Tuliowahi kupewa hela na wanawake

Hujamla kaka?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba nitoke nje ya mada,

Hii tabia ya wanaume kuomba omba hela imetoka wapi.? Mbona inazidi kushamiri.?
Wanaume kazi ya kuomba omba pesa mtuachie tu siye, ninyi hampendezi walaqhi'..!!
Ni kweli boy kuomba hela kwa girl haipendezi but itawezekan kama boy anashida also remember kuwa mlitaka usawa so nanyie muwajibike dear
 
Hecko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakika Mkuu
Kudate na team ndingandanga ni hatari sana ila ukipata mtoto yuko smart kichwa kutoka familia safi anaelewa nini anataka kwako ila hawa team of side ni balaa tupu yani ni uparasite mwi mwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa anaejidanganya ni nani hapo kama sio wewe? Yani siwezi dumu na mwanamke ambaye mbinafsi! Wewe pia hela akunyime mpaka siku ukiumwa sio!?
 
Weka picha ya hela na shemeji
 
I like this [emoji41]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliwahi kusoma mahali kuwa hata mpumbavu huzeeka na kuwa mzee wa makamo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…