Tuliowahi kunywa sumu tukutane hapa

Tuliowahi kunywa sumu tukutane hapa

Daah mkuu machozi yamenilenga! I can feel the situation! Pole sana Ila Mungu ni mwema

Sent using Jamii Forums mobile app
Okay, nimeona comments za baadhi ya members wakinicheka kutokana na historia yangu. Siwalaumu maana pengine kuna changamoto zao walishakumbana nazo wakachukua maamuzi ambayo yaweza kuwa kituko kwangu pia.

Tuendelee na kisa cha pili ambacho ndicho kilichonifundisha kukabiliana na hali yoyote ngumu mbele yangu.

Baada ya mkasa ule wa Dar, ilibidi nirudi kijijini maana hata wazazi walishtuka na kushangaa sana. Pilikapilika za nyumbani sikufurahishwa nazo ikabidi nipande mererani kuajiriwa mahali, ambapo mahali hapo nilikaa tangu mwezi wa 7 mwaka 2011 hadi mwishoni mwa mwaka 2013.
Mahali hapo nilikuwa nacheza na maadili kiasi kwamba nilitoka na kitu kama milioni 5.4, ambayo baada ya kutoka pale nilinunua toyo mpya kwa wakati huo ikiuzwa 1,750,000, nikaitumia mwenyewe mpaka mwishoni mwa mwaka 2014, nikaona mbona hela zangu zinaisha tu badala ya kuongezeka?
Ieleweke nilikuwa sio mzoefu kufanya kazi ya kuendesha Toyo kwa ajili ya kujiingizia kipato, hivyo kazi ile nilijikuta mara nyingi hata hela ya mafuta natoa kwenye akiba. Na wakati huo nilishatoka mererani nikaenda Arusha.
Sasa bwana nilikuwa na mpenzi wangu ambaye nilimwacha mererani, sasa alikuwa ananisumbua kila siku huku akilia kwamba nimemharibia maisha. Nikakaa nikatafakari wee, nikaamua kuhamishia majeshi tena mererani maana huyu mpenzi wangu mimi ndio nilimtoa usichana wake.
Nilipohamia kule nikagundua kumbe nilikuwa nacheza na maisha. Nikachukua ile milioni nikatafuta fremu nikaweka bidhaa za dukani/duka la vyakula, ila baada ya kuweka bidhaa za ile hela yote, vitu vikaonekana kimojakimoja. Nikaamua kuuza ile pikipiki kwa bei ya Tsh 1,200,000, nikaweka ile hela dukani yote. Kaofisi kangu kakapendeza kiasi maana niliweka na kafriji ka laki mbili mtumba.
Kweli ofisi ilichangamka faster maana nilienda mtaa uleule ambao nilikuwa nimeajiriwa mwaka mmoja nyuma. Nikapiga kazi mara ofisi ikawa kubwa, nikawa naweza hata kuweka laki tatu kwa mwezi huku nimeshatoa matumizi yote na kodi, wakati huo nimeshaweka creti zangu za soda kama 30 na zote zimejaa, nikawa nauza na bia. Mambo yakawa mazuri huku mpenzi wangu kashaanza kuitwa mama kijacho.
Ng'ombe wa masikini hazai haukuisha hata mwaka yule mwenye nyumba akataka nihamie arekebishe nyumba yake.
Ndani ya muda mfupi nikapata fremu jirani na pale lakini nilipohamia hapo mambo yakaanza kusuasua. Wateja wakawa wanaishia duka lililokuwa mbele yangu.
Ofisi ikayumba mpaka kwenye mtaji wa kama milioni 3 huku ukizidi kushuka tu. Wakati kura za Lowasa na Magufuli zikihesabiwa, mke wangu nae kabakiza wiki chache ajifungue. Nikampeleka kwa wazazi wangu huku mimi nikaendelea kupambana.
Kutokana na mke wangu alikuwa na umri mdogo wazazi walinishauri awahi hospitali awe anakaa huko mpaka atakapojifungua maana alikuwa akisumbua uchungu japo alienda kukaa week mbili hospitali ndio akajifungua. Hivyo kipindi yupo kule nikawa natakiwa kutuma hela za matumizi kule, baada ya zile wiki mbili akajifungua akakaa mule wiki zingine 2 kuuguza kidonda. Wakati wa kurudi nyumbani kuna gari iliyoenda kumchukua, sasa kutoka lami hadi nyumbani kuna kama kilomita 2, hivyo kulingana na ubovu wa barabara waliyopita kidonda kikaenda kufungukia nyumbani. Siku ileile ikatakiwa nitumie tena hela ya dharura, na baada ya kurudi kule alikaa zaidi ya mwezi mmoja ndipo akaruhusiwa kurudi nyumbani.
Ndani ya ile miezi miwili nilitumia zaidi ya milioni moja huku ofisi nikaanza kuichukia kutokana na bidhaa nyingi kukosekana na nyingine kuwa zipo lakini hazitoki. Mama watoto aliporudi nyumbani ikabidi nikamuone kwanza maana nilimmiss. Baada ya kurudi kazini nikawa nakunywa pombe ili kupunguza stress, na dukani nikawa nafungua ile asubuhi nauzauza ikifika saa tano naenda kunywa hadi kwenye saa kumi au kumi na moja nafungua tena hadi saa nne.
Marafiki wakaanza kunitenga, kunisema na kuchekelea anguko langu. Nikaamua nihamishe lile duka nipeleke kule wanakochimba madini kabisa ambako kunajulikana kama (opeki), nikaweka na matunda na mbogamboga. Wakati huo kuna jamaa nilicheza nae kamari nikamla kama laki na sitini 160,000 ikabidi aweke pikipiki yake rehani, hivyo nikawa naitumia kufuata matunda na vitu vingine sokoni.
Siku moja nikawa nimeshuka kijiji/mji mdogo wa mererani au sokoni nikalala huko ili kesho yake nipande na vitu vya ofisini/ofisi yenyewe ilikuwa ni ya mabati maana kule hawaruhusu kujenga nyumba za kudumu. Sasa siku hiyo ilikuwa ni Ijumaa, nikashuka kijiji nikalala kesho yake nikanunua vitu nikapanda opeck ili nikafungue ofisi. Lahau lah! Nikakuta kofuli ipo chini na mlango upo wazi. Nilipochungulia ndani kulikuwa hamna hata mizani, wezi wamekomba kila kitu.
Nikafungua vitu nilivyofunga kwenye pikipiki nikatupa kule ndani nikageuza kurudi kijiji, nikaingia geto nikachukua redio yangu nikaiweka dukani kwa demu mmoja aliyekuwa rafikiangu nikaiweka bondi akanipa laki moja.

