Tuliowahi kunywa sumu tukutane hapa

Tuliowahi kunywa sumu tukutane hapa

Ukweli ni kwamba sumu za panya nyingi zinazouzwa hazina madhara kiivyo kwa binadamu. Hata mie nlijaribu pakti 4 tofauti sikufa nliishia kuharisha na kutapika

Nakuja PM mkuu unipe jina na rangi ya hiyo sumu iliyokupelekesha nami niitafute.
Nashauri wewe hata maelezo ya kutumia tu usipewe. Kuna wenginw watakuja kusoma humu aina za sumu ili aida wazitumie kujidhuru ama kuwadhuru wengine. Nadhani kuna haja atakayekuja kutoa kisa chake humu kama yupo aweke code hapo kwenye vitendea kazi. Ni maoni tu.
 
Ni changamoto tu mkuu ila angalau sasa. Nawaza nisimulie lakini kila nikitaka kukumbuka hali ile naona ngoja kwanza. Panapo majaaliwa nitagusia kidogo kesho lakini stori kamili nimepanga kuitoa 21/09 kama nikijaaliwa uzima.
Mkuu ungeitoa Leo tu maana na corona hii huenda usipate fulsa

"corona ipo tuchukue tahadhari"
 
Mi nilipiga zile red cat pakti mbili,sikuhisi kitu niliharisha tu na kupata hallucinations hii ni baada ya kubambikiwa kesi ambayo ingenimaliza
Nashukuru mwisho wa siku nilionekana Sina hatia,niliapa sinto kaa nijaribu kujimaliza je ningekufa siku ile? Mungu aliniokoa kwenye sumu akaja niokoa kwenye kesi pia
 
Kwanini ulimuacha huyo mwanamke aende?
Nilipitia kipindi kigumu sana kwenye maisha yangu, kigumu mnoo! Nae akawa bega kwa bega na mimi kunisaidia kila hatua (abarikiwe)..shida ni huko alikokua anapata hizo hela, yakawa yaleyale ya Baraka Da Prince na Ruby (Nivumilie Song)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilishawahi kupiga mixer ya dozi moja na nusu ya fragile na nusu ya cetrin (sina uhakika kama inaandikwa hivyo) kisha nikashushia bia bingwa. Kabla bia yenyewe sijaimaliza demu wangu akaingia ghetto, aliona siko sawa, halafu pembeni akakuta makaratasi kibao ya dawa basi akajua tayari mana alikua anajua napitia kipindi kigumu mno, akapiga kelele wapangaji wenzangu wakajaa wakaninywesha mchanganyiko wa maji na majivu nikatapika kinoma pale.

Demu akanichukua tukaenda kwake, muda huo m najiona niko sawa tu. Akatuma mtoto wake akanunue maziwa nayo nikapiga huku natapika sio poa. Basi bwana baadae kidogo cha moto ndo nikaanza kukiona, nikawa najisikia hovyo mno yan muda wote nataman niwe natapika. Tumbo linavuruga hatari, mwili hauna nguvu hata kidogo. Sikulala ile siku

Kesho yake mambo yakazidi kuwa hovyo zaidi. Tumbo linauma kinoma yan utafikiri ndani linakatwa katwa, nikienda haja natoa tu vibonge bonge vya damu. Haja ndogo mkojo una mchanganyiko wa damu kama yote asee! Huku hamu ya kula sina nakunywa tu uji. Mungu ambariki yule manzi popote alipo, alinipigania sana. Hali ikaenda hivyo kama siku nne hivi kisha nikawa sawa.

