
Kuna mkufunzi mmoja alitufundisha kuwa msijiendeleze kielimu horizontally but vertically.
Mpaka niwe lekchalaaSiwezi kikupongeza kwa hio statistics hio ni bachelor of art. Nimesema waliopata 4+(distinction).
kiujumla upo ktk average IQ level aytound 100 kwenye ulimwengu wa akili. Kiujumla huwezi Innovate kitu kwa IQ hio bora ulivyohama hama fani, hata mimi nipo average IQ.
Ila umetumia mda na pesa vibaya kama hujilipii ada maana yake utapata deni la milioni zaidi ya 30 kwa kozi hizo mbili.
Je hakuna post graduate ya statics mpaka ukaamua urudie digrii ?
Hio fani haina ajira au haukuwa competent, kwa nini ulichukua maamuzi magumu kama hayo?
Kuna mkufunzi mmoja alitufundisha kuwa msijiendeleze kielimu horizontally but vertically.
Umepata 4.7 kwa sababu unajua kila kitu kuhusu test, course nk sio kwamna IQ yako ni kubwa sana. Wenzio wanapiga hio wakiwa fresh from school sio repeaters. Wewe hapo Kwenye computer engineering umepiga baadhi ya kozi za hesabu. Uongozi, DS,CS na nyinginezo . ZImeisha kupeka hatua mbele zaidi kuliko wenzio.
Piga piga ila hizo kozi za art nusu huwa wanapiga gpa za juu.Nimezaliwa niwe
L
Mpaka niwe lekchalaa
Komaa komaa ubaki hapo kitivo.Ni kweli kaka
Mimi ni failure, nimeumia sana B ya DS ndo imenifanya nipate 4.7... Nitajitahidi second semester nipate 5.0
Do you think ungekuwa huna GPA hiyo au shule hiyo, ungekuwa hivyo ulivyo?Heshima yenu wakuu..
Tuliopata GPA za 3.5 na kuendelea tukutane hapa kubadilishana mawazo positively. Je GPA kubwa imekusaidia baada ya maisha ya chuoni na kwenye kutafuta riziki? Ni zipi fursa ulizozipata na zilizokufaidisha kutokana na GPA yako kubwa?
Binafsi nilipata GPA ya 4.1 from the school of Architecture - Ardhi University. Lakini GPA haijawahi kunisaidia lolote kwenye fursa za utafutaji, maana mimi ni mjasiriamali tu.
Karibuni wadau.
Sawa kakaPiga piga ila hizo kozi za art nusu huwa wanapiga gpa za juu.
We utamu wa mademu umeujuaje wakati wewe ni demu?!Achana kbs na mademu wa cbe na ifm..watamu sana!ila alikudharau sana aise! Hahahaaa...tafuta hela wewe!
Kwa ngazi ya sec sio chuo.Sawa kaka
Ahsante, lakini kumbuka statistics is full of mathematics ambayo ni ugonjwa wa taifa
Kwa MT Zilivyokua zinaniburuza.... MT moja ya as an engineer😀 full makaraiKwa ngazi ya sec sio chuo.
Huko mnaweza kuwa wote mlifaulu A level.
Acha us.nge dogo..Hata mimi nimeshangaa ana moyo wa wanyakyusa. Mnyakyusa anaweza maliza forn four kisha akaanza upya form 1 ili aje afaulu.
Sasa nini kimekufanya urudie digrii ? Na kwa nini hukuichagua hio digrii mapema?Sawa kaka
Ahsante, lakini kumbuka statistics is full of mathematics ambayo ni ugonjwa wa taifa