Saa hiyo sijamwambia yeyote chochote na joto la mwili limepanda. Mke ndio huyo alikuwa na mtoto mchanga, sina kitu ataishije na mimi nitaishije? Marafiki watanionaje? Vipi ndugu zangu ambao wanajua chalii ni mpambanaji?
Hayo ndio yalikuwa mawazo yangu. Nikawaza hapa dawa ni kujiua tu ili niondokane na aibu hizi!.
Ile laki niliyoichukua nikaweka mafuta ya Tsh 15,000 nikaenda Rombo nikajifanya hamna tatizo, nikafurahi na mke wangu huku mtoto akiwa anacheka na mimi mpaka nikawa nawaza kughairi mpango wangu mbaya wa kujiua, lakini nikawa sina pa kutokea.
Nikakaa siku 4, siku ya tano nikatoa elfu tano kwenye chenchi zilizobakia alafu nyingine nikampa mke wangu pamoja na simu niliyokuwa nayo tecno H6, nikamwambia mimi sipendi tena kutumia simu za tachi. Nikawasha pikipiki nikaenda sokoni useri pale Rombo nikanunua viroba viwili vikubwa vya konyagi na sumu ileile iliyokosakosa kuniua kule Dar nikiamini hii nikizama nayo porini siponi.
Nikawasha pikipiki nikaenda nayo mbele ya tarakea huko ambako wanaita Rongai, nikaingia kwenye msitu mnene na pikipiki ya yuleyule jamaa ambaye namdai hela ya kamari kwa lengo la kwenda kujiua.
Msitu ule nilijitahidi kupiga pikipiki mafuta hadi nikafika maeneo ambayo nadhani binadamu hajawahi kukanyaga. Huko ni masokwe makubwa kama Goliath, mangedere ya kila aina na mashimo ya ajabuajabu huku pembeni yake kuna mto wenye maji ya baridi sana kiasi kwamba, kesho yake asubuhi maji ya mto ule kuna baadhi Lea ya juu ilikuwa ina ngozi ya barafu/kama kioo chepesi kwa juu.
Nikajitupa chini nikatafakari kidogo kisha nikabugia ile sumu yote kisha nikakata na vile viroba nikanywa vyote nikawa nasubiria kufa sasa. Muda huo ni kwenye saa kumi na moja kuelekea saa kumi na mbili.
Nikakaa pale zaidi ya lisaa hamna chochote! Nikapandwa na hasira kwanini sifi? Nikaanza kula majani ya kila aina pale ili nife lakini wapi.
Nikawasha pikipiki na ulevi wangu nikaanza kurudi kwa upande mwingine hadi nikatokea kwenye shamba kubwa sana lenye miti ya mbao, ambayo ni mirefu lakini imekatwa matawi yake ya chini yote, ukitazama juu huoni anga sababu ya ile miti ilivyobabana kwa juu, alafu chini baadhi ya maeneo wamelima viazi.
Wakati natembea kwenye lile shamba nikahisi kama naishiwa nguvu, baada ya mwendo tena kidogo nikaanguka puuh na lipikipiki langu. Nikaanza kutapika yale majani niliyokula, baadae kidogo nikawa natapika kila kitu, tumbo likawa linauma, nguvu nikawa sina ila za kujigeuza tu.
Usiku umeshaingia alafu barabara niliiacha mbali kiasi kwamba kwa usiku ule sijui hata ilikuwa upande gani.
Kule ilikuwa hata bundi akilia, mwangwi wake hubaki kwa sekunde kadhaa kutokana na ile miti. Niliteseka sana ila baadae karibia kunakucha ndio Nikawa mzima ila mwepesi kiasi kwamba pikipiki yenyewe ilinipa tabu kuinyanyua pale chini. Nikasubiri mpaka kwenye saa moja kasoro jua lilipochomoza, nikapanda pikipiki nikatafuta ule mto nikaenda kufua nguo nikazivaa zikiwa mbichi nikarudi nyumbani nikadanganya nilivyoaga narudi mererani, kuna namna nilichanganyikiwa nikaja kujikuta Rongai msituni nipo hovyo.
Mama alihuzunika sana pamoja na mke wangu, ila wakawa hawana namna bali ilibidi wanipikie supu kwa siku kadhaa ndio afya yangu ikarudi.
Nilipoamka kule msituni asubuhi nilikuta tairi zote hazina upepo, nikatembea hivo hadi home, tube zikawa zimeharibika kabisa. Kakaangu akanipa Tsh 20,000 nikaenda kuweka mpya ndio nikarudi mererani kuendelea na msoto.