Kamari sio poa jamani, haifai

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwishoni hapo umezungumzia ishu ya kamari na bila shaka hiyo ndio ilikupekea ukayumba. Hebu tupe habari kidogo ilikuaje na ulifanyaje kujinasua kwenye makamari.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwaka 1975,nikiwa kijana katika kijiji chang u (jina kapuni), nililishwa sumu na bibi moja akimtumia mjukuu wake ambaye nilikuwa nasoma naye. Sumu hii nilipewa kupitia pombe ya kienyeji.
Niliporudi nyumbani muda wa jioni nilitapika sana.
Pamoja na kutapika lakini madhara ya sumu yalinisumbua sana katika kusoma kwangu na kwa kiasi kikubwa yalipunguza uwezo wangu mkubwa darasani ambao ulikuwa katika ngazi ya kitaifa.
Bibi huyu alifanya haya kwa sababu za wivu kwa sababu alitambua ujasiri wangu.
Mwaka 1993 nililishwa sumu tena ofisini kupitia kwenye chai.
Baada ya kujisikia vibaya nilimwita driver wangu ili anirudishe nyumbani. Wakati ananirudisha nyumbani nilikuwa natapika njia nzima. Nililazwa Muhimbili kwa siku tatu na baadaye nilirudi nyumbani.
Niliporudi ofisini, yule Binti aliyenipa chai sikumkuta. Aliacha kazi. Huyu alitumiwa na wabaya wangu kwa sababu nikiwa kiongozi nilipiga vita ufisadi wote uliokuwa unafanywa kwenye shirika ambalo lilikuwa linaendeshwa kwa hasara. Katika uongozi wangu wa miaka mitatu, kila mwaka tulipata faida kubwa.
Mwaka 2013, Mungu aliniepusha na kifo baada ya kupona kuuwawa kwa kutumia Bunduki.
Muda wa saa tatu usiku wakati narudi nyumbani kwa gari ya kukodi, niliona magari mawili yakinifuata kwa nyuma, Nilimuuliza Driver magari yametokea wapi? Alinijibu sijui. Tulikuwa tumekaribia karibu na nyumbani. Nilimwagiza Driver asikate kuingia kwangu mbali anyooshe moja kwa moja.
Magari haya mawili yalisimama getini kwangu na kugeuza. Driver aliendesha gari hadi Ikulu ndogo ya Mkoa. Nilipiga simu kwa rafiki zangu ambao walikuja kunichukua. Siku ya pili nilikwenda kuripoti Polisi. Yote hayo nayo yalisababishwa na Mimi kukataa kuhujumu mali ya umma.
Lakini kwa kifupi, imeandikwa, ukiwa mtu wa haki hata wakitaka kutoa roho yako hawataweza kamwe.
Sijawahi kuweka matukio haya kwa maandishi na hadharani.
Ndugu zangu na rafiki zangu wanayajua.
Kweli wanasema ukiona nyani mzee basi ujue kakwepa mishale mingi. Mzee wewe ni shujaa na nnakuombea uendelee na roho yako hiyo ya ujasiri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Twin angu alijiua kwa sumu..ikanisumbua balaa hiyo hali..! Ilinisumbua kwasababu toka tunazaliwa hatujawahi achana naye hata kwa lisaa...pia dada yangu nayemfata zilikua haziivi..nilikua nampiga balaa...bas akaambiwa asicheze na mimi..kwahyo na mimi kwa hasira nikama nikamblock...sikumjali kabs ni dada au ndugu..mdogo wangu wa mwisho nimeachana aye miaka mingi sana naye nikawa namuona mtoto..so mtu niliyeamua kuwa naye benet ni twin wangu sikua mtu wa marafikia

Alipojiua wenyeji wakaanza kusema akifa pacha mmoja mwingine hachukui round! Ile hali ikawa inaniboa sana.alafu hom wakawa kama wamenitenga fulani( walikua wananiogopa maana niligeuka kama kichaa kbs..nilikua natembea na panga naona kila mwanafamilia ndo chanzo cha twin kujiua!) Two months later nikaamua kunywa piriton 20! Nilienda tu dispensary nikasema mama kanituma umpe piriton ..nikanywa zote...lol.niliamka niko hosp! Na drip za kutosha..nakumbuka nililala tu sema tumboni kulikua kunavuruga! Sikufa...! Nikapewa mshauri akaniweka sawa kias chake .since then sijapata mawazo hayo .!Mungu alinipa utashi tena!rip B!
Hata mm ni pacha mkuu, najaribu kuwaza ikatokea siku pacha wangu akatwaliwa nitaweza kuhimili kweli...Dah Mungu atusaidie tuzeeke pamoja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilipitia kipindi kigumu sana kwenye maisha yangu, kigumu mnoo! Nae akawa bega kwa bega na mimi kunisaidia kila hatua (abarikiwe)..shida ni huko alikokua anapata hizo hela, yakawa yaleyale ya Baraka Da Prince na Ruby (Nivumilie Song)