Hiki kisa ndio lilisababisha niwe nakabiliana na hali yoyote inayokuja mbele yangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani nawaza nicomment nini lakini kila nachoandika nafuta. Haya maisha ukiona mtu anakuja kukucheka sababu ya hali yako ama akaonesha dharau kwa maamuzi yoyote ambayo ulitaka/uliyafanya ukiwa na hali ngumu, ujue hayajui maisha kabisa. Pole sana mkuu, ila hope sasahv uko vzr. Mimi bado nina visa kadhaa ila nhoja nichaji simu kwanza kisha nitaandika kisa kingine ambacho kilijirudia zaidi ya mara moja.
 
Be strong mkuu... Mungu anakusudi na wewe katika maisha haya,Nakuomba usirudie tena kujaribu kukatisha uhai wako tafadhali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani nawaza nicomment nini lakini kila nachoandika nafuta. Haya maisha ukiona mtu anakuja kukucheka sababu ya hali yako ama akaonesha dharau kwa maamuzi yoyote ambayo ulitaka/uliyafanya ukiwa na hali ngumu, ujue hayajui maisha kabisa. Pole sana mkuu, ila hope sasahv uko vzr. Mimi bado nina visa kadhaa ila nhoja nichaji simu kwanza kisha nitaandika kisa kingine ambacho kilijirudia zaidi ya mara moja.
Ni kweli mkuu unakuta hawajui namna akili inavyovurugika.
Madharau yapo kila mahali! Kuna kipindi nikiwa fresh kiuchumi nilikuwa nikiona mtu anafanya kazi ya mtaji mdogo, nawaza kichwani kimya kimya kwamba mimi siwezi kufanya kazi kama hiyo.
Miaka michache mbeleni nilikuja kuuza matunda kwa mtaji ambao hufikia hata laki tano. Kumbuka nyuma ya hapo nilikuwa nadharau hata kazi ya mtaji mdogo hata wa milioni moja
 
Ila mkuu tuache utani, una roho ya chuma paka kasingiziwa😁😁 mwingine ajaribu tu hata gongo amekwenda.
😆Nadhani ile baridi kule mlimani/mlima Kilimanjaro ndio ilisaidia nisiishiwe maji mengi mwilini.
Tukio la kwanza kule Dar nilikuwa nizime chapu sababu nilikuwa natapika, naharisha na kutokwa jasho jingi kwelikweli. Ila kule mlimani haikuwa hivyo
 
Nani anaijua ACTELIC SUPER?NILITAKA KUITUMIA 2010 HUKO ROFATI CHEMBA KISA Niliona nimelost nimefaulu tena sayansi halafu npo chaka kwa wamasai huko!wenzangu wameshaanza chuo tangu 2019!!Lakini nilirusha ile chupa juu sana nikalia mno!!nikarudi nyumbani!!!!hadi leo nimesha graduate pale Udsm class of 2013!!Maisha haya!kazi sana!!
 
Ni Mungu tu mkuu. Alikuacha ili kuoitia simulizi hii watu wapate faraja kuwa hawajapitia haya peke yao.
 
Nani anaijua ACTELIC SUPER?NILITAKA KUITUMIA 2010 HUKO ROFATI CHEMBA KISA Niliona nimelost nimefaulu tena sayansi halafu npo chaka kwa wamasai huko!wenzangu wameshaanza chuo tangu 2019!!Lakini nilirusha ile chupa juu sana nikalia mno!!nikarudi nyumbani!!!!hadi leo nimesha graduate pale Udsm class of 2013!!Maisha haya!kazi sana!!
Na ukiponea kufa lazima upate na mwanga wa kuendelea kusonga..
Pole mkuu tambua tu ule nao ulikuwa ni mtihani wako binafsi
 
Nilishawahi kupiga mixer ya dozi moja na nusu ya fragile na nusu ya cetrin (sina uhakika kama inaandikwa hivyo) kisha nikashushia bia bingwa. Kabla bia yenyewe sijaimaliza demu wangu akaingia ghetto, aliona siko sawa, halafu pembeni akakuta makaratasi kibao ya dawa basi akajua tayari mana alikua anajua napitia kipindi kigumu mno, akapiga kelele wapangaji wenzangu wakajaa wakaninywesha mchanganyiko wa maji na majivu nikatapika kinoma pale.

Demu akanichukua tukaenda kwake, muda huo m najiona niko sawa tu. Akatuma mtoto wake akanunue maziwa nayo nikapiga huku natapika sio poa. Basi bwana baadae kidogo cha moto ndo nikaanza kukiona, nikawa najisikia hovyo mno yan muda wote nataman niwe natapika. Tumbo linavuruga hatari, mwili hauna nguvu hata kidogo. Sikulala ile siku

Kesho yake mambo yakazidi kuwa hovyo zaidi. Tumbo linauma kinoma yan utafikiri ndani linakatwa katwa, nikienda haja natoa tu vibonge bonge vya damu. Haja ndogo mkojo una mchanganyiko wa damu kama yote asee! Huku hamu ya kula sina nakunywa tu uji. Mungu ambariki yule manzi popote alipo, alinipigania sana. Hali ikaenda hivyo kama siku nne hivi kisha nikawa sawa.