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah!! Pole sana mkuu. Ila wengine huwa kama malaika aisee. Anamkamua mwingine na maziwa analeta kwako. Mimi naamini katika kila hatua, Mungu huweka msaada japo wengine hatuuoni kwa macho. Fikiria una shida halafu unatembea njiani unakuta gari limekwama. Unaambiwa brother tusaidie hapa, wakatu ukihisi umepoteza muda jamaa wanaulizia hoteli ilipo kisha wanakwambia tupeleke. Ulikuwa na mawazo utakula nn ghafla unashibishwa. Itoshe kusema "KAMA HUJAPITIA KIPINDI KIGUMU, USIWAONE WANAOPITIA KIPINDI HICHO KUWA NI WAJINGA."
 
mi kuna miaka nilipitia kipindi kigumu ikatikia hatua nikaenda kulala barabarani ili gari inipitie ilikuwa nyakati za usiku,lakin cha ajabu gari lilikuw likifika karbu yangu linasimama dereva na konda wake wanakuja kunitoa na maneno juu."hili lijamaa limelewa pombe za bure".

Maisha ni mtihani mzito ndo maana siwez kumdharau mkubwa au mdogo,


maisha yalitight kinoma had wale wanaokuzunguka huwaoni yan.fikiria mwanaume unamaliza hata week huna buku wala jero mfukoni,root za kijiweni nikapunguza ikawa ni Mimi na kitanda kitanda na mm had mwili ukapungua .

umaskini usikie kwa jirani mana hata wasichana walipotea kwenye anga yangu,inafikia hatua unamtizama msichana yuko uchi ila humuoni.simu yangu ya mkononi ikawa inamaliza hata week 3 Hamna sms yoyote iliyoingia ,nafkiri hata voda walinisusia (kidding).
nakumbuka ilikuwa jmoc asubuh nataka niamke nikachote maji nikapokea SMS ya ujumbe kutoka kwa aliyekuwa kama demu wangu ikisomeka hivi."najua unapitia kipindi kigumu cha maisha ila pambana maisha yapo nakuombea kila la kheri kwa mpenz mwngne utakayempata mi nimeamua niwe single.". Aseeeee hii SMS ilinivuruga nikarudi kitandani nikalala licha ya kutokuw na usingiz tena.


lakini cha ajabu mwaka huo huo kuna Siku nilipishana na jamaa njian macho mekunduu AF mweusii tii.akantoa salam kisha akaniomba aniulize kitu pemben ,kumbe anashida na sehem wanapouza bangi ,nikamjibu yeah napafaham ila inaweza niamin lete ela nikufatie ,jamaa akachomoa buku 5 nikaenda ,kufika njian nikawaza sijui nizame ndichi nmpotezee ila roho nyingine ikasita. Nikaamua kumfatia tu kibish.

Maisha yalivyokuwa sasa baada ya kumletea weeder ,jamaa alitokea kuwa mshikaj knoma akawa anantuma kumbe n dreva wa shirika flan kambini huko kigoma ,miez kadhaa mbele akaniunganisha nikapata job tena mshahara wa kutosha.HADI LEO NIPO HUKU NAKULA LIFE

REST IN PEACE RASTA nakukumbuka kwa mchango wako mkubwa kwenye maisha yangu.



OVER
"Nina certificate ya nursing ila nashindwa kupangilia mwandko"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukweli ni kwamba sumu za panya nyingi zinazouzwa hazina madhara kiivyo kwa binadamu. Hata mie nlijaribu pakti 4 tofauti sikufa nliishia kuharisha na kutapika

Nakuja PM mkuu unipe jina na rangi ya hiyo sumu iliyokupelekesha nami niitafute.

dah eti nilishajaribu pakti kama nne na sikufa dah mkuu umetisha


Sent from iPhone 6s Plus
 
Back
Top Bottom