Kamari sio poa jamani, haifai

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu,ukiniambia umejikojolea kwa sababu ya kujichua nakataana na ww...goli langu la kwanza nimeliexperiens kwenye nyeto,when I'm 13....now I'm 30+ STILL I'm masturbate...na cjajikojoleaga,nna mke na watoto wawili.af nadhan nlikua konk kuliko ww,coz mwanzon nlikua napiga hd bao6 kwa punyeto kwa ck,yaan nlikua addicted more than addiction..nw nmepunguza dose lkn cjaacha,japo nna mke na michepuko kadhaa.kuhus sum...hyo ulikua unajipa dose ya panya kulingana na uzito wake,ukitaka kuupata uzito wa binadam utafte uzi Wang nloupost Jana,af jarb...ukisavaiv rudi hapa kutupa ushuhuda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu uzi unaweza ukaonekana hauna maana lakini haya mambo yapo. Mimi kuna muda nilipitia hali ngumu sana kwenye maisha, kuliko niliyonayo sasa. Nilikuwa nawaza kujiua ili nipotee maana hata ndugu wanakuona kituko. Wazo moja tu lilikuwa linafanya nikomae, familia. Nikawaza mimi ndio baba na mume katika familia, kama mimi nimekoswa kazi na hela ilhali nakomaa Je! Itakuwaje kwa mke wangu ambaye ananitegemea 100% katika kutimiza mahitaji ya familia? Vp watoto watakapoona nafukiwa shimoni na wasinione tena? Kwann nisisubiri siku yangu ifike ili angalau nisiihuzunishe familia mara mbili. Wakose chakula najua hapa wanawake hufanya lolote ili waishi na watoto wengine mpaka hufanya mambo haramu, nabado wakose ile faraja yangu ya ngoja nikatafute angalau ya uji. Nilikuwa nikiwaza hayo yote halafu unaenda ndugu anatumbua bia unamuomba hata buku anakunyima anakwambia hana pesa. Umasikini usikieni tu kwa watu. Kiukweli kama isingelikuwa familia huenda ningeshajifia kitaaambo. Mshana Jr aliwahi kuelezea humu kuhusu tiba za kiroho. Nilikuwa nikisoma mada zake nahisi 90% nina shida. Katika kosa sifanyi sasahv nikuwambia mtu mipango yangu ya sasa na baadaye. Nikiulizwa unafanya nn, nawaambia niko nyumbani nasubiri ajira. Maisha ni mtihani mkubwa sana kwa binadamu, ukiona dogo kwa mwenzio ni mateso.
Nnadhani watu ukiwaambia mipango yako wanakufanya unajiona mjinga maana wanaweza kuikosoa na kukuona kituko. Ni bora ishu zako ufanye kimyakimya na wao waone matokeo tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi sasahivi nilishawaambia hata ndugu. Rafiki yangu kwenye shida hata kama sio ndugu yangu, namuheshimu kuliko hata ndugu wa tumbo moja. Kuna jamaa hatukuwa na urafiki hata ule wa kusalimiana na kwao zipo kidogo, alikuwa rafiki yangu ghafla mpaka kuna muda alikuwa anawatuita mimi wife na watoto tukapige stori kwake maana tulikuwa majiranu (baadaye nimekuja kugundua alikuwa anatuita tukale kiaina maana alikuwa anatuita wakati mkewe akiwa jikoni. Yaani ilikuwa inaanza hv, mkewe akanakuja anamuita wife ampe kampan jikoni ana stori ampe, mara kidogo watoto wanaitana wanaenda kucheza, halafu baadaye unasikia fulani mwite baba aje tukae huku aikae mwenyewe) huyu hata akikosea namsamehe haraka bila hata kuomba msamaha.
Huu upendo wa hiyo familia ya jamaa ni wa kipekee sana. Mungu ambariki sana huyu rafiki yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilishawahi kupiga mixer ya dozi moja na nusu ya fragile na nusu ya cetrin (sina uhakika kama inaandikwa hivyo) kisha nikashushia bia bingwa. Kabla bia yenyewe sijaimaliza demu wangu akaingia ghetto, aliona siko sawa, halafu pembeni akakuta makaratasi kibao ya dawa basi akajua tayari mana alikua anajua napitia kipindi kigumu mno, akapiga kelele wapangaji wenzangu wakajaa wakaninywesha mchanganyiko wa maji na majivu nikatapika kinoma pale.

Demu akanichukua tukaenda kwake, muda huo m najiona niko sawa tu. Akatuma mtoto wake akanunue maziwa nayo nikapiga huku natapika sio poa. Basi bwana baadae kidogo cha moto ndo nikaanza kukiona, nikawa najisikia hovyo mno yan muda wote nataman niwe natapika. Tumbo linavuruga hatari, mwili hauna nguvu hata kidogo. Sikulala ile siku

Kesho yake mambo yakazidi kuwa hovyo zaidi. Tumbo linauma kinoma yan utafikiri ndani linakatwa katwa, nikienda haja natoa tu vibonge bonge vya damu. Haja ndogo mkojo una mchanganyiko wa damu kama yote asee! Huku hamu ya kula sina nakunywa tu uji. Mungu ambariki yule manzi popote alipo, alinipigania sana. Hali ikaenda hivyo kama siku nne hivi kisha nikawa sawa.

Kamari sio poa jamani, haifai

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole Brother, hiyo nadhani ilikuwa kitambo hivi
 
Back
Top Bottom